St. Cyril of Alexandria, Bishop and Doctor of the Church (June 27) Cyril was born at Alexandria, Egypt. He was nephew of the patriarch of that city, Theophilus. Cyril received a classical and theological education at Alexandria and was ordained by his uncle. He accompanied Theophilus to Constantinople in 403 and was present at the Synod of the Oak that deposed John Chrysostom, whom he believed guilty of the charges against him. He succeeded his uncle Theophilus as patriarch of Alexandria
on Theophilus' death in 412, but only after a riot between Cyril's
supporters and the followers of his rival Timotheus. Cyril at once began
a series of attacks against the Novatians, whose churches he closed;
the Jews, whom he drove from the city; and governor Orestes, with whom
he disagreed about some of his actions. In 430 Cyril became embroiled
with Nestorius, patriarch of Constantinople, who was preaching that Mary was not the Mother of God since Christ
was Divine and not human, and consequently she should not have the word
theotokos (God-bearer) applied to her. He persuaded Pope Celestine I to
convoke a synod at Rome, which condemned Nestorius, and then did the same at his own synod
in Alexandria. Celestine directed Cyril to depose Nestorius, and in
431, Cyril presided over the third General Council at Ephesus, attended
by some two hundred bishops, which condemned all the tenets of Nestorius
and his followers before the arrival of ArchbishopJohn of Antioch
and forty-two followers who believed Nestorius was innocent. When they
found what had been done, they held a council of their own and deposed
Cyril. Emperor Theodosius II arrested both Cyril and Nestorius but
released Cyril on the arrival of Papal Legates who confirmed the
council's actions against Nestorius and declared Cyril innocent of all
charges. Two years later, Archbishop
John, representing the moderate Antiochene bishops, and Cyril reached
an agreement and joined in the condemnation, and Nestorius was forced
into exile. During the rest of his life, Cyril wrote treatises that
clarified the doctrines of the Trinity and the Incarnation and that
helped prevent Nestorianism and Pelagianism from taking long-term deep
root in the Christian
community. He was the most brilliant theologian of the Alexandrian
tradition. His writings are characterized by accurate thinking, precise
exposition, and great reasoning skills. Among his writings are
commentaries on John, Luke, and the Pentateuch, treatises on dogmatic
theology, and Apologia against Julian the Apostate, and letters and
sermons. He was declared a doctor of the Church by Pope Leo XIII in 1882. His feast day is June 27th.
Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India.Mwanamke
huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya kitaalamu ya IVF ambapo yai la
mwanamke hutolewa kutoka kwenye ovari, kutungishwa mbegu ya kiume na
kisha kurejeshwa kwenye mji wa mimba. Yai hilo linaweza kutolewa kwa
mwanamke mwingine.
Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha wanawake tasa kupata watoto.
Daljinder Kaur alijifungua mtoto wake baada ya kupokea matibabu kwa miaka miwili katika hospitali iliyoko jimbo la Haryana.
Matabibu walifanikiwa kumtungisha mimba kupitia IVF mara yao ya tatu.
Mumewe Kaur ana umri wa miaka 79.
Umati wa watu wakimsikiliza Papa Francisco wakati wa sala ya Malkia wa Mbingu
08.05.2016 - REUTERS
Baba
Mtakatifu Francisko, Jumapili akisali sala ya Malkia wa Mbingu,Jumapili
ya saba ya kipindi cha Pasaka, alihimiza Wakristo kumhubiri Kristo,
kila mahali duniani bila woga. Himizo hilo alilitoa mbele ya maelfu ya
mahujaji na wageni waliokusanyika katika Uwanja wa Kanisa Kuu la
Mtakatifu Petro , Jumapili hii ambayo pia Mama Kanisa alikuwa
akiadhimisha Sikukuu ya Kupaa Rabbi, na Siku ya Mama wote .
Akitoa hotuba fupi juu ya siku kuu ya Kupaa Rabbi , Papa alisema,
"awali kabla ya kuwaacha marafiki zake , Yesu alifanya rejea katika kifo
na ufufuko wake , akisema ninyi ni mashahidi wangu. Na kumbe Yesu
anawataja mitume wake waliokuwa mashahidi wakati wa mateso kifo na
ufufuko wake pia wanakuwa mashahidi wake wakati wa kupaaa kwake Kristo"
Mgombea urais wa
chama cha Republican nchini Marekani Ted Cruz ameshinda mchujo wa chama
hicho katika jimbo la Wisconsin, hilo likiwa pigo kubwa kwa Donald
Trump.Katika chama cha Democratic, Bernie Sanders alipata ushindi mkubwa dhidi ya Hillary Clinton anayeongoza kwa wajumbe kwa sasa.
Bw
Trump anaongoza kwa wajumbe na katika kura za maoni chama cha
Republican, lakini kuna wasiwasi kwamba huenda akashindwa kupata wajumbe
wa kumuwezesha kuidhinishwa moja kwa moja kuwa mgombea.
Wapinzani
wa Bw Trump wanatumai kwamba hilo likifanyika basi wanaweza kubadilisha
mambo katika mkutano mkuu wa chama hicho wa kuidhinisha wagombea mwezi
Julai.
Katika mkutano huo, iwapo hakuna mgombea atakayepata zaidi
ya nusu ya wajumbe, ni viongozi wa chama ambao watakuwa na usemi katika
kuamua mgombea.
“Leo ni siku muhimu sana, inatoa ujumbe kwa watu wa Marekani,” Bw Cruz amewaambia wafuasi wa chama hicho Milwaukee.
“Tunashinda kwa sababu tunaunganisha chama cha Republican.”
Bw Cruz huenda asipate wajumbe wa kutosha kumuwezesha kushinda uteuzi moja kwa moja, lakini
viongozi wa chama cha Republican wanamuunga mkono katika juhudi za kumzima Bw Trump.Bw Trump kwa upande wake amesema kwamba ana
matumaini kwamba atafanikiwa licha ya kushindwa Wisconsin na
akamshambulia mpinzani wake."Ted Cruz ni mbaya kushinda
kikaragozi, yeye ni kama kirusi, anatumiwa na viongozi wa chama
kutupokonya uteuzi,” maafisa wa kampeni wa Bw Trump wamesema kupitia
taarifa.
Viongozi wa chama wana wasiwasi kwamba Bw Trump hatakuwa
na nguvu sana katika kukabiliana na mgombea wa Democratic uchaguzini
iwapo ataidhinishwa na pia kwamba anaweza kuathiri wagombea ubunge wa
Republican uchaguzini.
Kura za maoni zinaonesha hapendwi na wanawake, watu wa Hispania na vijana.
Katika
upande wa Democratic, ushindi wa Sanders jimbo la Wisconsin
umemuongezea nguvu kabla ya mchujo muhimu New York na Pennsylvania. Seneta huyo wa Vermont, akiwahutubia wafuasi wake
Wyoming, amesisitiza kwamba kampeni yake inaendelea kushika kasi na
kwamba atabadilisha mambo."Mabadiliko kamili huwa hayafanyiki kutoka juu kwenda chini, huwa yanatoka chini kwenda juu,” amesema.
Bi
Clinton yuko mbele sana kwa wajumbe na wadadisi wengi wa kisiasa
wanasema ana uwezekano mkubwa wa kushinda uteuzi wa chama cha Democratic
licha ya kushindwa majimbo kadha karibuni.
Ingawa Bw Trump alishindwa mchujo huo wa Jumanne Wisconsin, bado ana muda wa kujikwamua.
Rais Dk. John Magufuli anatarajia kuondoka nchini kuelekea
Rwanda, ikiwa ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu aapishwe kuingia
madarakani Novemba 5, mwaka jana.
Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, ilieleza kuwa katika ziara hiyo
Rais Magufuli na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wanatarajia kufungua
daraja la kimataifa la Rusumo na kituo cha pamoja cha ukusanyaji ushuru
mpakani, ambacho ni moja ya miradi muhimu iliyoanzishwa kwa hisani ya
Jumuiya ya Afrika Mashariki.
17 Then the high priest intervened with all his supporters from the party of the Sadducees. Filled with jealousy,
18 they arrested the apostles and had them put in the public gaol.
19 But at night the angel of the Lord opened the prison gates and said as he led them out,
20 'Go and take up position in the Temple, and tell the people all about this new Life.'
21 They did as they were told; they went into the Temple at dawn and began to preach. When the highpriest arrived, he and his supporters convened the Sanhedrin -- this was the full Senate of Israel -- and sent to the gaol for them to be brought.
22 But when the officials arrived at the prison they found they were not inside, so they went back and reported,
23 'We found the gaol securely locked and the warders on duty at the gates, but when we unlocked the door we found no one inside.'
24 When the captain of the Temple and the chief priests heard this news they wondered what could be happening.
25 Then a man arrived with fresh news. 'Look!' he said, 'the men you imprisoned are in the Temple. They are standing there preaching to the people.'
26 The captain went with his men and fetched them -- though not by force, for they were afraid that the people might stone them.
Responsorial Psalm, Psalms 34:2-3, 4-5, 6-7, 8-9
2 I will praise Yahweh from my heart; let the humble hear and rejoice.
3 Proclaim with me the greatness of Yahweh, let us acclaim his name together.
4 I seek Yahweh and he answers me, frees me from all my fears.
5 Fix your gaze on Yahweh and your face will grow bright, you will never hang your head in shame.
6 A pauper calls out and Yahweh hears, saves him from all his troubles.
7 The angel of Yahweh encamps around those who fear him, and rescues them.
8 Taste and see that Yahweh is good. How blessed are those who take refuge in him.
9 Fear Yahweh, you his holy ones; those who fear him lack for nothing.
Gospel, John 3:16-21
16 For this is how God loved the world: he gave his only Son, so that everyone who believes in him may not perish but may have eternal life.
17 For God sent his Son into the world not to judge the world, but so that through him the world might be saved.
18 No one who believes in him will be judged; but whoever does not believe is judged already, because that person does not believe in the Name of God's only Son.
19 And the judgement is this: though the light has come into the world people have preferred darkness to the light because their deeds were evil.
20 And indeed, everybody who does wrong hates the light and avoids it, to prevent his actions from being shown up;
21 but whoever does the truth comes out into the light, so that what he is doing may plainly appear as done in God.'
Baba Mtakatifu Francisko amemtunukia nishani ya heshima ya utumishi uliotukuka Dr. Alberto Gasbarri, aliyekuwa mratibu wa hija za kitume za kipapa na mkurugenzi mkuu wa utawala Radio Vatican. Katika hotuba yake, ya shukrani kwa Dr. Gasbarri, Askofu mkuu Angelo Becciu, katibu mkuu msaidizi wa Vatican amesema kwamba, nishani hii imetolewa na Baba Mtakatifu kwa kutambua ukweli na weledi uliomwilishwa na Dr. Gasbarri katika huduma yake mjini Vatican. Nishani hii ni changamoto ya kusonga mbele ili kuendelea kumwilisha tunu msingi za Kiinjili katika uhalisia wa maisha.
SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kutoa agizo la kupunguza mishahara mikubwa ya watendaji wa mashirika ya umma, hatimaye Serikali kupitia Bodi ya Mishahara imeanza kazi ya kufanya marekebisho hayo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Magufuli, kuagiza kushushwa kwa viwango vya mishahara ya viongozi wa mashirika ya umma ambapo wengine hulipwa Sh milioni 36 hadi milioni 40 kwa mwezi.
Akizungumza na MTANZANIA jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, alisema katika kipindi cha miezi 15 kuanzia sasa mishahara ya watumishi hao itapunguzwa na kuwa yenye uwiyano.
Rais wa Tanzania
John Magufuli ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na
badala yake akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa
katika shughuli zao binafsi.
Siku hiyo hata hivyo bado itasalia
kuwa ya mapumziko kama kawaida. Agizo hilo la Dkt Magufuli aidha
linaathiri shamrashamra za mwaka huu pekee.Siku hiyo huadhimishwa
tarehe 26 Aprili kila mwaka kukumbuka siku sawa na hiyo mwaka 1964
ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa kwa Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja).
Dkt Magufuli amesema fedha ambazo zilipangwa kutumika kwa ajili
ya kugharimia vinywaji, vyakula, gwaride, halaiki, burudani mbalimbali
na hafla ya usiku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni mbili za Tanzania
zitumike kupanua barabara ya Mwanza Airport katika eneo linaloanzia
Ghana Quarters hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.
Barabara hiyo inafanyiwa upanuzi kutatua msongamano wa mkubwa wa magari ambayo umekuwa ukiathiri shughuli eneo hilo.
Dkt Magufuli amekuwa mapumzikoni nyumbani kwake eneo la Chato, kaskazini magharibi mwa Tanzania.
Mabingwa Yanga waliolalamika kupangiwa ratiba ngumu ya
mechi za viporo vya Ligi Kuu Bara, jana walianza vizuri safari ya
kusafisha viporo hivyo kwa kuwanyoosha Kagera Sugar waliocheza sehemu
kubwa ya kipindi cha pili wakiwa 10 kwa kuifunga mabao 3-1 katika mechi
iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli, akiwa na Waziri Mkuu mstaafu wa
Kenya, Raila Odinga, katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya
Chato mkoani Geita jana. PICHA: IKULU
Rais John Magufuli, amesema atahamishia utumbuaji majipu
kwenye Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita,
endapo mchango wa Sh. milioni 10 aliotoa kwa ajili ya upanuzi wa kanisa
hilo zitatumiwa vibaya.
AZAM FC wameshindwa kuibuka na ushindi katika Uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji Toto
Africans katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Toto Africans wanaodaiwa kuwa na udugu na Yanga, wametibua mbio za
Azam FC za kuwania ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuwazuia kuondoka na
pointi tatu muhimu katika mchezo huo wa kiporo.
Kwa matokeo hayo, Azam FC imefikisha pointi 51 wakiwa nyuma ya
mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 53 huku vinara wa ligi hiyo, Simba
wakiendelea kuwa kileleni kwa pointi 57.
Katika mchezo huo wa jana, Azam FC walipata bao kupitia kwa John
Bocco dakika ya 23 baada ya kuunganisha pasi safi ya Khamis Mcha.
Toto Africans walisawazisha bao hilo dakika ya 40 kupitia kwa Waziri Juma, matokeo ambayo yalidumu hadi dakika tisini.
Michezo mingine ya ligi hiyo, Stand United iliibuka na ushindi wa
mabao 2-0 dhidi ya Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Kambarage mjini
Shinyanga, mabao yao yakifungwa na Elius Maguli na Vitalis Mayanga. Katika Uwanja wa Mabatini mkoani Pwani, JKT Ruvu wamefanikiwa
kuididimiza African Sports ya jijini Tanga bao 1-0, likifungwa na Musa
Kiumbu ambaye baadaye alipewa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mchezaji
wa Sports.
Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, wenyeji Ndanda FC
wamegawana pointi na Tanzania Prisons kutoka Mbeya, baada ya kutoka
suluhu.
Tarehe 24 Aprili 2016 ni Siku ya
Mshikamano wa Papa Francisko na wananchi wa Ukraine wanaoteseka kutokana
na vita na mipasuko ya kijamii.
Baba
Mtakatifu Francisko baada ya maadhimisho ya Fumbo la Ekaristi Takatifu,
Jumapili ya huruma ya Mungu, tarehe 3 Aprili 2016, wakati wa Sala ya
Malkia wa mbingu amesema, Jumapili hii ni kiini cha maadhimisho ya Mwaka
Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu. Kwa namna ya pekee, Baba
Mtakatifu amewakumbuka na kuwaombea wale watu wa mataifa wenye kiu ya
upatanisho na amani. Amewakumbuka wananchi wa Ukraine; wanaoendelea
kubaki katika nchi yao ambayo imegeuka kuwa uwanja wa vita na vurugu.
Batarokota Paskal Linda akiwa anasoma somo la kwanza katika kanisa katoriki la St Patrisi mjini Morogoro.
ANAWAOMBA msamaha wote akitamka Batarokota
` Ndugu, jamaa na marafiki zangu katika Kristu Yesu nimewakosea sana kwa mawazo,
kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu wangu, nimekosa mimi nimekosa sana kwenu
ndio maana naomba mnisamee kwa yote niliowatenda najua nimewatenda mengi mabaya
sana kwangu na kwenu na mbele ya Mungu wa huruma ni mengi, kwa walionikwanza nimewasamehe wote, Toba ni
neno la kutubu au kutoa kitu ulichokifanya kinyume na ya Mungu, Mimi mdhambi
nimeanguka mnihurumie ` aliomba msamaha kwa manjozi makubwa.
KWA NINI BATAROKOTA ANAPENDA KUSOMA
BIBLIA?
Kwa sababu mbili.
Kwanza aliamini kwamba kwa kuwa kuna
miungu mengi chini ya jua, lazima kuna mmoja awe mkuu kuwaliko aliamini ni
Mungu muumba wa mbingu na nchi aliyeileta biblia kupitia viywa vya manabii.
Pili, Batarokota alijua kuwa Biblia
ni kitabu kinacho heshimika sana na kina pumzi ya Mungu aliye hai, Hiyo ndio maana
anapenda sana kusoma na kutafakari maneno matakatifu yaliyomo katika Biblia.
HISTORIA FUPI YA BATAROKOTA
Msanii wa Bongo fleva na mkali wa kurap kwa lugha zaidi ya 32
Bataroka Paskal Linda Mgundu alizaliwa tarehe 14/April/1974 Kijiji cha
Kigamboni katika Hospitali Teule ya Kigamboni Mkoa wa Temeke jijini Dar es
salaam, nakupewa jina la Linda ambalo ndio jina la baba kizaa baba yake
Batarokota. Kabila ni Msukuma kutoka kijiji cha Nyashigwe kilomita 35 kutoka
jijini Mwanza kaskazini mwa nchi ya Tanzania upande wa baba.
Batarokota alibatizwa katika kanisa la RC Kijenge jijini
Arusha mwaka 1980 na kupewa jina la Paskal kwa sababu alizaliwa siku ya
kufufuka kwa Yesu Kristu Bwana na Mkombozi wa Ulimwengu wote.
Ni mtoto wa kwanza katika familia ya Baba na Mama Beatus Linda
iliyopo Nyamhongolo kijijini katika jiji la Mwanza, yenye watoto saba
(7) kwa majina ni:
Happy Linda ambae ni marehemu aliyefariki gafla tarehe
9/Mai/2007 maeneo ya Mbagala jijini Dar es salaam(rest in peace sister Happy
Linda), Naomi linda, Zakaria Linda (Dj Zari), Yohana linda (y brain), Monical
linda na Norbert Linda.
Batarokota ameoa alifunga ndoa Jumamosi ya tarehe 5/Machi/2011
katika kanisa Katoriki la Mtakatifu Patrisi la mjini Morogoro nchini Tanzaniana Sara Dile Linda (19), na kupata cheti cha
B No. 0129392 mbele ya mashaidi Alphone Dominiki na Josephine John.
Ni baba wa watoto wanne wakwanza alizaa na mchumba wake wa
kwanza Marehemu Saula Athony Kapama aliyefariki tarehe 9/Agosti/2005 Sumve
Matare kwa ajali ya gari Land Rover yenye usajili wa MZL 578 iliyongongwa na
Treni namba 73R02 na 73RO5 iliyokuwa na injini mbili na mabehewa ya abiria
iliyokuwa ikienda Mwanza kwenda Dar es salaam.Katika ajali hiyo Batarokota
alimpoteza mchumba wake Saula Kapama
(26), shemeji yake Patris Kapama (36), rafiki zake Saguda Ngedu na Dotto.
Marehe Saula Kapama aliye kuwaaliacha mtoto mmoja jina Ng`wibis Linda ambae alizaliwa Agosti 2000
katika Dispensary ya St Michae jijini Mwanza, Tanzanial.
Baada ya kufariki kwa mchumba wa Batarokota mwaka uliofuata
alipata mchumbaRuti Fidel Kanuti kabla
ya ndoa waliweza kupata mtoto , ambae anaitwaShija Paskal ambae alizaliwa Desemba 2006 katika Hospital ya Bugando
jijini Mwanza nchini Tanzania.
Batarokota aliachana na mchumba wako huyo na kuondoka kwenda
kuishi Morogoro nchini Tanzania ndio alipofanikiwa kupata mwanamke na kufunga
nae ndoa na kupata watoto wawili wa kike Makrina Juliana ambae alizawa Novemba/
2011 mjini Morogoro katika Hospital ya Morogoro na Telezia wa Yesu aliyezaliwa
Desemba/2013 Msimii Singida Vijijini.
ELIMU
1984 – 1990 shule ya msingi Igoma, Jijini Mwanza wilaya ya Nyamagana kata ya
Igoma.
1991- 1994 shule ya sekondari Buswelu , jijini Mwanza wilaya
ya Ilemela kata ya Buswelu.
1995 -1997kidato cha
tano na sita Nyeri Sekondari Kisumu nchini Kenya .
10.07.2007 Aliudhuria mafunzo Tanzania Breweries Limited
Mwanza na kupata cheti cha Training on Beer Knowledge, General Hygiene and
Customer Service.
2010 Januari - FebruariChuo cha Power computerjijini Mwanza nchini Tanzania na kuahitimu masomo cheti cha Basic
Computer Components.
2011 Septemba – 2013
April Saint Paul's University kilichopo
Ikebukuro, Tokyo. na kuhitimu Diploma in Information Technology Networking.
BAADHI YA MATAMASHA ALIYO SHIRIKI
1994 Novemba Batarokota alifanya show ya kuwaanga kidato cha
nne katika shule ya Buswelu Sekondari na Mgeni rasmi alikuwa Hayati Paulo
Bomani.
1996 Julai Batarokota alialikwa katika show ya kusaka
mrembo wa Kigamboni (Miss Kigamboni ) katika ukumbi wa CCM kivukoni .Katika
show alikuwa wamealikwa wasanii Fune with Sanse kiongozi wao J- Mtambo na kundi
lake la POSOJU.
1998 Agosti Batarokota alifanya show kubwa akiwa na kundi lake
la G tha dunia jijini Nairobi chini ya wadhaminiwa kampuni ya utengenezaji wa sigara za Benson & Hedges . Tamasha ili
lilifanyika ukumbi wa Carval simba saloon, pamoja na wasanii G tha Dunia kutoa
burudanipia alikuwepo msanii Coolio
kutoka Marekani na wasanii wa Kenya kama Kalamashaka, Hard stoney na wengine wengi.
1998 Septemba Batarokota
alikalibishwa na kundi lake la G tha Dunia katika ukumbi wa Liberty Hall jijini
Mwanza, siku hiyo walikuwa wanazindua singo ya wimbo 'upendo kwa mama' wasanii walio alikwa ni Mr
2, Dr KB, BWV, Makamanda wa Gola, Marehemu Daz P, na wengine wengi.
2004 Julai Batarokota akiwa na kundi la G THA Dunia alialikwa
pamoja na wasaniii H- Baba, J- Mo, Mr Paulo, Solo Thang, Vick Kamata na BWV.
katika kufanya show kubwa iliyo fanyika katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi
mjini Tabora show hii iliandaliwa na Zizou Entertnment. Show hii ilikuwa
piamikoa Mara, Tabora na Mwanza.
2004 Desemba Batarokota
alialikwa yeye pamoja na msanii wa nyimbo za kiasili ya kisukuma Mama Nyamoko
(Suzana Nyamoko), kwenye show ya kuwaburudisha watu wa Geita siku ya Kristimasi
katika ukumbi wa Lake View Hotel .
2005 Machi Batarokota amefanya show aliyoalikwa jijini Nairobi
-Kenya katika ukumbi wa Brokriny uliopo Gethorai 44
onyesho hili lilifadhiriwa na Princess Studio.
31/Machi/2014 Msanii Batarokota aliudhuria semina ya washiriki
wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 kama mshiriki anayewania tuzo
ya wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania, semina hiyo ilifanyika
katika ukumbi wa Peninsula Ball room gorofa ya 6 Double Treeby Hilton, Masaki jijini Dar es salaam.
Semina hiyo ilikuwamahususi kwa
washiriki wa wanao wania tuzo kupiga picha, kupata maelekezo ya kina ya msimu wa
KTMA 2014, kujua utaratibu wa kupiga kura na kupigia kura, matumizi ya social
media kujinadi na kupata namba ya ushiriki. Semina hiyo iliendeshwa na Taji
Liundi, Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager George Kavishe, Kaimu katibu
mtendaji wa BASATAGodfrey l.Mngereza na
kampuni ya kuesabu kura ya AUDITAX. Baadhi ya wasanii walio jumuika pamoja na
Batarokota kwenye semina hiyoni Mzee
Yusufu, Nyoshi el Saadati, Mr Blue, Ashimba, na wengine wengi.Pia baada ya
kumalizika semina hiyo Batarokota aliingia mkataba mnono na kuuza santuri katika
kampuni ya Mkito,inayo uza mziki ya
wasanii Duniani kote kupitia tuvuti ya www.mkito.com . Santuri za Batarokota unaweza kuzipata kwa https://mkito.com/artist/116 kwejaga Nyangisha`, `vichwa vya kale` na `sauti ya haki`
2014 Julai Batarokota alifanya show kubwa Coopenhangen
Denmank katika ukumbi wa SHTU Club chini ya udhamini wa Cocacola.
2014 Septemba Batarokota alifanya
show kwenye kampeni ya kumunadi mgombea wa CCM ambaye ndie alikuwa mshindi wa
urais J.Pombe Magufuri katika uwanja wa Jamhuri na Morogoro na CCM Kirumba
Mwanza.
MAISHA
Kipaji cha Batarokota kilianza kuonekana toka akiwa shule ya
msingi Igoma mwaka 1984, Akiwa shuleni alikuwa akicheza ngoma za asilia kwenye
kundi la shule na alikuwa akifundishwa na Mwalimu Matongo ambae ni marehemu na
Mwalimu Mayugu ambae kwa sasa ni mwana kwaya wa Mtakatifu Joseph Bakita katika
kanisa la Romani Katoriki Igoma.Wanafunzi ambao Batarokota anakumbuka walio
kuwa wanacheza wote ngoma ni Tasi Cosinatantine, Paskal Makaka, Peter
Makuke,Frimat Lyimo na wengine wengi.
Mnamo Tarehe 9/Januari/1998, Batarokota alianziha kundi la
mziki wa kurap jijini Mwanza kwa jina G Tha Dunia, kundi hili G Tha Dunia
lilikuwa ni moto wa kuotea mbali ambalo lilitikisha kanda ya Ziwa na lilikuwa
likiundwa na Paskal linda a.k.a Batarokota, Juma Hassani a.k.a Big D na Danny
Ngollo a.k.a Ngollo 2. Kundi hili lilifanikiwa kurekodi albamu nchini Kenya ambayo
ilikuwa ikiitwa '' One day'' ambayo ilirekodiwa Agosti/1998 mjini Nairobi,
Kenya katika studio ya Sync sound studio chini ya Producer Mahamud Omari a.k.a Mr M O
.Album hii ya ''One Day'' ilikuwa imajazwa na nyimbo kumi ambazo ni 'one day'
jina la albam, 'upendo kwa mama', 'kiama','ogopa 666' , 'ni mzuri tu', 'baby
shake', 'wenyewe kwa wenyewe', 'watoto kwanza' , 'total balaa' na
'majonzi'.
Baada ya kukaa nalo kundi hilo Batarokota aliondoka na kuachana
na kundi hili 2004 na kwenda Dermank kwa ajili ya kufundisha kucheza ngoma Wadenishi
na kurejea miezi mitatu baadae.Batarokota alirejea kutoka Dermank na kuanzihsa
kundi jipya liitwalo Watu wa Gola liliko jijini Mwanza, alianzisha kundi hili
akiwa na Juma Hassani a.k.a Big D, Kundi hili Watu wa Gola walifanikiwa
kurekodi nyimbo mbili 'Tumerudi' na 'vichwa vya kale' nyimbo hizi zimerekodiwa
katika studio ya M.O. Record iliyopo Pasiasi jijini Mwanza chini ya mtayarishaji
Q the Don.
TUZO KATIKA SANAA
2001/ 4,Machi Batarokota akiwa na kundi la G THA Dunia, walifanikiwa kupata zawadi ya
cheti cha ushindi wa best single rap katika wimbo wa ` upendo kwa mama` cheti
hicho cheye namba ST NO 06 kilitolewa na Afisa utamaduni wa jiji la Mwanza
Bwana Mgabo chini ya udhamini wa Gloryhood Music Award .
2004/Octoba 22-23, Batarokota alifanikiwa kupata cheti cha
kuudhulia na kushiriki mashundindano yaliyo fanyika jijini Mwanza ya Music Crossroads Tanzania Workshops yanayo
shirikisha nchi zote zilizopo kusini mwa Afrika kam Afrika Kusini, Msumbiji,
Lesotho, Tanzania, naZambia.
03/05/2014 Tarehe hii ilikuwa ni siku ya utoaji wa tuzo za
KTMA 2014 ambazo zilifanyika Mlimani city jijini Dar es laam na kuudhuriliwa na
wasanii wengi wakimo Diamondi (ambae alinyakua tuzo saba), Jose Chameleone
kutoka Uganda (alinyakua tuzo moja),Fid Q (tuzo 1) nawengine wengiBatarokota akiwa nominisi katika kategori ya Wimbo bora wenye
Vionjo vya Asili ya Kitanzania na wimbo wa kisukuma uitwao `Kwejaga Nyangisha` alikuwa anashindana nawimbo
Nalonji wa Kumpeneka, bora mchawiwa Dar
bongo massive (mashindi wa tuzo), tumbo lamsokota wa Ashimba, Aliponji wa
Wanakijiji na Agwemwana wa Cocodo african music band.
WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC 2014 NI HAWA:
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi -Dar Bongo Massive, MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA -
Young Killer, Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka Young Killer, WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya Lady Jaydee, WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One Diamond, WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru, WIMBO BORA WA RAGGAE - Niwe na wewe Dabo, WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako Mzee Yusuf u, KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab, MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - Isha Ramadhani, MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusufu, WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI - Ushamba mzigo Mashujaa Band, MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI - Luiza Mbutu, MWIMBAJI BORA WA KIUME BENDI - Jose Mara,RAPA BORA WA MWAKA BENDI - Furguson,BENDI YA MWAKA - Mashujaa Band,MWIMBAJI BORA WA KIKE, KIZAZI KIPYA - Lady Jaydee, MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond, KIKUNDI CHA MWAKA CHA KIZAZI KIPYA - Weusi, WIMBO BORA WA RNB - Closer, Vanessa Mdee, WIMBO BORA WA HIP HOP - Nje ya Box, Nick wa Pili Ft Joh Makini & Gnako, MSANII BORA WA HIP HOP - Fid Q,WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA / KUSHIRIKIANA - Muziki Gani, Nay wa Mitego ft Diamond, WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - Tubonge, Jose Chameleone, MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB - Mzee Yusuf, MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - Christian Bella, MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond, MTUNZI BORA WA MWAKA HIP HOP - Fid Q, MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, TAARAB - Enrico, MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, BENDI - Amoroso, MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, KIZAZI KIPYA - Man Water, Combination Sound, HALL OF FAME, INDIVIDUAL - Hassan BItchuka, HALL OF FAME, INSTITUTION - Masoud Masoud, VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA - Number One, Diamond, WIMBO WA MWAKA - Number One. Diamond, MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI - Isha Ramadhani na MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond
NYIMBO MPYA AKIWA NJE YA KUNDI
Batarokota akiwa kama msanii single kwa sasa ana nyimbo saba ambazo amesha kamilliza
kwa ajili ya maandalizi ya albamu yake mpya atakayozindua mwishoni mwa mwaka
2016 yenye nyimbo sita ambazo ziko tiyari ni ` hongora mama`
na `amani` nyimbo hizi zimerekodiwa Mwaka 2003 Januari katika studio
Mushroom Studio jijini Nairobi nchini Kenya chini ya mtayarishaji Teddy Karanda
Harrison.
Nyimbo vingine ni `Sukurubu` ambayo imerekodiwa Multimedia
Studio jijini Mwanza mtayarishaji Alon Mikomangwa wasanii walioshiriki kwenye
nyimbo hii ni Ceni na Castro kutoka DRC, Kongo na nyimbo nyingineni `sauti ya
haki` na `kwejaga Nyangisha` zimerekodiwa Januari,2012 studio ya Sky Studio
iliyopo Kihonda Morogoro mtayarishaji Orecy Owden.Nyimbo nyingine ni ya kisukuma
ihitwayo `irombo rise`iliyorekodiwa 6/Decemba/2012 katika studio za Sunlight
Records Mazimbu road -Kihonda Morogoro mtayarishaji King Maroh.
ANA VIPAJI VINGI VYA KUJIVUNIA UNAFAHAMU
.
Mtunzi wa vitabu vya sala, nyimbo,
ngojera, mashairi, Batarokota ni mtunzi wa kitabu cha Mashairi ya haki katika
kuongoza `rudi ndani` alicho kizindua 01/10/2013 Temeke jijini Dar es salaam na
kupewa namba ISBN 978-9976-89-260-4.
Mtu wa Mungu yaani mchungaji, ana kipindi
katika blogu yake kwa kutarakari neon la Mungu kila siku na anakiendesha vizuri
bila kutengemea msaada wowote wa pesa toka kwa wahisani ni toka mwaka 2013
amesimamia kutangaza nene la Mungu kupitia www.batarokotamedia.blogspot.comjamaa
napenda kumuita mchungaji wa kondoo wa Bwana lakini si mlokole.
Batarokota ni msanii wa bongo fleva, msanii wa nyimbo za
kurap, msanii wa nyimbo asili ya kiafrika anawezakuimba kwa lugha zaidi ya 32,
amesha imba nyimbo nyingi sana kama `upendo kwa mama` lugha ya kiswhahili,
kwejaga nyangisha lugha ya kisukuma, sukurubu lugha ya kiringala, one day
English, kamule balongo kinyatuzu na nyingine nyingi.
Unauwezo wa kutabiri, katika blogu
yake mwaka 2015 Mwezi wan ne siku ya kuzaliwa kwake alisema Rais wa awamu ya
Tano ni Kutoka kanda ya Ziwa na hilo likatimia. Pia katika utabiri wake wa
mwaka 2016 – 2017 ametabiri,
Moja; Chama kimoja cha siasa
kitapata wanachama wengi sana mwezi wa 7- 12 Mwaka huu na kufika zaidi ya
1,000,000
Pili; vijana wengi watamrudia Mungu
na watamwaibisha shetani mbele za watu na majambazi watarudisha siraha, vijana
wataacha madawa ya kulevya, mahakimu watatoa haki, vijana watarudi mashambani kulima,
waganga watakosa dili, mvua itanyesha kwa wakati, na mengine mazuri yanakuja nchi
itashushia zawadi ya madini mapya yataonekana Tanzania ambayo hakuna Duniani.
Tatu;idadi ya Watanzania wenye
wasiwasi kupita kiasi itaongezeka na kuwa kubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Bataraokota pia ni mchora picha,
mtunzi wa vitabu, mtunzi wa sala, muingizaji mzuri wa movi,mtahalamu wa kutengeneza mashairi,hadithi, kuparfom katika steji akiwa live n.k
MAAJABU YA BATAROKOTA
Leo msanii Batarokota ameishangaza
dunia kwa miaka mitatu mfululizo ameweka rekodi ya kutengeneza website na blogu
zaidi ya elfu moja ambazo zinajulikana
baadhi ni kama mambouwanjani.blogspot.com, batarokotamedia.blogspot.com, ngunya.blogspot.com,
badagone.blogspot.com, lennysogodi.wix.com/lenny,
mchunguzischools.wix.com/8nane, batarokotanews.wix.com/live, zlinda.8m.com,
aepo.blogspot.com, eliroidaycare.blogspot.com, tanzaniaonecomic.blogspot.com,
ubuyuwataarabutz.blogspot.com, mweas.blogspot.com, kumalijahotel.blogspot.com,
acuyo.blogspot.com, batarokotanews.wix.com/live nyingine nyingi sana.
MAMBO AMBAYO BATAROKOTA ATAYASAAU.
1984 Akiwa darasa la kwanza Batarokota alinusurika kifo baada
ya mvua kubwa sana kunyesha wakiwa darasa la kwanza, darasa lao lilipingwa na
radi na wanafunzi 6 walifariki hapo hapo na zaidi ya ishiriki kujeruiwa na
wengine watatu kufika hospital ya taifa ya Bugando.
1990/Septemba/2Batarokota aweze kuisaau baada ya siku hiyo kwenda kumsalimia Babu yake
Timothi Shindika ambae kipindi hicho alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza baada ya
kulala kwa babu yake, Asubuhi Babu yake alimwamsha Batarokota na kumwambia
twende kusali Kawekamo kuna Papa Yohane Paulo wa 2 anaendesha misa. Batarokota
alifurahi sana kujumuika na babu yake hadi kawekamo kwenye Misa cha kumkumbusha
zaidi Batarokota baada ya misa kwisha babu yake alimwambia twende airport
kumsindikiza mgeni. Baada ya Papa Yohane Paulo kuanza kuaanga iongozi wa
serikali wakiwa aiport Mwanza Papa alimshika mkono Mkuu wa Mkoa na Batarokota akiwa
pembeni ndio na Papa Yohane Pauli wa 2 pili aliona kuna mtoto na akamshika
mkono Batarokota. Batarokota alisema hivi ` Papa Yohane Paulo wa 2 alisema
Amina nami nikasema Amina`
2006 Mwakampaka leo Batarokota hataki sherehe za birthday, hivi
leo anatimiza miaka 42, amedai hana sababu ya kuisherehekea siku hiyo
kwa kuwa atakuwa na machungu ya kumkumbuka mke wake wa mwanzoujana wake, kwa kuwa ndie alikuwa
akimwandalia kila kitu katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kila mwezi
wanne. Mambo ambayo Batarokota alikuwa akiandaliwa na mkewe nikeki ambayo ilikuwa ina gazi kulingana na
umri wake, chakula cha meza kuu ambacho kipikwa kwa usitadhi wa hali ya juu na
yeye, pia alikuwa anafunga kwa ajili ya kuniombea kabla ya siku kufika na
alikuwa anaomba misa kwa ajili ya kuniombea, siku hii ataifanya maalumu kwa
ajili ya kusali na kuwaombea marehemu wote walikuwanae katika sherehe zake za
kuzaliwa hapo mwanza kama mke wake Marehemu Saula Kapama, shemeji yake Patricia
Kapama, Babu yake Zachalia Kapoja, Bibi yake Zachalia Kaboja, Dada yake mpendwa
Happy Linda, Happiness Ngeni, Mwanae Ruth Linda na wengine wengi ambao
wametangulia mbele ya haki.
“Tangu mke wangu Mama Ngw`bis aliyofariki sijawahi kufanya sherehe ya
kuzaliwa kwangu kwa kuwa najisikia vibaya, nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa
nafanya hivyo nikiwa na mke,mtoto, na marafiki zangu mara zote na ndiyo maana
nimeshindwa kufanya peke yangu kwa kipindi chote.
“Wiki ijayo nitakuwa natimiza miaka 42, hivyo nimeona ni vizuri siku hiyo
kuitumia kwa kumkumbuka watu wote wapendwa, ila sina mpango wa kusherehekea
tena,” aliandika Bataokota kwenye akaunti ya Instagram baada ya baadhi ya
makampuni yakitaka kufanya sherehe ya kukumbuka kuzaliwa kwake.
04/06/2011 Batarokota alinusulika kufa baada ya kumtetea mwizi
wa simu aliye kuwa anapigwa na wananchini wenye asila kali maeneo ya stendi ya
Tanganyika bus, baada ya Batarokota kufika eneo hilo aliwaomba na kuwasiii watu
wasimpigi mwizi huyo kwa sababu walicho kuwa wanakitaka kimepatikana na mhusika
anacho. Ndio baadhi ya watu walimzonga Batarokota na kuanza kumshambualia na
walimpora simu aina brackbell, internation passport yenye namba AB 212909
iliyotolewa 2007.
Wasamalia wema walipomwona Batarokota akipigwa ndipo walipiga
simu polisi centre nao walifika na kuondoka na Batarokota mpaka Hospital ya
Seketure kwa matibabu zaidi. Lakini Mungu si Athumani tarehe 05/06/2011
Batarokota alitoka hospital akiwa na afya tele na watu walishangaa na siku hiyo
hiyo alifika eneo la tukio nakuomba arejeshewe international passport lakini
aliambia aliye chukua passport hiyo aligogwa na gari wakati anakimbia jana.
2013 Batarokota ashinda kesi (Akisoma Hukumu
ya kesi naMheshimiwa Hakimu Mwakasenga
alisema mlalamikaji na shahidi walipishana kwa utetezi huku mlalamikaji Danieli
Simbi akisema ni shilingi Milioni mbili laki moja na kumi na tano na mia tano
(2,115,5000 ) alizomkabidhi Batarokota na shahidi nae alisema ni shilingi
milioni mbili na laki moja tu (2,100,000 )ndio alizokabidhiwa tena bila
maandishi.
Akisoma hukumu hiyo Mheshimiwa Masenga alimwachia huru msanii Batarokota kwa
kuwa ana kosa lolote na maelezo ya mashahidi na mlalamikaji ayajakidhi matakwa
ya kumtia hatiani msanii Batarokota.)
Batarokota amekaa Keko miezi minne toka tarehe 10/5/2013 mpaka tarehe
16/09/2013 kwa kukosa dhamani.
2015/10 May Batarokota alifiwa na bibi yake kipendwa Perepetua
Mishaka Shindika akiwa anaongea na usiku wa saa saba na kuniaga.Hiyo ilikuwa
Batarokota alilejea kutoka Morogoro kwenda kumsalimia bibi yake maeneo ya
Nyamhongolo jijini Mwanza.
Baada ya kukamilisha maojiano na msanii Batarokota
tarehe 4/04/2014 amesema, `huruma
ya Mungu inawasukuma waamini kuwa na huruma, kama ilivyojionesha kwa Watakatifu
mashuhuda wa huruma ya Mungu kama vile: Theresa wa Mtoto Yesu, Mama Theresa wa
Calcutta, Sr. Faustina Kowalska, Vincenti wa Paulo, Damiano De Veuster,
Leopoldo Mandic. Kanisa katika maisha na utume wake, limekuwa daima mstari wa
mbele kutangaza na kushuhudia huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake, dhamana
inayopaswa kuendelezwa kwa ari na moyo mkuu` alimaliza Batarokota mtu wa Mungu.