Week Hot newz

Mlevi nawalaani wakumbafu na waropokaji


Pamoja na kupiga tubangi na kanywaji bado mzee mzima najua mipaka yangu. Najua kuwa ninapotaka kuongea lazima kuhakikisha kuwa kichwa na mdomo vinafanya mawasiliano. Huwa nahakikisha sijambi au kunonihino kwa mdomo tena usawa huu wa umri huu hata kama kufanya hivyo kunawavutia na kuwafurahisha inzi. Ninapoongea huwa nahakikisha sipayuki, situsi, sikebehi, wala kusingizia bali kutoboa ukweli.
 
Mfano, hata ninapoandika kuhusu hawa wababu waropokaji na watukanaji kama Beni Tunituni wa Kiwila bado siwezi kuwaita wakumbafu hata kama ni malofa wa kimawazo na heshima bado siwezi kuwaita malofa japo kweli ni malofa. 
 
Nikiwaita malofa, wenye akili watashindwa kutofautisha kati ya lofa na tajiri wa fikra. Kwa wanaojua sayansi ya tabia na mikakati ni kwamba dalili ya kwanza ya ulofa wa kimawazo na ukumbafu ni kutumia mitusi tena ya nguoni kama silaha au namna ya kupata ulaji.
 
Pamoja na kupayuka kwake, nakubaliana na Beni kuwa wapingaji ni malofa kweli kweli. Kwani kwa ulofa wao wameweza kuvua papa wawili toka chama Cha Maulaji (cCM). Si hilo tu, ukilinganisha utajiri utokanao na ufisadi na ujambazi mwingine, uwezekano wa wapingaji kuwa malofa ni mkubwa japo hakuna kipengele hata kimoja kinachowaonyesha kuwa wakumbafu. Nadhani wangekuwa wapumbavu wasingeweza kuvuna vigogo na mibuyu toka cCM.
 
Sometimes, nyani haoni kundule. Sijui kama tutaanza kutafutana uchawi kati ya wapingaji na wale waliowabinafsisha wenzao nao wakajibinafsisha nani atakuwa lofa kimawazo na mkumbafu wa kweli? Sijui hawa wanaowaita wenzao wakumbafu wanamaanisha nini iwapo wao wamekaa kwenye ulaji na kuruhusu kila aina ya kibaka kutoka nje na ndani kuwaibia walevi?
 
Je? huu si ukumbafu wa kupindukia? 
 
Kama siyo, inakuwaje wale walioko ndani wanakosa la kusema na kuwaonyesha walevi badala yake wanakimbilia mitusi, kutumia ndata kuwatisha na kuwazuia kufanya kampani zao? Inakuwaje kama si ukumbafu wa kukaa kwenye mjengo na jumba lenyewe wakashindwa kutimiza walichoahidi hadi sasa wanaanza kutegemea mitusi, vitisho na uchakachuaji?
 
Laiti hawa wanaowaita wakumbafu wenzao wangewauliza mafisadi kama akina Rugemalayer na Singasinga na wengine waliowatumia huko nyuma wangejua ni wapumbavu kiasi gani. Hivi majambazi kama wale wa India waitwao ‘RITES’ waliopewa reli zetu wakajiibie watakao wanadhani wanawaona washitiri wao kama wajanja au wakumbafu tu wa kawaida? 
 
Kawaulize wahalifu wote waliokingiwa kifua kuanzia wale walioghushi, waliofilisi mashirika ya walevi na wengine wanaouza pasi zetu na kutumia mipaka yetu kama vitega uchumi wao wanawaonaje hawa wanowaachia wakafanya uhalifu kama huu wa kuhujumu kaya.
 
Loo! Naona mibangi kanywaji na usongo vinapanda hadi naanza kuongea ‘kikameruni’ bure.
 
Tena kabla ya kusahau, lazima niseme wazi na kwa herufi na sauti kubwa: ‘walaaniwe mabingwa wa mitusi.’ 
 
Walaaniwe wakumbafu wote wanaoleta upumbavu wa kuita wenzao wapumbavu wakati wao ndiyo. Tatizo na fyatu wengine ni kwamba wakiharibikiwa wanadhani kila mlevi ameharibikiwa. Kama wewe ni mvuta bangi au mlevi basi si wote waliokuzunguka ni walevi. Kama wewe ni kibaka usidhani wote ni vibaka. Kama wewe ni lofa usidhani kila mlevi ni lofa. Kama wewe ni mkumbafu, usidhani kila mlevi ni mkumbafu. Kwa vile nina usongo na wakumbafu pamoja na ukumbafu, naona leo niishie hapa kwa kuwataka wakumbafu wasituletee ukumbafu na mitusi yao. Wasitujazie mbu. Watuache na amani yetu vinginevyo kuna mikumbafu itajikuta The Hague wakila ugali na wmalofu wengine kama akina Laurent Gbagbo Ivory Coast na Charles Taylor wa Liberia.
 
Ongeza msamiati maneno magumu, ukumbafu ni kufanya ndiyo siyo au bila kutumia bongo zote Mkumbafu ni yule anayefanya ukumbafu. 
 
CHANZO: NIPASHE

Mwenye nguvu amenitendea makuu na jina lake ni takatifu!


Siku kuu ya Bikira Maria kupalizwa mbinguni. - ANSA

Kila mwaka ifikapo tarehe 15 Agosti, Mama Kanisa anaadhimisha Siku kuu ya Bikira Maria Kupalizwa mbinguni mwili na roho. Hii ni siku kuu inayounganisha sherehe zote za Bikira Maria kadi ya Mapokeo ya Kanisa Katoliki. Leo katika Liturujia ya Neno la Mungu, tunapenda kuimba utenzi wa sifa na shukrani kwa Bikira Maria aliyepalizwa mbinguni. Lakini kwanza kabisa kabla ya kuzama katika fundisho hili kuu la imani, pata mchapo!
Katika mashindano ya ngumi, mshindi na aliyeshindwa wote wawili wanachakazana vibaya sana. Lakini pengine mshindi anaonekana kupigika zaidi kuliko aliyeshindwa. Vilevile ukimwangalia maiti aliyelala jenezini unapata picha kama ya mtu aliyepigwa sumbwi la nock-out. Zaidi tena ukiuangalia ulimwengu wetu huu, utajiona kama vile upo kwenye uwanja wa ngumi pindi mchezo wa masumbwi ukiendelea kati ya nguvu za kifo (zenye uzito mzito) zikichapana na nguvu za uzima (zenye uzito mwepesi). Ukiyaangalia masumbwi yanayorushwa na nguvu za kifo ni mazito na ya mfululizo yanamnyeshea ndugu uzima kama mvua za masika.
Ama kweli uzima anashughulikiwa kuanzia siku anapoingia ulingoni yaani anapozaliwa duniani. Masumbwi yanayorushwa na kifo ni ya aina nyingi sana ikiwa ni pamoja na masumbwi ya chuki, masumbwi ya upweke, masumbwi ya uhaini, masumbwi ya wivu, masumbwi ya kudhulumiana kiuchumi, kijamii, kisiasa, masumbwi ya woga, masumbwi ya magonjwa mbalimbali nk. Masumbwi mengine kama yale ya ugonjwa yanaweza kukuangusha chini na ukaugulia kitandani muda mrefu. Mbaya zaidi wakati mwingine nguvu ya mauti inaamua kumrukia uzima kwa nguvu zote na kumtupa chini hadi uzima anashindwa kuinua tena, kama inavyosema zaburi “mwenye kulala hivi hainuki tena.”

Daily Reading for Saturday, September 5th, 2015


Reading 1, Colossians 1:21-23

21 You were once estranged and of hostile intent through your evil behaviour;
22 now he has reconciled you, by his death and in that mortal body, to bring you before himself holy, faultless and irreproachable-
23 as long as you persevere and stand firm on the solid base of the faith, never letting yourselves drift away from the hope promised by the gospel, which you have heard, which has been preached to every creature under heaven, and of which I, Paul, have become the servant.

Responsorial Psalm, Psalms 54:3-4, 6, 8

3 Arrogant men are attacking me, bullies hounding me to death, no room in their thoughts for God.Pause
4 But now God is coming to my help, the Lord, among those who sustain me.
6 How gladly will I offer you sacrifice, and praise your name, for it is good,

Gospel, Luke 6:1-5

1 It happened that one Sabbath he was walking through the cornfields, and his disciples were picking ears of corn, rubbing them in their hands and eating them.
2 Some of the Pharisees said, 'Why are you doing something that is forbidden on the Sabbath day?'
3 Jesus answered them, 'So you have not read what David did when he and his followers were hungry-
4 how he went into the house of God and took the loaves of the offering and ate them and gave them to his followers, loaves which the priests alone are allowed to eat?'
5 And he said to them, 'The Son of man is master of the Sabbath.'

Bl.Teresa of Calcutta

Image of Bl.Teresa of Calcutta

Facts

Feastday: September 5
Patron of World Youth Day
Birth: 1910
Death: 1997
Beatified By: Pope John Paul II

The remarkable woman who would be known as Mother Theresa began life named Agnes Gonxha Bojaxhiu. Born on August 26, 1910 in Skopje, she was the youngest child born to Nikola and Drane Bojaxhiu, Receiving her First Communion at the age of five, she was confirmed in November 1916. Her father died while she was only eight years old leaving her family in financial straits.
Gonxha's religious formation was assisted by the vibrant Jesuit parish of the Sacred Heart in which she was very involved as a youth.
Subsequently moved to pursue missionary work, Gonxha left her home in September 1928 at the age of 18 to join the Institute of the Blessed Virgin Mary, known as the Sisters of Loreto, in Ireland. She received the name Sister Mary Teresa after St. Therese of Lisieux. In December of 1929, she departed for her first trip to India, arriving in Calcutta. After making her First Profession of Vows in May 1931, Sister Teresa was assigned to the Loreto Entally community in Calcutta and taught at St. Mary's School for girls.
Sister Teresa made her Final Profession of Vows, On May 24, 1937, becoming, as she said, the "spouse of Jesus" for "all eternity." From that time on she was called Mother Teresa.
She continued teaching at St. Mary's and in 1944 became the school's principal. Mother Teresa's twenty years in Loreto were filled with profound happiness. Noted for her charity, unselfishness and courage, her capacity for hard work and a natural talent for organization, she lived out her consecration to Jesus, in the midst of her companions, with fidelity and joy.