Week Hot newz

Salamu

Tumsifu Yesu Kristo...

Batarokota Media  

ni blogu zenye idhini ya Mtu wa Mungu  Paskal Beatus Linda a.k.a Batarokota wa jijini Mwanza-Tanzania  mwaka 2011.

blogu hii imeandaliwa kwa ajili ya kueneza Injili ya Yesu Kristo Duniani kote na itakusaidia kupata habari kuusu wokovu wa wanadamu kila siku.  Mungu awabariki sana endelea kusambaza blogu hii kwa wengine na baraka ya Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ukushukie na kukaa nawe daima, 

AMINA.