Week Hot newz

Nafasi za kAZI/Natafuta KazI

Mimi ni kijana umri 39 natafuta kazi ya udereva( kuendesha maloli,gari ndogo,kupelaka wanafunzi shuleni n.k) nina leseni class ABDE. Niko jijini Dar es salaam. kwa maelezo zaidi piga simu namba 0783 492623.


Natafuta kazi ya kupeleka watoto wadogo shuleni nina uzoefu wa miaka 10, mimi ni kijana Niko Dar  
es salaam.simu namba 0783 492623 kwa maelezo zaidi.

naishi Nairobi nina uwezo na elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit.
 (1) nani uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa
( 2)nina sample za kazi kadhaa nilizowai fanya Tanzania,Kenya,Afika kusini na Sweden.
( 3) Nina miaka 40 tayari kusafiri popote saa yoyote. wasiliana  sasa kwa email hii mtumishilinda@gmail.com 

Radio Station Sales Manager

* This job opening has been viewed 156 times « Browse job list
  Bookmark this job About this job
Radio Station Sales Manager

Minimum Requirements
  • Must have radio broadcasting sales experience.
  • 3 years in a similar role.
  • Must have knowledge of the media landscape in Rwanda
  • Must have strong relationships with agencies, media buyers and the government.
  • Must be local citizen fluent in one or two of the national languages.(Kinyarwanda, and French) as well as English

Key Performance Areas

  • Develop and monitor operational sales strategies
  • Maximise Sales revenue through the development and allocation of sales targets and the monitoring of sales performance against the sales targets.
  • Monitor and analyse competitor business in order to identify and exploit new business opportunities and increase market share.
  • Interpret and utilize research results in order to optimise revenue.
  • Establish, manage and maintain positive relationships with all internal stake holders, agencies and clients directly in order to generate income and profits.
Competencies
  • An individual who is driven to achieve objectives and succeed
  • Excellent selling, presentation and negotiation skills
  • Excellent verbal & written communication skills
  • Able to establish and maintain relationships with people at all levels
  • Ability to solve problems
  • Strong business development and planning ability
Deadline for application : 16.12.2013
Email(s) for online applications : jobs@smwcommunications.com






TANZIA:Askofu John Andrea Simalenga azikwa kwa heshima

Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda ameongoza mamia ya watu kwenye ibada ya mazishi ya Askofu wa Saba wa Dayosisi ya South West Tanganyika ya

Kanisa la Anglikana Tanzania Mhashamu Askofu John Andrea Simalenga
iliyofanyika Njombe mjini.
Akizungumza na mamia ya waumini na waombolezaji waliohudhuria ibada hiyo ya mazishi Alhamisi, Novemba 28, 2013 Waziri Mkuu alisema Dayosisi hiyo imepoteza mhimili muhimu lakini akawataka wawe na umoja na upendo huku wakiendelea kumtumainia Mungu.

“Mhashamu Baba Askofu Simalenga alisimikwa Julai 6, 2008. Ni miaka
mitano tu ya utumishi kwenu na alikuja wakati ambapo Dayosisi hi ilikuwa imekaa kwa miaka 10 bila ya kuwa na kiongozi. Siku anawekwa wakfu nilikuwepo na ninakumbuka mlimuomba asaidie kuleta mshikamano,” alisema Waziri Mkuu. “Ninawaomba wanadayosisi muwe na upendo na mshikamano mkubwa miongoni mwenu hadi hapo Mungu atakapotupatia kiongozi mwingine. Tumuombe Mungu ili kiongozi huyu ajaye apatikane kwa njia ya amani,” alisisitiza.


Alimwomba mke wa marehemu, Bibi Martha pamoja na watoto wa marehemu
waupokee msiba huo kwa mikono miwili na kuahidi kuwaombea faraja kwa
Mwenyezi Mungu. Waziri Mkuu ambaye alishiriki mazishi hayo kwa niaba ya Serikali, Alitumia fursa hiyo kuwapa pole maaskofu, mapadre, watawa na familia
zikiwa ni salamu maalum kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye alisema
yuko ziarani kwenye mkoa mpya wa Simiyu.

Naye Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bibi Anne Makinda ambaye pia ni mbunge wa Njombe Kusini ilipo Dayosisi hiyo akitoa salamu za rambirambi alisema wana Njombe wamepungukiwa na nguvu kwa kuondokewa na Askofu Simalenga. “Alisaidia kuleta umoja hapa kwetu, tumempoteza mtu muhimu sana katika harakati za maendeleo ya wilaya yetu na mkoa kwa ujumla. Alisaidia kuleta umoja na upendo na sisi tuwe na upendo na amani, tuendelee kumuomba Mungu hadi tutakapoletewa msimamizi mwingine.
Katika mahubiri yake kwenye ibada hiyo, Askofu Mkuu wa Kanisa la
Anglikana Tanzania, Mhashamu Jacob Chimeledya aliwataka waumini wote
wamtazame Mungu na wamtegemee Mungu kwa sababu wanampenda lakini yeye ameona ni vema ampunzishe mtumishi wake.
“Sote tunajua kuwa katika kipindi chake, Dayosisi hii ilitulia kabisa Je, tutaruhusu kuondoka anikwake kuzue tena chokochoko? Msiba huu usifike mahali ukaanza kututenganisha na kutoa mwanya wa kuanza kunyoosheana vidole. Tumuombe Mungu atusaidie afute machozi yetu,” alisema.

Askofu John Andrea Simalenga alizaliwa Novemba 30, 1953 na kufariki
Novemba 24, 2013 baada ya kuugua kwa siku mbili. Novemba 22, 2013 alijisikia vibaya na alipopimwa aliikutwa na malaria, kisukari na shinikizo la damu. Alilazwa hospitali ya Kibena, Njombe na kuruhusiwa siku iliyofuata lakini Novemba 24 alizidiwa tena na kuaga dunia. Ameacha mjane na watoto wanne

Fifa: Mashindano kombe la Dunia ni Brazil


sehemu ya uwanja wa Sao Paulo ulioporomoka
Fifa imesema haina mpango wa kuhamisha michuano ya kombe la dunia mwaka 2014 kutoka nchini Brazil ingawa nchi hiyo imepata changamoto katika maandalizi ya michuano hiyo.
Wafanyakazi wawili walipoteza maisha baada ya kuangukiwa na nguzo ambazo ziliharibu uwanja wa Corithians ulio mjini Sao Paulo.
Timu ya taifa ya Brazil inatarajiwa kucheza mechi ya ufunguzi ya Kombe la dunia katika uwanja huo wenye uwezo wa kuwa na watazamaji 65,000.
Vyanzo vya habari vya juu ndani ya Shirikisho hilo vimeendelea kusisitiza kuwa hakuna mbadala kutokana na kutokea kwa ajali hiyo.
Brazil ilikiri kuwa inafanya jitihada za kumaliza ujenzi wa viwanja 12 kwa ajili ya michuano hiyo, sita kati ya hivyo ipo tayari kwa ajili ya michuano ya kombe la shirikisho.
Ajali iliyotokea siku ya jumatano ni ya tatu kusababisha kifo katika viwanja vitakavyopigiwa kipute cha kombe la dunia.Wafanyakazi wengine wawili walipoteza maisha kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Uchunguzi umeanza hii leo kubaini chanzo cha ajali mjini Sao Paulo.

Wakala Fifa afichua siri za Juma Kaseja


Aliyekuwa wakala wa nahodha wa zamani wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars) na Klabu ya Simba,Ismail Balanga
Aliyekuwa wakala wa nahodha wa zamani wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars) na Klabu ya Simba, Ismail Balanga, ameibuka na kufichua siri nzito iliyomzuia kumuuza Juma Kaseja katika Klabu ya FC Lupopo ya DR Congo mwaka huu.

Wakala huyo ambaye ameibukia katika timu ya Taifa ya Sudan Kusini ambayo inashiriki mashindano ya Kombe la Chalenji  inayoendelea jijini hapa,  alizungumza jijini hapa na kuanikia kila kitu kuhusu sakata hilo.

Balanga ambaye pia ni wakala wa wachezaji anayetambuliwa na Fifa, alisema  kuwa, Watanzania ndiyo waliyompotezea Kaseja nafasi ya kusajiliwa na FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Balanga alisema akiwa katika hatua za mwisho ili Kaseja asaini mkataba wa kuichezea FC Lupopo, alipigiwa simu na mmiliki wa klabu hiyo akimueleza kwamba hawamuhitaji tena kipa huyo ambaye amejiunga na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga kwa sababu anadaiwa kuwa na tabia ya "kuuza" mechi.

Kocha huyo ambaye timu yake ya Sudan Kusini ilipoteza mchezo wake wa kwanza kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Zanzibar (Zanzibar Heroes), alisema soka la Tanzania limejaa siasa hali  ambayo inazidi kuzuia kiwango cha mchezo huo nchini kukua.

"Baada ya Lupopo kukataa kufanya biashara, Kaseja alitakiwa na DC Motema Pembe ya DRC, lakini kuna viongozi wa Simba walipiga simu huko kumsemea maneno mabaya," aliongeza wakala huyo ambaye kabla ya kuachana na harakati za kumsajili Kaseja, alikamatwa kwa kuingia nchini bila ya kibali.

Alisema tabia hiyo ya kusema wachezaji wanahujumu timu, ni mbaya kwa sababu inaondoa hali ya uaminifu wa wachezaji na klabu wanazozichezea.

Kocha huyo aliyesaini mkataba wa miaka miwili ya kuifundisha Sudan Kusini, aliongeza kuwa licha ya 'siasa' hizo, bado hataacha kuwatafutia timu nje ya nchi wachezaji wa Tanzania.

Kwa upande wa Kaseja alipoulizwa , alisema hana muda wa kuzungumzia suala hilo kwa kuwa lilishapita na sasa ni mchezaji wa Yanga.

"Suala la Lupopo ni la muda mrefu na limeshapitwa na wakati na sasa mimi ni mchezaji wa Yanga.

Rushwa inakuwa na pande mbili, mtoaji na mpokeaji mimi sijawahi kutiwa hatiani kwa kosa lolote na kama kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia nikipokea rushwa ajitokeze athibitishe," alisema Kaseja jana alipopigiwa simu kuzungumzia tuhuma hizo.

GOtv Cecafa Cup:Ibrahim brace inspires Sudan






Salah Ibrahim's brace helped Sudan to a virtuoso performance to crash Eritrea 3-0 in an exciting GOtv Cecafa Cup match played at the Kenyatta Stadium in Machakos.
Sudan begun the match like a house on fire as Salah Ibrahim broke the deadlock with a fine finish in the fifth minute beating Eritrea keeper Abdulrahman from close range.
Ibrahim was on the mark again in the 26th minute scoring the second goal from a tight angle to give Sudan deserved 2-0 lead.
Sudan went into the break leading and upon resumption came back with the same tempo as man of the match Mohannad Tahir put matters beyond Eritrea with a fine finish after school boy blunder by keeper Abdulrahaman.
Sudan's coach Mubarak Suliman praised his players’ efficiency, "we started well in group C and the players were brilliant throughout the entire game and this is positive as we wait for our other opponents in the group," Suliman told.

GOtv Cecafa Senior Challenge:Burundi beat Somalia




Burundi handed Somalia a 2-0 beating in their opening match of the ongoing GOtv Cecafa Senior Challenge Cup on Thursday. Burundi, the more experienced side of the two, kicked off the match on attack, but by the half-hour mark, they were yet to get the ball behind the Somalia keeper.
However, they found their luck five minutes to the break, with the goal coming through Nduwarugira Christophe.
Ten minutes into the second-half Burundi’s Fiston Abdulrazak sent a thundering shot past the Somalia keeper doubling his side’s advantage.
After the match, Abdulrazak was named the man of the match. Speaking of the match, the player said that the day had started out tough but they later relaxed and made a meal of their opponents.
“It was quite a tough match, especially at the start, as we looked to compose ourselves. We managed to solidify our structure towards the end of the first half and we were rewarded for it,” said Abdulrazack.
Of their upcoming match, against Zambia, Abdulrazak said that they will try their best and get out with full points.
“We do not want to fall to easy goals, so we shall be more vigilant in the match, especially because we know that Zambia is very tough side.
After the match Burundi are perched at the top of Group B, after the match between Tanzania and Zambia ended in a 1-1 draw.

Zambia held in Cecafa opener




Zambia kicked off their 2013 Cecafa Cup outing on a modest note following a 1-1 draw with Tanzania on Thursday in an opening Group B match at Machakos. The result ended new Zambia coach Patrice Beaumelle’s three match losing run from as many games in charge since his appointment in October.
Zambia were on the back foot against the Kilimanjaro Stars in the first half as Beaumelle’s side struggled on a waterlogged pitch.
The Cecafa Cup guest side were given a scare in the 23rd minute when Mrisho Ngassa beat Zambia defender Christopher Munthali for pace but the Young Africans striker amazingly fired his shot wide of an open goal.
But Zambia still had a couple of great chances in the midst of Tanzania’s domination to get on the score sheet.
Reynold Kampamba put his Nkana club mate Festus Mbewe through in the 29th minute but the latter tumbled in the area as he tried to control the ball.
Five minutes later, Felix Katongo header from Kampamba cross was saved by the outstanding Ivo Mapunda in goals at point blank range.
Then Zambia then took the lead on 42 minutes when Katongo turned provider for Kampamba who fired in an unstoppable bullet header past the Gor Mahia goalkeeper to see Chipolopolo take a 1-0 halftime lead.
However, Zambia’s lead lasted until three minutes into the second half when defender Said Moradi headed in a corner from Salum Abubakar corner to level scores.
The goal only served to fuel Tanzania as Zambia struggled on the heavy pitch for the reminder of the half before the two sides grinded out the match to share the spoils.
Zambia must now beat Group B leaders Burundi on Sunday in Nairobi to keep their quarterfinal hopes alive.