Kurasa
▼
Kurasa
▼
Dawa za kulevya ni haramu!
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu,
Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika
mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Kamishina Msaidizi Kihenya
Kihenya, alisema tukio hilo lilitokea Juni 13, saa 5 usiku wakati
Masalu na wenzake 20 walipoingia ndani ya mgodi huo kwa nia ya kuiba
mchanga wenye madini ya almasi.
Kamanda Kihenya alisema wakati wakiiba
Kamanda Kihenya alisema wakati wakiiba