Baba Mtakatifu Francisko akizungumza na Jeshi la Polisi Italia. - OSS_ROM
21/05/2015 15:07
Mitandao ya kijamii:
Baba
Mtakatifu Francisko, Alhamisi, tarehe 21 Mei 2015 amekutana na
kuzungumza na ndugu na jamaa ya Askari waliopoteza maisha yao wakati
wakitoa huduma kwa nchi yao ya Italia. Amewashukuru kwa ushuhuda wa
matumaini ya Kikristo yanayowasaidia katika utekelezaji wa dhamana yao
kama Askari, huku wakitekeleza wajibu wao katika uaminifu unaolenga
mafao ya wengi; ujasiri unaosaidia makuzi ya mtu na jamii inayomzunguka
pamoja na kuunza mazingira yanayowawezesha watu kuishi katika uhuru na
kwa kuheshimiana