Sote
ni lazima tutaipita njia ya kifo. Na ni muhimu kutambua kwamba, katika
maisha haya kuna njia mbili, moja ni njia inayongoonzwa na shetani na
njia nyingine ni ile inayo elekea kwa Mungu. Baba Mtakatifu Francisko
ameeleza katika homilia yake, wakati wa Ibada ya misa mapema Asubuhi,
Jumanne hii katika kanisa dogo la Mtakatifu Marta la hapa Vatican