Maaskofu
Katoliki wa Ufilipino, wametoa wito wa Novena, sala na fadhila, kwa
waathirika na familia zilizopigwa vikali na maafa ya kimbunga
kilichopita hivi karibuni na kuua mamia ya watu na kuharibu mali nyingi,
zikiwemo nyumba.
Mosinyori Pedro Quitorio , Mkurugenzi wa
vyombo vya habari katika Baraza la Maaskofu Katoliki ya Philippines ,
alisema fedha zitakazo tolewa wakati wa kipindi cha Novena , iliyoanza
Jumanne 12 na
Baba
Mtakatifu Francisko Alhamis hii 14.11.2014 majira ya saa nne, kwa mara
ya kwanza tangu kuwa Papa mwezi March mwaka huu, alifanya ziara rasmi,
kumtembelea Rais wa Italia, Mheshimiwa Giorgio Napolitano, aliyekuwa
akimsubiri katika jengo la Ikulu la Qiurinale. Papa amefanya ziara hii
Ikulu kama kulipa fadhila kwa Rais Giorgio ambaye alimtembelea Papa June
8, mwaka huu. Papa Francisko ametembelea makazi haya ya Rais wa
Italia, ya Quirinale, ambayo awali yalikuwa ni makazi ya Papa kwa karne
nyingi hadi 1870.
Baada ya ukimya wa miaka mingi, ziara za Papa
kutembelea Quirinale, zilianzishwa mwaka1939 na Papa Pius X11
alipomtembea Mfalme wa Italy Emmanuel 11 aliyekuwa akiishi katika jengo
hilo. Na Mapapa waliofuatia wakaiga pia utamaduni huu wa kutembelea
Ikulu wa Italia kama ishara ya mahusiano mazuri.