Msanii wa ngw`anza fleva toka jijini Mwanza Batarokota mkali wa kurap kwa lugha ya kishahili na kisukuma, msanii huyu ndani ya wiki hii ameibuka na audio ya songi mpya 'irombo lise`, nyimbo hii imerekodiwa ndani ya studio ya Sun light Record iliyo mji kasoro bahari mjini Morogoro maeneo ya Kihonda (Mazimbu Road) . Songi hiyo 'irombo lise' imerekodiwa na kutengenezwa midundo na watayarishaji Batarokota akishirikiana na King Malo. Akizungumnza kwa njia ya simu toka mjini Morogoro msanii Batarokota alisema `nashukuru Mungu mwaka umeanza na nimemaliza kurekodi nyimbo yangu ya kisukuma iitwayo `irombo lise` yaaani Dada yetu na sasa niko katika maandalizi ya video ` alesema msanii Batarokota .Pia baada ya kumaliza na audio Batarokota na sasa video ya song hili 'irombo lise' na kufanyiwa shootingi chini ya usimamizi wa kampuni ya Batarokota iitwayo Paskal Linda Blog kwa udhamini wa Zachalia Linda Entertinment.

Papa Francis
Maafisa katika Vatican makao
makuu ya kanisa katoliki, wanatarajariwa kuhojiwa na maafisa wa Umoja wa
Mataifa kuhusu dhuluma za kingono ambazo makasisi wa kanisa hilo
waliwatendea maelfu ya watoto.
Maafisa hao walikataa ombi la awali ambapo Umoja
wa Mataifa ulikuwa unataka taarifa za kina kuhusu dhuluma za kingono
wakisema kuwa visa hivyo vinapaswa kushughulikiwa na idara ya mahakama
katika mataifa ambako visa hivyo vilitokea