Tofauti na miaka mingine, kwa mwaka huu adhimisho hili la Sherehe ya Kristo Mfalme linaambatana na hitimisho rasmi la Mwaka wa Imani. Hivyo ni nafasi nzuri kwetu kujikumbusha kuwa Imani ya kweli ni ile ambayo inajengeka katika Kristo Mwenyewe ambaye atatupa tuzo la kushiriki maisha katika ufalme wake wa mbinguni kadiri ile ambavyo tumejibidisha kuiishi imani yetu na kwa jinsi tulivyomruhusu awe Bwana na Mtawala wa maisha yetu.
Kurasa
▼
Kurasa
▼
Marufuku kujisajili kwenye Ufalme wa Shetani!
Tofauti na miaka mingine, kwa mwaka huu adhimisho hili la Sherehe ya Kristo Mfalme linaambatana na hitimisho rasmi la Mwaka wa Imani. Hivyo ni nafasi nzuri kwetu kujikumbusha kuwa Imani ya kweli ni ile ambayo inajengeka katika Kristo Mwenyewe ambaye atatupa tuzo la kushiriki maisha katika ufalme wake wa mbinguni kadiri ile ambavyo tumejibidisha kuiishi imani yetu na kwa jinsi tulivyomruhusu awe Bwana na Mtawala wa maisha yetu.
Wakatekumeni wanaalikwa: kusikiliza kwa makini, kukutana na kutembea na Yesu!
Wakatekumeni hao baada ya kumtafuta Mwenyezi Mungu, sasa wako tayari kuonja huruma na upendo wake katika maisha yao na kwamba,