Sunderland imesonga mbele hatua ya nusu fainali ya michuano ya ya Kombe la Capital One baada ya kuichapa Chelsea mabao 2-1.
Chelsea ilimiliki mchezo huo kwa muda mrefu
katika dakika zote 90, huku Chelsea ikipata goli kutokana na mchezaji wa
Sunderland, Lee Cattermole kujifunga mwenyewe.Week Hot newz
-
Matumizi haramu ya dawa za kulevya ni janga kwa vijana we...
-
A Prayer for a Family O dear Jesus, I humbly implore You to grant Your special graces to our family. May ou...
-
Mpendwa msikilizaji wa Radio Vatican kipindi cha tafakari, ninakuleteeni tafakari ya Neno la Mungu Dominika ya tatu ya Majilio. Mas...
-
Viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa pamoja na wananchi wa Afrika ya Kusini wameanza kutoa heshima zao za mwisho kwa Tata Madiba kwa sala kut...
-
Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea kutoka Armenia a...
-
Watawa wa Mama Theresa wa Calcutta waliouwawa huko Yemen ni mashuhuda wa upendo na wahanga wa utandawazi usiojali wala kuguswa na maha...
-
MOROGORO,TANZANIA. MSANII wa bongo fleva na mkali wa kurap kwa lugha 31 Batarokota, amesema tangu alipofariki mke wake mpendwa mwaka ...
-
Siku ya kumbukumbu ya kukumbuka ajali ya MV Bukoba tareehe 21/05/2016 katika jijini la mawe Mwanza (Rocky City) kutakuwa na burudani kabam...
-
Pichani juu msanii wa nyimbo za asili ya Kitanzania Batarokota akiwa katika Hoteli ya Misana aliyofikia jijini Mwanza.. MSANII wa ny...
-
KUNA changamoto nyingi ambazo wagonjwa wa saratani wanakutana nazo hasa kwa wanawake ambao wana saratani ya titi. Changamoto hizo zimes...
Chelsea yachapwa na Sunderland
Noeli iwe ni siku kuu ya imani na matumaini; mapendo na amani
Baba Mtakatifu anasema, Noeli ni Siku kuu ya furaha na matumaini kwa Mwenyezi Mungu ambaye ameamua kuja na kuishi kati ya watu wake kwa njia ya Mwanaye wa
Mzee Nelson Mandela alikuwa pia shujaa wa Tanzania
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Tanzania na Afrika Kusini zina uhusiano wa kindugu na wa karibu sana kwa sababu ya kazi kubwa iliyofanywa na waanzilishi wa mataifa hayo mawili, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mzee Mandela.
Maisha ya Mandela Afrika ya Kusini wanaikumbuka sana Tanzania
Tanzania chini ya uongozi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa mstari wa mbele katika mapambono dhidi ya ukoloni na utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini kwa kuamini kwamba, binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.
Yesu Kristo ndiye kiini na chemchemi ya furaha ya kweli!
Furaha hii inatokana na utambuzi kwamba, mtu anapendwa
Chiefs banking on Madiba magic
Chiefs racked up a third straight league victory when they beat Free State Stars 2-0 away from home in late November.
The Soweto giants are unbeaten at home this season, with four wins and two draws from six matches.
The Amakhosi are placed second on the Absa Premiership log with 21 points from 11 matches.
If they win their game against Tuks and log leaders Mamelodi Sundowns lose their derby match against SuperSport United on the same day, Chiefs will assume first place on the standings.
Mama Maria Nyerere,Kikwete wafunika mazishi ya Mandela
16th December 2013
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza katika mazishi
ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, hayati Neson Mandela, yaliyofanyika
katika kijiji cha Qunu nchini humo jana.
Tukio hilo lilitokea baada ya Rais Kikwete kupewa fursa ya kuzungumza kwenye ibada hiyo ambayo ilianza mapema
EMMANUEL ANORLD OKWI ATUA YANGA!!
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa
kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Arnold Okwi ambaye alikua
akiichezea klabu ya SC Villa ya Uganda.
Yanga SC imempata mshambuliaji huyo msumbufu kwa mabeki wengi kwa mkataba wa miaka miwili na nusu ambapo kwa sasa ataitumika klabu yake mpya ya watoto wa jangwani mpaka mwishoni mwa msimu wa 2015/2016.
Dirisha dogo la usajili nchini Tanzania limefungwa leo usiku Disemba 15, 2013 saa 6 usiku ambapo mabingwa wa kihistoria klabu ya Yanga wamekalilisha taratibu zote za usajili ikiwa ni pamoja na kupata hati ya uhamisho wa kimataifa maarufu kama ITC.
Usajili wa Emmanuel Okwi unaifanya timu ya Yanga kufikisha idadi ya wachezaji watano wa kimataifa wakiwemo mganda mwenzake Hamis Kiiza, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite na Didier Kavumbagu.
Uongozi wa Yanga unawaomba wanachama, wapenzi na washabiki kuwapa ushirikiano wachezaji wote wa zamani na wapya waliosajiliwa katika dirisha dogo la usajili.
Wachezaji wengine waliosajiliwa hivi karibuni katika kuimarisha kikosi cha Yanga ni mlinda mlango Juma Kaseja ambaye alikuwa mchezaji huru na Hassan Dilunga aliyesajiliwa kutoka timu ya Ruvu Shooting.
Baraka Kizuguto
Afisa Habari – Young Africans SC
Disemba 15, 2013.

Papa Francisko mtu mashuhuri kwa Mwaka 2013
Nelson Mandela amezikwa kimila
Hayati Mandela alikuwa kipenzi cha dunia nzima
Rais wa kwanza mzalendo wa
Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela amezikwa katika kijiji cha Qunu mkoa
wa Cape Mashariki nchini Afrika Kusini.
Mjane wa Mandela Graca Machel pamoja na Rais wa
Afrika Kusini Jacob Zuma walikuwepo katika hafla ya mazishi
iliyohudhuriwa na jamaa za karibu wa familia ya Mandela pamoja na
viongozi wengine wakuu.Safari ya Mandela yaishia Kijiji cha Qunu!
Mandela daima alisema anataka kuzikwa nyumbani alikozaliwa Qunu
Kijiji cha Qunu ambako atazikwa
Hayati Nelson Mandela, kinaomboleza kifo cha shujaa aliyetoka katika
kijiji hicho Nelson Mandela.
Mazingira hapa ni ya kipekee, mchanganyiko wa nyumba za kisasa na za kitamduni ambazo mfano wake ni mizinga ya Nyuki.Udugu ni silaha dhidi ya umaskini, rushwa na ufisadi;
Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya tatu ya Kipindi cha Majilio
Tafakari masomo Dominika, ninafurahi tena kuwa
nawe katika safari yetu ya Majilio tukijiandaa kwa ajili ya ujio wa
Mwana wa Mungu. Ni wakati huu tunapoimba kwa furaha Masiha wetu njoo,
ukatuokoe.
Tuko sasa Dominika ya tatu ya Kipindi cha Majilio ambapo Neno la Mungu linatualika kutambua kwa njia ya imani alama zinazomtambulisha Masiha. Tunapata kutafakari katika Injili juu ya wasiwasi wa Yohane Mbatizaji juu ya Masiha, kiasi kwamba anatuma wafuasi wake tokea gerezani wakamwulize Bwana wakisema, eti wewe ndiye Masiha tuliyemtarajia au tumngojee mwingine?
Yohane Mbatizaji anaingiwa na wasiwasi kwa sababu aliweka matumaini yake katika alama zisizo za kweli! Kwetu sisi yaweza tokea na inatokea mara kadhaa kutumaini katika bwana asiye mwenyewe! Kumbe leo mwaliko ni huo, yaani kuwa makini ili tusianguke katika mtego kama huo!
Mpendwa msikilizaji, alama ambazo zilisadikika na Yohane Mbatizaji na wafuasi wake ni kuwa Masiha ajaye atakuwa hakimu mkali atakayewapatiliza mbali wadhambi. Kinyume chake Masiha hafanyi hilo isipokuwa upendo kwao akitafuta kuwaokoa katika taabu yao hiyo. Mpendwa msikilizaji, kazi na wajibu wetu mkuu, ni kutambua wakati huo tukijiuliza daima, ni alama zipi zinazomtambulisha Masiha ambaye tunaimba kwa furaha tukisema uje kutuokoa!
Ndiyo kusema, alama za kweli tunazipata katika Somo la kwanza toka kitabu cha Nabii Isaya 35:1-6,10 akisema ndipo vipofu na viziwi watakapoona na kusikia, mwenye kupooza atarukaruka tena na bubu kuimba kwa furaha. Mara moja toka katika alama hizi tunagundua kuwa Masiha anakuja kwa ajili ya kuwaondoa walio katika taabu na kuwaweka huru. Taabu kwa kawaida ni tokeo la dhambi, yawezekana dhambi ya mtu binafsi lakini hasa dhambi kwa ujumla.
Mpendwa msikilizaji, katika hili tunaalikwa kuingia katika safari ya toba na uaminifu kwa Injili kama tusomavyo katika Injili ya Marko. 1:15. Katika toba na kuishi Injili tunafikia kwa namna ya pekee kabisa hatua ya kutambua alama zinazomtambulisha Masiha.
Jukumu la kuishi alama hizi linatuweka katika mazingira ya furaha na linatuonesha waziwazi kwamba utawala wa Masiha unaanza kukolea katika maisha yetu.
Mpendwa mwana wa Mungu, inawezekana ikajitokeza kukawa na kuchelewa katika utekelezaji, yaani kuishi toba na hivi tukaweza kukata tamaa, basi Mtume Yakobo anatutia moyo na tumaini akisema, kuweni na subira mpaka Bwana atakapokuja. Katika subira tunataka polepole kutenganisha uovu na ubaya ulio katika jumuiya na katika mtu awaye yote katika ubinafsi wake.
Katika subira Mtume Yakobo anatuonya daima kuachana na tabia ya kuhukumiana maana hakimu mwaminifu ni mmoja yaani Mfalme Masiha. Mtume Yakobo anatuonya katika subira kutambua kuwa safari ya wokovu lazima itazamwe kama mkulima anavyongojea mvua za masika na za vuli.
Mpendwa msikilizaji, kipindi cha Majilio ni kipindi cha neema, ni kipindi cha kupanda ili kujipatia mavuno hapo baadaye, na kwa hakika mavuno ni furaha ya moyo inayokamilishwa katika Yesu Kristu mfufuka ambaye atatufufua siku ya mwisho na kukaa naye katika kiti cha enzi pamoja na Baba mbinguni.
Nikikutakia majilio njema napenda kusema fikiria zaidi kuwalisha maskini na kuwahudumia wagonjwa katika jumuiya yako na jitahidi kuwa adui wa dhambi kila siku ya maisha yako. Mpendwa, hiyo ndiyo namna ya kuishi Majilio ya mwaka huu. Nakukumbusha tena hapo jirani kwako kuna mtoto ambaye amekosa ada ya shule msaidie na mfundishe namna ya kuitumia na zawadi yako kwa hakika ni mbinguni. Tumsifu Yesu Kristo na Bikira Maria.
Tafakari hii imeletwa kwako na Padre Richard Tiganya, C.PP.S.

Teacher handed 3 life sentences for rape
Colonel Jay Naicker said Nkosingiphile Hlekwayo, 50,
raped the 11-year-old girl on three occasions in 2009. The court
sentenced him on Wednesday.
Colonel Jay Naicker said Nkosingiphile Hlekwayo, 50, raped the 11-year-old girl on three occasions in 2009. The court sentenced him on Wednesday.
"The victim reported the matter to her parents and a case was opened at the Empangeni police station," he said.
"The Empangeni family, child protection and sexual offences unit took over the investigation that led to the arrest of the accused on the same day that the offence was reported."
He said Hlekwayo's family allegedly approached the girl's family and promised to pay them or give them cattle if they withdrew the case.
"The victim's parents refused to do so and they... allegedly received death threats. The victim was taken to a place of safety until the case was finalised."
Provincial police commissioner, Lt-Gen Mmamonnye Ngobeni welcomed the sentence and expressed her confidence in the judicial system.
Robin van Persie hatachezea Manchester United kipindi hiki
|
|
14 December 2013, 10:14
Robin van Persie hatachezea Manchester United
kipindi hiki cha mechi nyingi baada ya kupata jeraha la paja ambalo
litamuweka nje mwezi mmoja, meneja David Moyes alisema Ijumaa. "Robin Van Persie atakuwa nje mwezi mmoja. Alipata jeraha kwenye paja akipiga kona ambayo ilizaa goli (dhidi ya Shakhtar Donetsk on Tuesday)," Moyes aliambia kikao cha wanahabari kabla ya mechi yao ya Jumapili Aston Villa.
Mholanzi huyo, ambaye amefunga mabao saba katika mechi 11 za Ligi ya Premia msimu huu, alirejea baada ya kuuguza jeraha la mtoki wikendi iliyopita wakati wa
Arsenal ya lala kwa Man City 6-3
a
Arsenal walilalamika wakitaka kupewa
penalty moja ingawa kwa kweli Man City walikuwa wamejiandaa vilivyo
dhidi ya Arsenal, huu ulikuwa kama upepo kwao.
Man City
Manchester City, wametoa ujumbe
mkali kwa mahasimu wao kwenye ligi ya Premier Arsenal baada ya
kuwacharaza mabao sita kwa matatu.
Upande wa Manuel Pellegrini uliwacharaza Arsenal na kuziba pengo la pointi tatu.Safari ya Mandela mwisho Kijiji cha Qunu
Jeneza la Mandela
Mwili wa hayati Nelson Mandela
umepelekwa katika mkoa wa Eastern Cape kwa safari ya mwisho kabla ya
kuzikwa siku ya Jumapili kijijini Qunu.
Idadi kubwa ya watu walifurika barabara angalau kumtupia jicho shujaa wao na kutoa heshima zao za mwisho.Jumuiya ya Kimataifa inaomboleza Kifo cha Tata Madiba!
Siku ya pili heshima mwili wa Mandela
Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela
Waombolezaji nchini Afrika
Kusini wanaingia siku ya pili katika zoezi la kutoa heshima za mwisho
kwenye mwili wa Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Hayati Nelson
Mandela.
Maelfu ya watu wamejipanga kwenye mistari
wakisubiri kutoa heshima zao za mwisho kwenye mwili huo uliolazwa katika
ikulu kwenye jengo la Muungano mjini Pretoria.Madiba, kwa heri! Umekuwa ni daraja la upatanisho!
Mwili
wa Marehemu Nelson Mandela, Siku ya Jumatano tarehe 11 Desemba 2013
umewasili mjini Pretoria ambako utakaa kwa muda wa siku tatu, ili kutoa
nafasi kwa wananchi wa Afrika ya Kusini kutoka heshima zao za mwisho.
Magari ya Polisi yaliusindikiza Mwili wa Tata Madiba kutoka kwenye
Hospitali ya Kijeshi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)