
Pichani juu Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama.
Malkia wa muziki wa gospel nchini bibie Rose Muhando hatimaye amemaliza kurekodi album yake mpya ya sauti pamoja na kurekodi nyimbo mbili kwenye video huko nchini Afrika ya kusini chini ya kampuni ya Sony Music Entertainment ya Afrika ya kusini.
Kwa mujibu wa taarifa alizotoa mwimbaji huyo hii leo amesema amekamilisha nyimbo tatu zilizokuwa zimebakia katika kukamilisha album hiyo ya sauti ambayo hata hivyo hajaitaja jina. Mwimbaji huyo ambaye aliingia mkataba na kampuni hiyo ya kimataifa mapema mwaka jana, tayari amepata mafanikio makubwa kwenye medani ya muziki wa injili nchini tokea atoe album yake ya kwanza ya ''Mteule uwe Macho'' hadi yasasa ya ''Utamu wa Yesu''.
Hapana shaka kwamba album mpya itakuwa na kiwango kikubwa zaidi cha usikivu si kwenye sauti tu pia muziki wake utakuwa umerekodiwa kwenye viwango vikubwa kitu ambacho kitalifanya jina la Kristo lizidi kutangazwa si Tanzania tu bali maeneo mbalimbali duniani. Kila la kheri Rose Muhando.
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2012/08/rose-muhando-akamilisha-album-mpya.html#sthash.kcdnx4hg.dpufKwa mujibu wa taarifa alizotoa mwimbaji huyo hii leo amesema amekamilisha nyimbo tatu zilizokuwa zimebakia katika kukamilisha album hiyo ya sauti ambayo hata hivyo hajaitaja jina. Mwimbaji huyo ambaye aliingia mkataba na kampuni hiyo ya kimataifa mapema mwaka jana, tayari amepata mafanikio makubwa kwenye medani ya muziki wa injili nchini tokea atoe album yake ya kwanza ya ''Mteule uwe Macho'' hadi yasasa ya ''Utamu wa Yesu''.
Hapana shaka kwamba album mpya itakuwa na kiwango kikubwa zaidi cha usikivu si kwenye sauti tu pia muziki wake utakuwa umerekodiwa kwenye viwango vikubwa kitu ambacho kitalifanya jina la Kristo lizidi kutangazwa si Tanzania tu bali maeneo mbalimbali duniani. Kila la kheri Rose Muhando.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama umefanikiwaa kukutana waimbaji wa nyimbo za Injili hapa nchini Tanzania Moses Josiah na Elizabeth Josiah wa jijini Mwanza? wanaotamba sana Afrika Mashariki na Kati nyimbo Ukitaka na Ruadha inmitelona.
Mwimbaji Elizabeth Josiah
Waimbaji hawa Moses Josiah na Elizabeth Josiah wana album kamili ya DVD yenye nyimbo nane ambazo ni wewe ni Mungu, Tazama, Ruadha inmitelona,Bwana wa Mabwana,Mwambie Yesu,Galilaya, Ukitaka yeye ndio na Mambo yameona mengi ambayo ndio imechukua jina la album.
Macho yameona mengi inerekodiwa katika studio za EX2 Studio iliyo maeneo ya Mecco jijini Mwanza nchini Tanzania. Na albamu hii ilikamilika mwaka 2014 , lakini mpaka sasa DVD imekamilika ila wasambazaji ndio tatizo ili iweze kutufikia uku mitaani.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msamanaomba wasaidie waimbaji hawa ili tuweze kuzipata DVD.
Pichani kutoka kushoto Msanii wa bongo fleva na nyimbo asili ya Kitanzania Batarokota akiwa na mwanamziki wa nyimbo za injili Moses Josiah