Mzee
wa miaka 80 alirudi nyumbani kutoka msikitini, akabisha mlango wa
nyumba yake lakini hakufunguliwa, akasimama kwa mda mpaka akazirai na
kuanguka chini, Mke wake akaona mume wake amechelewa, akafunguwa mlango
kwenda kumtafuta, akampata amezirai mbele ya mlango, akamwagia maji
mpaka akapata fahamu, mke akamuomba msamaha mume wake kwa kuchelewa
kumfungulia mlango kwa kuwa hakusikia mlango ukibishwa na akaona yeye ndie sababu ya mumewe kuzirai..
Mume akamwambia mke wake sikuzirai kwa sababu hiyo bali niliposimama
mbele ya mlango wangu na nikaona umefungwa, nikawa nafikiria jee kama
ningekuwa nimesimama mbele ya Mlango wa Allah subhanahu wata'ala na
Allah subhanahu wata'ala hakunifungulia ningekuwaje?
Katika ile hali ya kufikiria hivyo nikajipata sina fahamu;);););)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni