
Thamsanqa Jantjie, mkalimani wa lugha ya ishara
Mkalimani wa lugha ya ishara
katika siku ya mazishi ya kitaifa, ya aliyekuwa rais wa kwanza mzalendo
wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amelazwa katika hospitali ya magonjwa
ya ya akili.
Mkalimani huyo anashutumiwa kutoa ishara ambazo hazikuendana na kile kilichokuwa kikiongelewa.
Thamsanqa Jantjie "anaweza kuwa na matatizo", amekaririwa mke wake Siziwe akisema hayo.
Wataalam wa lugha ya ishara wamemshutumu kwa