Breaking News; Batarokota ajiunga rasimi na ATC-Wazalendo
Msanii wa bongo fleva na nyimbo za asili ya Kitanzania Batarokota, majira ya asubuhi leo amejiunga rasmi katika chama cha siasa cha ATC-Wazalendo kupata kadi namba 223643 alikabidhiwa kadi na
Afisa wa Chama mkoani Morogoro.