Msanii wa Bongo Fleva na Nyimbo asili ya Kitanzania Batarokota, kwa
kupitia mitandao ya kijamii leo asubuhi amewashukuru waandishi wa habari njema kwa njia ya
mitandao mbalimbali.Anawashukuru wale wote waliosaidia kutangaza habari
njema kwa njia ya mitandao na wanao endelea kutangaza kila siku,wakati
wa raha, uchungu na magumu ya maisha.
Anamshukuru Mungu kwa kuweza kusaidiwa katika maisha na utume wao wote bila kubaguliwa wala kutengwa.Alisema hii ni dhamana kubwa ambayo ilikuwa inawajibisha sana, Batarokota anakiri na kusema kwamba, waandishi wamefanya yote kama mtumishi asiye na faida na ametenda yale aliyopaswa kutenda na kwamba, ataendelea kusikiliza sauti ya wale ambao wanapenda kuandika injili ya Yesu Kristo.
Batarokota anawashukuru na kuwapongeza wale wote wanaojisadaka katika uwanja wa mawasiliano ya jamii; kwa ajili ya huduma kwa jirani zao pamoja na dhamana inayoendana na wajibu huu.
Mwishoni, Batarokota anawatakia wadau wa mawasiliano ya jamii utume mwema.