
Vifaa walivyopatikana navyo washukiwa walipokamatwa na polisi
Mchawi kutoka Tanzania
amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu nchini Kenya kwa kumlaghai mwanamke
mfanyabiashara mkenya na kumuibia shilingi milioni tisa.
Mchawi huyo alimhadaa mama huyo kuwa kwa kupitia njia za kichawi angeweza kuzifanya pesa hizo kuwa maradufu yaani milioni 18. Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Nation,