
Mji
wa Nazareti ukionekana hapo juu,Mat 2:23, watu wengi walikuwa wakulima,
Yesu na Josefu walikuwa maseremala, hivyo ilikuwa rahisi kufahamika.

Jangwa la Yudea, linatukumbusha safari ya waisrael, Kujaribiwa kwa Yesu na maisha ya Yohana kuna wakati alikaa Jangwani.

MEGIDO,Armageddoni mahali ambapo vita ya mwisho itapiganwa, this is real, bible haijaficha kitu.

Hili kaburi la Yesu hata sasa yapo

mti aliopanda Zakayo wakati anataka kumwona Yesu ''live'' Yesu
lipoingia nyumbani mwa Zakayo akasema ''wokovu umeingia nyumbani mwa
Zakayo''
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni