Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Marehemu Dk. Sengondo Mvungi
Moja ya mashambulio nchini Somalia
Karibu watu ishirini wameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga kwenye kituo cha polisi nchini Somalia.
Shambulio hilo limetokea katika mji wa
Beledweyne karibu na mpaka na Ethiopia. Mashuhuda wameiambia BBC kuwa
gari lilipiga lango kuu la kuingia kwenye jengo la polisi na kulipuka
kabla ya watu wenye silaha kushuka na kushambulia jengo hilo kwa risasi.
Taarifa zinasema wengi waliofariki katika shambulio hilo ni maafisa wa
polisi.