Baba Mtakatifu Francisko alipokuwa anatangaza hija hii ya kitume aliwaambia waamini waliokuwa kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican kwamba, hija hii itafikia kilele chake wakati viongozi wawakilishi wa Makanisa watakaposali kwa pamoja kwenye Kaburi Takatifu, mwendelezo wa mchakato wa majadiliano ya kiekumene, ili wote wawe wamoja!
Week Hot newz
-
Utafiti mpya umeonesha watu wazima wengi duniani ni wanene kupita kiasi na kwamba hakuna matumaini ya kufikia lengo la kupunguza idadi...
-
NA OSCAR ASSENGA, TANGA-Tanzania.Gazeti Mtanzania. KATIBU wa Chama cha Watu Wenye Albino Mkoa wa Tanga (TAS), Mah...
-
Reading 1, James 2:14-24, 26 14 How does it help, my brothers, when som...
-
Reading 1, First Corinthians 15:35-37, 42-49 35 Someone may ask: How are dead people raised, and what sort of body do the...
-
Ninyi nyote ni wa Kristo na Kristo ni wa Mungu ni maneno ya Mtakatifu Paulo kwa Wakorintho waliokuwa wamegawanyika na kuwataka kuac...
-
(Vatican) Kumjua Kristu ni kutembea nae katika utendaji wote wa kila siku na si kumfahamu kinadharia au kwa kusoma tu maandishi ya...
-
Jumapili 23 Februari, majira ya asubuhi , katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Papa Francisko aliongoza maadhimisho ya Ibada y...
-
SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Ja...
Papa Francisko ajikabidhi chini ya ulinzi wa Bikira Maria!
Baba Mtakatifu Francisko alipokuwa anatangaza hija hii ya kitume aliwaambia waamini waliokuwa kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican kwamba, hija hii itafikia kilele chake wakati viongozi wawakilishi wa Makanisa watakaposali kwa pamoja kwenye Kaburi Takatifu, mwendelezo wa mchakato wa majadiliano ya kiekumene, ili wote wawe wamoja!
Kumekucha!
Baba Mtakatifu anatarajiwa kuondoka mjini Roma, Jumamosi, tarehe 24 Mei 2014 majira ya Saa 2:15 asubuhi na kuwasili Amman, Yordani saa 7:00 mchana na baadaye yatafuatia mapokezi ya heshima yatakayofanyika kwenye Jumba la Mfalme Al – Husseini majira ya Saa 7: 45. Baba Mtakatifu anatarajiwa kukutana na kuzungumza na viongozi wa Serikali ya Yordani majira ya saa 8:20 na baadaye Saa 10: 00 anatarajiwa kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye uwanja wa Kimataifa wa Amman. Jioni Baba Mtakatifu atatembelea kwenye eneo la Ubatizo wa Yesu, Ng’ambo ya Mto Yordan. Baadaye atakutana na kuzungumza na wakimbizi, wahamiaji na vijana walemavu.
Jumapili tarehe 25 Mei 2014, Baba Mtakatifu
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)