Batarokota Gospel Media !
Sanduku la Agano na huruma ya Mungu! Utuombee!
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Tafakari ya Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo, Ijumaa kuu 2014
›
Askofu mkuu Giancarlo Maria Bregantini wa Jimbo kuu la Campobasso- Boiano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya matatizo ya kijami...
Papa kuongoza Karamu ya Mwisho ya Bwana katika kituo cha Walemavu
›
Baba Mtakatifu Francisko, Alhamis Kuu majira ya jioni, saa 11:30, ataadhimisha Karamu ya Mwisho ya Bwana, na liturujia ya kuosha mi...
Papa atoa zawadi ya Injili kwa wafungwa
›
Papa Francisko atatoa vItabu vya Injili vidogo vinavyoweza kuwekwa mfukoni, vipatavyo elfu moja mia mbili, kama zawadi ya Pasaka kwa waf...
Maadhimisho ya Juma kuu ili kuadhimisha Fumbo la Pasaka
›
Maadhimisho ya Jumapili ya Matawi, Kanisa linamshangilia Kristo alipoingia Yerusalemu kwa shangwe na watoto wa Wayahudi wakata...
Amepanda Punda na wala si Prado, lakini Yesu anafunika! Wamemkubali!
›
Katika ulimwengu wa leo suala la maandamano limeshamiri karibu katika kila nchi. Maandamano hayo yanakuwa ya jamii fulani inayo...
BATAROKOTA AOMBA KURA ABEBE TUZO YA KILI
›
Na Dina Ismail, Dar es Salaam MSANII wa muziki wa asili nchini, Pascal linda maarufu kama Batarokota amewaomba mashabiki wa muziki nc...
Jumapili ya Matawi
›
Mpendwa mwana wa Mungu karibuni katika kipindi cha tafakari tunapoadhimisha Dominika ya Matawi, Dominika ambayo ni mwanzo wa Ju...
Siku za Vijana Duniani zinapania kukuza na kudumisha ari na moyo wa kimissionari
›
Baba Mtakatifu Francisko ana matumaini makubwa katika maadhimisho ya Siku za Vijana Duniani kama nyenzo msingi inayopania kuasha na kukuz...
Usilete mzaha, ananuka!
›
Manamuziki Remmy Ongala anakilalamikia kifo pasipo kutushauri tukikabilije: “kifo kifo kifo hakina huruma! Ukitaka kujua ubaya wa kifo,...
Kanisa linapania kushiriki kikamilifu katika kudumisha amani na majadiliano ya kidini huko Mashariki ya Kati!
›
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu jioni tarehe 7 Aprili 2014 amekutana na kuzungumza na Mfalme Abdullah wa Pili wa Yordan pamoja na ujum...
Unashangaa nini? Tazama!
›
Ninatumaini sisi sote tumewahi kuusikia msemo huu: “Funguka macho, Angalia!” Usemi huu hauna maana kwamba mmoja ni kipofu au amefumba ma...
Tafakari ya neno la Mungu, Jumapili ya Nne ya Kipindi cha Kwaresima
›
Niko nawe tena katika kipindi tafakari masomo Dominika ya IV ya Kipindi cha Kwaresima, ambapo tunaalikwa kuwa watu wa mwanga. Katika som...
BAADA YA KUSOTA, BATAROKOTA AULA TUZO ZA KILL MUSIC AWARD
›
HATIMAYE mwanamuziki Batarokota amefanikiwa kuingia kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro Music Award mwaka 2014, kwa mujibu wa waand...
Diamond awacharukia tuzo Kili
›
Kutajwa kwa msanii Diamond Platnumz kuwania tuzo sita za Kilimanjaro 2014, hakujatosha kumfunga mdomo msanii huyo asizu...
Mwanamke Msamaria anakutana na "Kyasaka"
›
Mwanamuziki Mbaraka Mwinshehe, aliimba: “Ugeni tabu ndugu zangu, unapofika nchi za mbali huwa mashaka. Hapo fikira za nyumbani ...
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti