Habari kubwa leo inamusu Ronaldo ni kwamba mchezaji huyo anastahili tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia `Ballon d`Or`, Kutokana na hilo, mashabiki 40,000 wa Real Madrid wamejipanga kumpa sapoti Ronaldo leo kwenye mechi ya Ligi ya Mabigwa Ulaya wakati timu hiyo itakapo menyana na Galatasaray kwenye uwanja Santiago Bernabeu wakiandaa tukio la kufikisha ujumbe kwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kwamba mreno huyo ndie bora kwa sasa.
Mitaa ya karibia na uwanja wa Santiago Bernabeu mashabiki wako kwa wingi wametengeneza vinyago vyenye sura ya Ronaldo na kuvivaa na pia kuna mabango makubwa yenye yakisisitiza fowadi huyo ndie bora.
Week Hot newz
-
Tunaendelea kama kawaida katika kipindi chetu, tafakari masomo Dominika, na leo tunatafakari masomo Dominika ya 33 ya mwaka C wa Kanisa...
-
Teach me, Lord Jesus, to be generous: to serve You as You deserve; to give, not counting the cost; to fight, not heeding the wound...
-
Uchunguzi wa mwili wa Askofu Józef Wesolowski, umekamilika na matokeo kwamba amekufa kifo cha kawaida. Kuf...
-
Baraza la Kipapa la Elimu Katoliki limezindua tovuti yake inayotoa habari muhimu kuhusu mchango wa Kanisa Katoliki katika sekta ya elimu ...
-
Reading 1, Romans 6:19-23 19 I am putting it in human terms because...
-
NA OSCAR ASSENGA, TANGA-Tanzania.Gazeti Mtanzania. KATIBU wa Chama cha Watu Wenye Albino Mkoa wa Tanga (TAS), Mah...
-
Mpendwa mwana wa Mungu, tuko tena pamoja katika ile habari ya furaha ndiyo kushirikishana mapendo ya Mungu kwa njia ya meza y...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni