Maria Nyerere pichani ambaye ni mke wa aliyekuwa rais wa
kwanza nchini Tanzania Mwalimu Nyerere, amesema Nelson Mandela
ataendelea kukumbukwa kwa moyo wake wa kusamehe na kumtaja kwamba
alikuwa ni zawadi ya dunia katika kuleta upendo na maridhiano.
Uhusiano kati ya familia ya Mwalimu Nyerere na
ile ya Mzee Nelson Mandela umekuwa ni wa karibu kiasi kwamba familia
yake inajiandaa kwenda kuhudhuria katika mazishi yatakayofanyika tarehe
15 mwezi huu.Week Hot newz
-
Mwanamuziki Mbaraka Mwinshehe, aliimba: “Ugeni tabu ndugu zangu, unapofika nchi za mbali huwa mashaka. Hapo fikira za nyumbani ...
-
Papa Francis katika adhimisho la misa - ANSA Tarehe 1 ...
-
Machachari is a children comedy/ adventure series that depicts the friendship bet...
-
1.1. NDUGU WADOGO KUPAMBANA HADI KUTENGANISHWA (1226-1517) 1.1.1. MWANZO WA MAPAMBANO (1226-1318) Mt. Fransisko...
-
Tunaendelea na kipindi chetu tafakari Neno la Mungu masomo Dominika ya V ya mwaka A. Masomo yanatualika kuwa chumvi na mwang...
-
Takwimu zinaonesha kwamba, tangu Baba Mtakatifu Francisko alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki hapo tarehe 13 Machi 2013, zaidi ya w...

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni