Zikiwa
zimebaki siku tatu, kuadhimisha tukio la Mama Bikira Maria kutuzalia
Mtoto Yesu , Emannuel, Mkombozi wa Dunia, inafaa kwa wakati huu
kumtafakari Mwanamke, mama mzazi, hadhi yake, wajibu wake na Kanisa
lasema nini juu mwanamke mama mzazi. Ni wazi kipindi cha Krismas,
ni wakati wa hekaheka nyingi za katika jamii , na familia pia. Nyuso
nyingi huonekana kuwa na furaha, na pia ndani ya familia, huonekana
mshikamano zaidi, ambamo licha ya hamu ya kusubiri ibada ya kusisimua ya