Waumini wa huduma ya Mtakatifu Prince Mission yenye
Makao Makuu yake Sinza jijini Dar es Salaam, wameomba msamaha wa Mungu
kwa baadhi ya viongozi wa umma kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni
kuusaliti umma wanaoungoza.
Hatua hiyo inatokana na matumizi ya misahafu wanapokula viapo vya
kuutumikia umma, kisha kutotimiza azma hiyo badala yake kujinufaisha
binafsi na ‘kuwaangamiza’ raia wanaowachagua.
Baba
Mtakatifu mstaafu Benedikto XVI, Ijumaa, tarehe 27 Desemba 2013
amemtembelea Papa Francisko na kupata chakula cha pamoja kwenye Hosteli
ya Mtakatifu Martha iliyoko mjini Vatican.