Baba Mtakatifu anasema, hakuna sababu ya Kanisa kuogopa au kutishwa na nguvu za giza, bali linapaswa kusimama kidete na kwa ujasiri pamoja na watu wanaoendelea kuteseka, kwa kutetea haki zao msingi pamoja na kushiriki katika mchakato wa kuwaletea maendeleo endelevu yanayomlenga mtu mzima: kiroho na kimwili. Mambo haya yanajikita katika mchakato wa Uinjilishaji pamoja na kutafuta mafao ya wengi.
Week Hot newz
-
November 13 Patron of immigrants Died: 1917 St. Frances Xavier Cabrini, Virgin (Feast day November 13) St. Frances was born in Lombar...
-
DUNIA leo inaadhimisha Siku ya Kisukari. Ni ukweli usiokuwa na chembe ya shaka kuwa katika miaka ya karibuni ugonjwa wa ki...
-
Reading 1, James 2:14-24, 26 14 How does it help, my brothers, when som...
-
Reading 1, First Corinthians 15:35-37, 42-49 35 Someone may ask: How are dead people raised, and what sort of body do the...
-
1.1. NDUGU WADOGO KUPAMBANA HADI KUTENGANISHWA (1226-1517) 1.1.1. MWANZO WA MAPAMBANO (1226-1318) Mt. Fransisko...
-
Kardinali John Onaiyekan wa Jimbo kuu la Abuja, Nigeria, hivi karibuni wakati wa Maadhimisho ya Ibada ya Misa takatifu katika kumbu...
-
Rais Dk. John Magufuli, akiwa na Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga, katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya...
-
Reading 1, Sirach 47:2-11 2 As the fat is set apart from t...
Jengeni utamaduni wa watu kukutana na kudumisha amani!
Baba Mtakatifu anasema, hakuna sababu ya Kanisa kuogopa au kutishwa na nguvu za giza, bali linapaswa kusimama kidete na kwa ujasiri pamoja na watu wanaoendelea kuteseka, kwa kutetea haki zao msingi pamoja na kushiriki katika mchakato wa kuwaletea maendeleo endelevu yanayomlenga mtu mzima: kiroho na kimwili. Mambo haya yanajikita katika mchakato wa Uinjilishaji pamoja na kutafuta mafao ya wengi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)