Batarokota Gospel Media !
Sanduku la Agano na huruma ya Mungu! Utuombee!
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Unashangaa nini? Tazama!
›
Ninatumaini sisi sote tumewahi kuusikia msemo huu: “Funguka macho, Angalia!” Usemi huu hauna maana kwamba mmoja ni kipofu au amefumba ma...
Tafakari ya neno la Mungu, Jumapili ya Nne ya Kipindi cha Kwaresima
›
Niko nawe tena katika kipindi tafakari masomo Dominika ya IV ya Kipindi cha Kwaresima, ambapo tunaalikwa kuwa watu wa mwanga. Katika som...
BAADA YA KUSOTA, BATAROKOTA AULA TUZO ZA KILL MUSIC AWARD
›
HATIMAYE mwanamuziki Batarokota amefanikiwa kuingia kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro Music Award mwaka 2014, kwa mujibu wa waand...
Diamond awacharukia tuzo Kili
›
Kutajwa kwa msanii Diamond Platnumz kuwania tuzo sita za Kilimanjaro 2014, hakujatosha kumfunga mdomo msanii huyo asizu...
Mwanamke Msamaria anakutana na "Kyasaka"
›
Mwanamuziki Mbaraka Mwinshehe, aliimba: “Ugeni tabu ndugu zangu, unapofika nchi za mbali huwa mashaka. Hapo fikira za nyumbani ...
Siku kuu ya toba, wongofu na upatanisho!
›
Kama ilivyokuwa kwa Manabii, wito wa Yesu wa toba na wongofu wa ndani haulengi kwanza kazi za nje yaani kuvaa gunia na kujipaka maj...
St. Margaret Clitherow
›
Feastday: March 26 St. Margaret Clithe...
Orodha Kamili ya waliongia katika kinyang'anyiro cha Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014:
›
Wimbo bora wa mwaka 1 Number one-Diamond 2 Joto hasira-Lady Jaydee Ft Prof Jay 3 I love u-Cassim Mganga 4 Yahaya-Lady JayDee ...
Njia ya Msalaba, 2014: mwaliko wa kuiangalia sura ya Kristo katika sura ya mwanadamu anayeteseka!
›
Tafakari ya Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo mjini Roma, Ijumaa kuu kwa Mwaka 2014 imeandaliwa na Askofu mkuu Giancarlo Maria...
Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa Kipindi cha Kwaresima 2014
›
Mama Kanisa anakianza kipindi cha Kwaresima, yaani siku arobaini za toba na wongofu wa ndani; kusali na kufunga; kusoma na kulitafakari N...
KWARESIMA: Muarobaini wa Maisha ya Kikristu
›
Neno Kwaresima linatokana na neno la lugha ya kilatini Quadragesima ; maana yake, namba arobaini. Kwa hiyo, Kwaresima ni kipindi cha siku ...
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti