Ilikua
ni November tarehe 26 mwaka 2012 majira ya saA 2 usiku ndipo
ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi
kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti
‘SHARO MILIONEA’.
Leo tarehe
26 november 2013 ni kumbukumbu ya mwaka mmoja bila Sharo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni