M!mishenari mmoja
wa zamani kutoka nchini Marekani amehukumiwa miaka 40 jela kwa
kuwanyanyasa kingono watoto mayatima katika nyumba moja nchini Kenya.Matthew
Lane Durham mwenye umri wa miaka 21,alitekeleza ''kitendo hicho kiovu
kwa watoto wasioweza kujitetea'',mahakama ya Marekani ilisema.