Kanisa hilo, ambalo pia lina hadhi ya Basilika, lililoko karibu na Kituo cha Kikuu Treni cha Kati, jijini Roma , huendeshwa na Wamisionari WaSalesians ya Don
Papa Francis
Maafisa katika Vatican makao
makuu ya kanisa katoliki, wanatarajariwa kuhojiwa na maafisa wa Umoja wa
Mataifa kuhusu dhuluma za kingono ambazo makasisi wa kanisa hilo
waliwatendea maelfu ya watoto.
Maafisa hao walikataa ombi la awali ambapo Umoja
wa Mataifa ulikuwa unataka taarifa za kina kuhusu dhuluma za kingono
wakisema kuwa visa hivyo vinapaswa kushughulikiwa na idara ya mahakama
katika mataifa ambako visa hivyo vilitokea