Mpendwa msikilizaji wa Neno la Mungu kipindi tafakari masomo Dominika, tayari tuko katika Dominika ya 32 ya mwaka C wa Kanisa, ni Dominika ambayo kwayo tunafunga wiki ambamo tuliwakumbuka na kuwaombea marehemu wetu.
Na kwa hakika Neno la Mungu ambalo tunalitafakari Dominika hii lina jambo la pekee linalogusa marehemu na nyakati za mwisho. Ujumbe wa Neno la Mungu kwa ufupi ni kwamba Mungu ni Mungu wa wazima na si wa wafu.
Kurasa
▼
Kurasa
▼
St. Joseph yakumbuka watoto yatima
na Paskal Linda-Dar es salaam
SHULE ya Msingi St. Joseph iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo, imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandalwa kilichopo Mbweni Vijibweni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Wagonjwa ni hazina ya maisha na utume wa Kanisa
BABA Mtakatifu Francisko, Jumamosi, tarehe 9 Novemba 2013 amewashukuru wanachama wa Umoja wa Kitaifa wa Wasafirishaji wa Wagonjwa Lourdes na kwenye madhabahu ya Kimataifa wakati huu,