Siku ya kumbukumbu ya kukumbuka ajali ya MV Bukoba tareehe 21/05/2016 katika jijini la mawe Mwanza (Rocky City) kutakuwa na burudani kabambe sana itakayo wakutanisha wasanii wengi wa ndani na nje ya Tanzania kama Neyo, Diamond, Batarokota na wasanii wengine kibao katika show inayotambulika kama Jembeka Festival 2016 chini ya udhamini wa JEMBEKA na VODACOM show ihi iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Week Hot newz
-
Mpendwa mwana wa Mungu, leo tunasherehekea na kushangilia sherehe ya familia Takatifu. Masiha amezaliwa ndani ya familia hii....
-
Ndege iliyokuwa imetekwa Rubani msaidizi wa ndege ya abiria ya shir...
-
Prayer in Time of Anger Lord Jesus, there is anger in my heart and I cannot root it out. I know that I should calm down and offer the hu...
-
Tunaendelea kama kawaida katika kipindi chetu, tafakari masomo Dominika, na leo tunatafakari masomo Dominika ya 33 ya mwaka C wa Kanisa...
-
Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Ted Cruz ameshinda mchujo wa chama hicho katika jimbo la Wisconsin, hilo likiwa pig...
-
Reading 1, James 3:13-18 13 Anyone who is wise or understanding among you should f...
-
Reading 1, First Corinthians 15:35-37, 42-49 35 Someone may ask: How are dead people raised, and what sort of body do the...
-
1.1. NDUGU WADOGO KUPAMBANA HADI KUTENGANISHWA (1226-1517) 1.1.1. MWANZO WA MAPAMBANO (1226-1318) Mt. Fransisko...
-
Tunaendelea kujielimisha na masuala mbalimbali yanayohusiana na maisha mchanganyiko, tukiwa ndani ya familia ambamo kwa kawaida t...
-
Tafakari imeletwa kwako na Pd Richard Tiganya, C.PP.S. Ni siku nyingine tena tunapokutana katika meza ya Neno la Mungu. Leo ...

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni