Tafakari imeletwa kwako na Pd Richard Tiganya, C.PP.S.
Ni siku nyingine tena tunapokutana katika meza ya Neno la Mungu. Leo tunaadhimisha sherehe ya Pentekoste, sherehe ambayo katika kalenda ya litrujia huja siku hamsini baada ya pasaka.
Ni sherehe ambayo wakristu humshangilia Kristu mfufuka katika Roho Mtakatifu na kufurahia ukombozi ambao umeletwa na Kristo mwenyewe. Katika sherehe ya Pentekoste fumbo la pasaka hukamilika maana ni katika sikukuu hii Roho Mtakatifu hulishukia Kanisa ili likaendeleze kazi ya Kristu bila woga, likiwa na nguvu za kimungu. Ni sherehe ambayo kwayo Roho Mtakatifu huthibitisha muungano wetu na Mungu. Ujumbe wa Neno la Mungu unalala katika Roho Mtakatifu kuwa sheria mpya na nguvu ya Wakristu, taifa jipya lililoshikamana katika upendo na Mungu.
Katika somo la kwanza toka kitabu cha Matendo