Zaidi ya watu millioni 5. 5
walitembelea Makumbusho ya Vatican katika kipindi cha Mwaka 2013. Hii ni habari
njema kwa kuona kwamba, kuna mamillioni ya watu wanaovutwa kutembelea hazina
kubwa ya binadamu inayohifadhiwa kwenye Makumbusho ya Vatican. Watu zaidi ya
millioni mbili kila mwaka hutembelea kitengo

Papa Francis
Maafisa katika Vatican makao
makuu ya kanisa katoliki, wanatarajariwa kuhojiwa na maafisa wa Umoja wa
Mataifa kuhusu dhuluma za kingono ambazo makasisi wa kanisa hilo
waliwatendea maelfu ya watoto.
Maafisa hao walikataa ombi la awali ambapo Umoja
wa Mataifa ulikuwa unataka taarifa za kina kuhusu dhuluma za kingono
wakisema kuwa visa hivyo vinapaswa kushughulikiwa na idara ya mahakama
katika mataifa ambako visa hivyo vilitokea