Week Hot newz

Macho yameona mengi album mpya hivi karibuni sokoni

Wanamuziki mahiri wa nyimbo za injili nchini Tanzania Elizabeth Josiah na Moses Josiah ambao wanatamba sana na video ya `Ukitaka `kwa muda mrefu kwa nyimbo hii ya  injili inayokonga nyoyo za wapenzi wa nyimbo za injili Afrika Mashariki, hivi karibuni wanatarajia kuachia album yao mpya kabisa inayokwenda kwa jina Macho yameona mengi ikiwa katika mfumo wa DVD uzinduzi utakaofanyika jijini Mwanza  mwezi Desemba 2015 albamu hii ina  nyimbo nane ambazo ni wewe ni Mungu, Tazama, Ruadha inmitelona, Bwana wa Mabwana, Mwambie Yesu, Galilaya, yeye ndio na Mambo yameona mengi ambayo ndio imechukua jina la album. 

Albamu hii ya Macho yameona mengi inerekodiwa katika studio za EX2 Studio iliyo maeneo ya Mecco jijini Mwanza nchini Tanzania. Na albamu hii ilikamilika mwaka 2014 na kuwa tiyari ila matatizo anayoyapata Mwanamziki Moses Josiah ni kupata wasambazaji ili iweze kuwafikia wapenzi mziki wa injili na anaomba watu wenye kuitaji huduma yake ya kuinjirisha wawasiliane nae kwa facebook.com/Moses Josiah kama mdau wa muziki wa injili habari ndio hiyo,,,waweza jiongeza na kuhudhuria uzinduzi huo bila kukosa na Mungu akubariki.

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Afrika ya kusini ambaye amekuwa akipambana na majaribu mbalimbali kila kukicha, mwanakaka Lundi Tyamara ameachia album mpya ya muziki wa injili iitwayo Lundi & Friends wiki hii bila wasimamizi wa kazi zake kujua suala hilo hivyo kuleta mkanganyiko.

Mwanakaka huyo ambaye ameshauza mamilioni ya kopi ya kazi zake miaka ya nyuma ameachia album mpya siku ya jumanne wiki hii bila kampuni ya Zuz'Muz Music ambayo imeingia naye mkataba kujua suala hilo ingawa kampuni ndiyo imeachia album hiyo sokoni. Akizungumza na Tonight chombo cha habari nchini humo bwana Tshepo Ndzimande amekitaka chombo hicho kutangaza uwepo wa album mpya ya Lundi ingawa hawakupenda namna album hiyo ilivyoandaliwa kwakuwa imefanywa nje ya mkataba wao.
Ndzimande amesema ingawa album hiyo imefanywa nje ya kampuni yao imerekodiwa vizuri sana hata wanamuziki ambao Lundi amewashirikisha wamefanya kazi nzuri na kuongeza kwamba walipata habari kwamba Lundi anarekodi album mpya kupitia The Jaziel brothers ambaye aliwapigia simu kuwataarifu kwamba ameshirikishwa kwenye wimbo na Lundi na kutaka kusikia mawazo yao. Ndzimande amesema ameshangazwa na kitendo hicho cha Lundi kwakuwa walisaini mkataba naye wakurekodi album nne chini ya kampuni hiyo ambapo mpaka sasa amerekodi album moja tu na kushangazwa kwenda kurekodi album mpya kinyemela bila wao kuwa na taarifa.
Aidha bwana Ndzimande amesema alidhani mwimbaji huyo amejifunza kosa lake kama hilo alilowahi kufanya awali kwakurekodi nje ya mkataba kitu ambacho kingemletea matatizo makubwa lakini inaonekana hajajifunza na sasa amerudia tena na kutoa onyo kwa watu walioshiriki katika kumrekodi na kufanikisha album hiyo kwakuwa wanajua kufanya hivyo ni kinyume cha sheria kwakuwa wanajua mwanamuziki huyo yupo chini ya kampuni kisheria.
Kwa upande wake Lundi alipopigiwa simu na waandishi wa Tonight kuhusiana na taarifa hizo amesema hajarekodi au kutoa album mpya yeyote na alipoambiwa suala la Ndzimande kisheria mwanamuziki huyo alisema hataki kuzungumzia lolote kuhusu suala hilo. Aidha kuonyesha amefanya kweli kitendo hicho kupitia ukurasa wake wa Facebook mwanakaka huyo amemwita bwana Tshepo Ndzimande kama mwizi wa kazi zake na kuwataka mashabiki wake kutomsikiliza kwani hajatoa album yeyote ila anatarajiwa kutoa album mpya iitwayo "The New Testament"hivi karibuni na kuomba maombi yao.
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2014/02/kutoka-south-lundi-matatani-tena-na.html#sthash.lzu6h8VM.dpuf