Batarokota Gospel Media !
Sanduku la Agano na huruma ya Mungu! Utuombee!
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Tafakari ya neno la Mungu, Jumapili ya tatu ya Kipindi cha Pasaka
›
Mpendwa mwana wa Mungu ninakuleteeni tena furaha ya Pasaka kwa njia ya tafakari ya Neno la Mungu tukiwa tayari Dominika ya tatu ya ...
Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi, Utuombee!
›
JANA ilikuwa Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani, maarufu kama Mei Mosi ni fursa inayotolewa na Jumuiya ya Kimataifa kila mwaka kwa wafanyaka...
Watakatifu wapya, miamba ya huruma ya Mungu !
›
Baada ya Baba Mtakatifu Francisko kuwatangaza Wenyeheri Yohane XXIII na Yohane Paulo II kuwa watakatifu, Jumapili tarehe 27 Aprili 2014 k...
Papa Francisko anawaalika vijana kutoka kimasomaso kukutana na Yesu Mfufuka!
›
Vijana wanaalikwa kumwangalia kwa namna ya pekee kabisa yule kijana tajiri anayesimuliwa kwenye Maandiko Matakatifu aliyemwendea Ye...
Woga na mashaka ni sumu ya imani
›
Katika dominika hii ya pili ya Pasaka, Injili inatuletea aina mbili za mazingira yaliyo tofauti:Mazingira ya kwanza, Yesu anawa...
Utakatifu wa maisha!
›
Utakatifu ni hija ya maisha inayotekelezwa hatua kwa hatua kama walivyofanya Wenyeheri Yohane XXIII na Yohane Paulo II watakaotanga...
Jumapili ya Huruma ya Mungu!
›
Tunaendelea tena katika tafakari yetu masomo Dominika ya II ya Pasaka mwaka A. Ni kipindi cha furaha kwa sababu ya ushindi dhidi ...
Maisha ni mchaka mchaka, vinginevyo utachakachuliwa!
›
Daima ni mchakamchaka. Tabia ya watu wa ulimwengu wa leo ni ile ya mchakamchaka. Kila kitu kinaenda kwa kasi. Taarifa zinaenda k...
Ijumaa Kuu Papa kuongoza Ibada ya Njia ya Msalaba- Koloseo
›
Ijumaa Kuu Baba Mtakatifu Francisko majira ya saa tatu na nusu za usiku, ataongoza Ibada ya njia ya Msalaba katika ene...
Tafakari ya Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo, Ijumaa kuu 2014
›
Askofu mkuu Giancarlo Maria Bregantini wa Jimbo kuu la Campobasso- Boiano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya matatizo ya kijami...
Papa kuongoza Karamu ya Mwisho ya Bwana katika kituo cha Walemavu
›
Baba Mtakatifu Francisko, Alhamis Kuu majira ya jioni, saa 11:30, ataadhimisha Karamu ya Mwisho ya Bwana, na liturujia ya kuosha mi...
Papa atoa zawadi ya Injili kwa wafungwa
›
Papa Francisko atatoa vItabu vya Injili vidogo vinavyoweza kuwekwa mfukoni, vipatavyo elfu moja mia mbili, kama zawadi ya Pasaka kwa waf...
Maadhimisho ya Juma kuu ili kuadhimisha Fumbo la Pasaka
›
Maadhimisho ya Jumapili ya Matawi, Kanisa linamshangilia Kristo alipoingia Yerusalemu kwa shangwe na watoto wa Wayahudi wakata...
Amepanda Punda na wala si Prado, lakini Yesu anafunika! Wamemkubali!
›
Katika ulimwengu wa leo suala la maandamano limeshamiri karibu katika kila nchi. Maandamano hayo yanakuwa ya jamii fulani inayo...
BATAROKOTA AOMBA KURA ABEBE TUZO YA KILI
›
Na Dina Ismail, Dar es Salaam MSANII wa muziki wa asili nchini, Pascal linda maarufu kama Batarokota amewaomba mashabiki wa muziki nc...
Jumapili ya Matawi
›
Mpendwa mwana wa Mungu karibuni katika kipindi cha tafakari tunapoadhimisha Dominika ya Matawi, Dominika ambayo ni mwanzo wa Ju...
Siku za Vijana Duniani zinapania kukuza na kudumisha ari na moyo wa kimissionari
›
Baba Mtakatifu Francisko ana matumaini makubwa katika maadhimisho ya Siku za Vijana Duniani kama nyenzo msingi inayopania kuasha na kukuz...
Usilete mzaha, ananuka!
›
Manamuziki Remmy Ongala anakilalamikia kifo pasipo kutushauri tukikabilije: “kifo kifo kifo hakina huruma! Ukitaka kujua ubaya wa kifo,...
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti