Batarokota Gospel Media !
Sanduku la Agano na huruma ya Mungu! Utuombee!
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
Prayer of the Day
Paskal Linda Social Gospel Media are:
Advertisement design
SHOP LOCATION
Salamu
Our Mission
▼
Braeking news:20 wafariki katika ajali ya treni
›
Treni Maafisa wa huduma za treni nchini India wanasema kuwa takrib...
Bikira Maria linda familia, vijana na wazee!
›
Baba Mtakatifu Francisko Jumapili tarehe 25 Mei 2014 baada ya maadhimisho ya Ibada ya Misa Takatifu kwenye Uwanja wa Pango la M...
Roho Mtakatifu ni kocha wa maisha ya kiroho!
›
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican inapenda kukushirikisha utajiri wa tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya Vi ya Kipindi cha Pas...
Papa Francisko aanza hija yake ya kichungaji Nchi Takatifu
›
Baba Mtakatifu Francisko ameondoka mjini Roma asubuhi, tarehe 24 Mei 2014 tayari kwa hija ya kitume huko Yordani, Palestina na Israeli ka...
Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya 6 ya Kipindi cha Pasaka
›
Karibuni ndugu msikilizaji wa Radio Vatican katika kipindi cha Liturujia ya Neno la Mungu, tukiwa tayari Dominika VI ya Kipind...
Papa Francisko ajikabidhi chini ya ulinzi wa Bikira Maria!
›
Baba Mtakatifu Francisko Ijumaa, tarehe 23 Mei 2014 asubuhi na mapema, aliondoka kutoka mjini Vatican na kwenda kusali kwenye Kanisa kuu ...
Kumekucha!
›
Ili wote wawe wamoja ndiyo kauli mbiu inayoongoza Hija ya kitume ya baba Mtakatifu Francisko katika Nchi Takatifu kuanzia tarehe 24 hadi ...
Jengeni utamaduni wa watu kukutana na kudumisha amani!
›
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 19 Mei 2014 amekutana na kuzungumza na Baraza la Maaskofu Katoliki Mexico kwa kuwataka kujenga ...
Barua ya Papa Francisko kwa ajili ya Familia
›
Baba Mtakatifu Francisko kama sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya Sinodi Maalum ya Maaskofu kwa ajili ya Familia itakayoadhimishwa Mwe...
Papa Francisko: Jengeni umoja na mshikamano; saidieni familia na maskini!
›
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu, tarehe 19 Mei 2014 amefungu...
Apewa adhabu ya kifo kwa kuolewa na Mkristo!
›
Mahakama moja nchini Sudan imemkuta na hatia Meriam Yahya Ibrahim Ishaq, mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ya kukufuru na kuzini...
Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili V ya Pasaka
›
Ninaendelea tena kuwa nawe katika kipindi cha Liturujia ya Neno la Mungu, tukiwa tayari Dominika ya V ya Pasaka. Ujumbe wa Neno...
Ekaristi Takatifu!
›
Ndugu msikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican, tulianza maandalizi ya hija ya kichungaji ya Baba Mtakatifu Francisko katika Nc...
Nyumba ya Mkate!
›
Jina hili Bethlehemu linatokana na maneno mawili ya Kiebrania, Bet ni nyumba na Lehem (lexem) ni mkate, kwa hiyo Beth-Lehem au bet-lexem ...
Twendeni Bethlehemu!
›
Katika dini nyingi iko desturi nzuri ya kiroho ya kufanya hija pahala patakatifu au sehemu za kihistoria za dini hiyo. Hija hiyo mara nyi...
Yaani, imekula kwao!
›
Kuna msemo ulioshamiri sana kwa Waswahili, hasa ikiwa mtu anayo matumaini ya kupata kitu katika biashara na anakikosa anaambiwa: “Imekula...
Tafakari ya neno la Mungu, Jumapili ya tatu ya Kipindi cha Pasaka
›
Mpendwa mwana wa Mungu ninakuleteeni tena furaha ya Pasaka kwa njia ya tafakari ya Neno la Mungu tukiwa tayari Dominika ya tatu ya ...
Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi, Utuombee!
›
JANA ilikuwa Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani, maarufu kama Mei Mosi ni fursa inayotolewa na Jumuiya ya Kimataifa kila mwaka kwa wafanyaka...
Watakatifu wapya, miamba ya huruma ya Mungu !
›
Baada ya Baba Mtakatifu Francisko kuwatangaza Wenyeheri Yohane XXIII na Yohane Paulo II kuwa watakatifu, Jumapili tarehe 27 Aprili 2014 k...
Papa Francisko anawaalika vijana kutoka kimasomaso kukutana na Yesu Mfufuka!
›
Vijana wanaalikwa kumwangalia kwa namna ya pekee kabisa yule kijana tajiri anayesimuliwa kwenye Maandiko Matakatifu aliyemwendea Ye...
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti