Kuna
matumaini makubwa kwa Bara la Afrika katika kipindi cha Mwaka 2014
kuweza kupata kinga dhidi ya ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa ni tishio
kwa maisha na maendeleo ya wananchi wengi Barani Afrika. Majaribio ya
chanjo yaliyofanywa kwa watoto 15, 500 yanaonesha kwamba, ugonjwa wa
Malaria ulipingua kwa kipindi cha miezi 18 ya majaribio ya chanjo hii
mpya.