Kardinali Pietro Parolin akisalimiana na
Masista wa Upendo baada ya Ibada ya MIsa ya Shukurani , katika uwanja wa
Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro Vatican 05.08.2016 - OSS_ROM
(Vatican
Radio) Jumatatu hii majira ya saa nne za asubuhi, katika Uwanja wa
Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Jimbo
Takatifu ,aliongoza Maadhimisho ya Misa ya Shukurani , kwa ajili ya
Mama Tereza wa Calcutta kutangazwa Mtakatifu na Papa Francisko Jumapili
iliyopita
Katika homilia yake, Kardinali Parolin alikumbuka mambo kadhaa
muhimu katika maisha ya Mtakatifu Mama Tereza, hasa kiu yake kwa Mungu,
kiu iliyoongoza kila hatua ya utendaji wake. 'Caritas Christi urget
nos”: " Upendo wa Kristo" unaotuchochea sisi sote , yalikuwa ni maneno
yaliyorudiwa mara kwa mara na Kardinali Parolini katika mahubiri yake,
kwenye ibada hii ya Misa ya Shukurani.
18 There is no room for self-delusion. Any one of
you who thinks he is wise by worldly standards must learn to be a fool
in order to be really wise. 19 For the wisdom of the world is folly to God. As scripture says: He traps the crafty in the snare of their own cunning 20 and again: The Lord knows the plans of the wise and how insipid they are. 21 So there is to be no boasting about human beings: everything belongs to you, 22 whether it is Paul, or Apollos, or Cephas, the world, life or death, the present or the future -- all belong to you; 23 but you belong to Christ and Christ belongs to God.
Responsorial Psalm, Psalms 24:1-2, 3-4, 5-6
1 [Psalm Of David] To Yahweh belong the earth and all it contains, the world and all who live there; 2 it is he who laid its foundations on the seas, on the flowing waters fixed it firm. 3 Who shall go up to the mountain of Yahweh? Who shall take a stand in his holy place? 4 The clean of hands and pure of heart, whose heart is not set on vanities, who does not swear an oath in order to deceive. 5 Such a one will receive blessing from Yahweh, saving justice from the God of his salvation. 6 Such is the people that seeks him, that seeks your presence, God of Jacob.
Gospel, Luke 5:1-11
1 Now it happened that he was standing one day by
the Lake of Gennesaret, with the crowd pressing round him listening to
the word of God, 2 when he caught sight of two boats at the water's edge. The fishermen had got out of them and were washing their nets. 3
He got into one of the boats -- it was Simon's -- and asked him to put
out a little from the shore. Then he sat down and taught the crowds from
the boat. 4 When he had finished speaking he said to Simon, 'Put out into deep water and pay out your nets for a catch.' 5 Simon replied, 'Master, we worked hard all night long and caught nothing, but if you say so, I will pay out the nets.' 6 And when they had done this they netted such a huge number of fish that their nets began to tear, 7
so they signalled to their companions in the other boat to come and
help them; when these came, they filled both boats to sinking point. 8 When Simon Peter saw this he fell at the knees of Jesus saying, 'Leave me, Lord; I am a sinful man.' 9 For he and all his companions were completely awestruck at the catch they had made; 10 so also were James and John, sons of Zebedee, who were Simon's partners. But Jesus said to Simon, 'Do not be afraid; from now on it is people you will be catching.' 11 Then, bringing their boats back to land they left everything and followed him.
Feastday: September 1 Patron
of beggars; blacksmiths; breast cancer; breast feeding; cancer patients;
disabled people; Edinburgh (Scotland); epilepsy; fear of night;
noctiphobics; forests; hermits; horses; lepers; mental illness;
outcasts; poor peoples; rams; spur makers; sterility
Birth: 650
Death: 710
St. Giles, Abbot (Patron of Physically Disabled) Feast day - September 1
St.
Giles is said to have been a seventh century Athenian of noble birth.
His piety and learning made him so conspicuous and an object of such
admiration in his own country that, dreading praise and longing for a
hidden life, he left his home and sailed for France. At first he took up
his abode in a wilderness near the mouth of the Rhone river, afterward
near the river Gard, and, finally, in the diocese of Nimes.
He
spend many years in solitude conversing only with God. The fame of his
miracles became so great that his reputation spread throughout France.
He was highly esteemed by the French king, but he could not be prevailed
upon to forsake his solitude. He admitted several disciples, however,
to share it with him. He founded a monastery, and established an
excellent discipline therein. In succeeding ages it embraced the rule of
St. Benedict. St. Giles died probably in the beginning of the eighth century, about the year 724.
MOROGORO,Tanzania
NYOTA wa muziki wa Bongo fleva na Mziki wa Asili ya Kitanzania nchini Tanzania,Batarokota,
amesema alianza kumpenda sana msanii wa rap wa nchini Marekani Hayati 2-Pac tangu
alipokuwa na miaka 16.
Batarokota ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 42, amedai kuwa alianza kununua kanda za Hayati 2-Pac akiwa shule ya msingi na alipenda sana kusikiliza nyimbo zake ikiwemo Dear Mama
karibu miaka ya nyuma na kuimba nyimbo za Hayati 2 pac katika maonyesho mbalimbali.
“Nilianza kuvutiwa na Hayati 2 Pac na Snoopy nikiwa na miaka 16, lakini sikuonyesha
chochote mbele ya wazazi na rafiki zangu.
“Baada ya Hayati 2 Pac kufariki hakuna chochote kinachoendelea kati yangu na mziki wa rap hip hop naona nguvu zimeniishia sana,” alieleza Batarokota.
Klabu za Ligi ya
Premia zilitumia zaidi ya £155m siku ya mwisho ya kuhama kwa wachezaji
kipindi cha majira ya joto na kufikisha jumla ya pesa zilizotumiwa hadi
rekodi mpya ya £1.165bn.Klabu zilikuwa tayari zimetumia jumla
ya£1.005bn kufikia saa nne mchana Jumatano saa za Afrika Mashariki na
kuvunja rekodi ya mwaka jana ya £870m.
Klabu 13 za ligi hiyo kuu ya England zilivunja rekodi zao sokoni. Hapa chini ni mchoro unaoonesha matumzii ya fedha kwa klabu za Ligi ya Premia kwa miaka 10 iliyopita, Majira ya Joto.
Mchezaji aliyenunuliwa pesa nyingi zaidi ni Paul Pogba
Paul Pogba Amerejea Manchester United
£89m
Pesa ambazo Man Utd wamelipa kumnunua Pogba kutoka Juventus
£1.5m Pesa ambazo Man Utd walimuuza Pogba kwa Juventus 2012
£61.9m Faida ambayo Juventus wamepata
Hapa chini ni orodha ya wachezaji walionunuliwa ghali zaidi na kalbu za Ligi ya Premia msimu wa 2016-17:
Klabu zajitanua kutumia pesa
Klabu zilizovunja rekodi zao binafsi katika ununuzi
Manchester United: Paul Pogba (£89m)
Bournemouth: Jordon Ibe (£15m)
Liverpool: Sadio Mane (£36m)
Sunderland: Didier N'Dong (£13.6m)
Crystal Palace: Christian Benteke (£32m)
Hull: Ryan Mason (£13m)
West Ham: Andre Ayew (£20.5m)
West Brom: Nacer Chadli (£13m)
Leicester: Islam Slimani (£29m)
Watford: Roberto Pereyra (£13m)
Southampton: Sofiane Boufal (£16m)
Burnley: Jeff Hendrick (£10.5m)
Swansea: Borja Baston (£15.5m)
Klabu mbili za Manchester, City na United, zilitumia zaidi ya £150m.
Meneja mpya wa Manchester United, Jose Mourinho, alimnunua Paul Pogba kwa rekodi ya dunia £89m.
Pia walimnunua kiungo wa kati kutoka Armenia Henrikh Mkhitaryanna beki wa Ivory Coast Eric Bailly, wawili hao kwa £30m.
City,
chini ya Pep Guardiola, walinunua kiungo wa kati Leroy Sane kutoka
Schalke kwa £37m kisha wakalipa Everton £47.5m kumchukua beki John
Stones.
Chelsea na mmiliki wao Roman Abramovich, walimpa meneja mpya Antonio Conte nguvu mpya za kutumia pesa.
Alitumia
£120m, ikiwa ni pamoja na £34m kumrejesha beki Mbrazil David Luiz
kutoka Paris St-Germain na £33m kumpata mshambuliaji Mbelgiji Michy
Batshuayi kutoka Marseille.
Waliotawala mitandao ya kijamii
Ni mchezaji yupi aliyezungumziwa sana mitandao ya kijamii?
Ilikuwa ni difenda Mbrazil David Luiz aliyerejea Chelsea kutoka Paris St-Germain.
Kulikuwa
na ujumbe 330,000 katika Twitter kumhusu, akifuatiwa na Jack Wilshere
wa Arsenal, aliyetumwa kwa mkopo Bournemouth. Kulikuwa na ujumbe 108,000
kwenye Twitter kuhusu kiungo huyo wa kati.
Kipa wa Manchester
City Joe Hart, aliyeenda Torino kwa mkopo, saini mpya wa Tottenham
Moussa Sissoko na Samir Nasri wa Arsenal, aliyetumwa Sevilla, ndio
wachezaji wengine waliozungumziwa sana.
NA OSCAR ASSENGA, TANGA-Tanzania.Gazeti Mtanzania.
KATIBU wa Chama cha Watu Wenye Albino Mkoa wa Tanga (TAS), Mahamudu
Salehe, amesema ukosefu wa losheni za kuzuia mionzi ya jua kwa jamii
hiyo kumesababisha vifo vya watu watano vinavyotokana na kansa ya ngozi.
Alisema vifo hivyo vimetokea kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita
mkoani hapa jambo ambalo linapaswa kuchukuliwa hatua stahiki kukabiliana
nalo kwa vitendo ili kuiwezesha jamii hiyo kuweza kutimiza malengo yao.
Salehe aliyasema hayo jana wakati akipokea msaada wa mabati na misumari
kwa ajili ya ukarabati wa ofisi yao kutoka kwa Katibu wa Chama cha
Waganga na Wakunga wa Tiba Asilia mkoani hapa (UWAWATA), Jumaa Lukuwa.
“Lakini pia kukosekana kwa matibabu ya kudumu kwenye wilaya
mbalimbali mkoani Tanga ndiyo chanzo cha vifo vya jamii hiyo kwani
wakati wa uhitaji wake unapochelewa wanaweza kupoteza maisha, hivyo
tunaiomba jamii na Serikali kuangalia namna ya kutusaidia ili
vipatikane,” alisema.
Akizungumzia msaada waliotoa, Lukuwa alisema ni kwa ajili ya
kuiwezesha jamii ya albino kuondokana na changamoto zilizokuwa
zikiwakabili, lakini pia kutoa fursa ya kuweza kufanya shughuli zao kwa
ufanisi.
Alisema licha ya hivyo, lakini pia wamefanya hivyo kuisaidia jamii
hiyo kuweza kutekeleza vema majukumu yao ya kuwaelimisha wananchi juu ya
mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na wakunga ili hali hiyo iweze
kutokomezwa kwenye jamii.
“Lakini pia tutashirikiana na chama hicho kutoa elimu juu ya dhana
potofu ya ramli kwa kuhakikisha tunaipiga marufuku kwani ndiyo chanzo
pia cha mauaji kwa jamii hiyo,” alisema.
St. Rumon, also known as Ruan, Ronan, and Ruadan, was probably a brother of BishopSt. Tudwal
of Trequier, but nothing else is known of him beyond that he was
probably an Irish missionary and many churches in Devon and Cornwall in
England were named after him. Some authorities believed he is the same
as the St. Ronan (June 1) venerated in Brittany and believed consecrated bishop by St. Patrick, but others believe that he and St. Kea were British monks who founded a monastery at Street Somerset. Feast day is August 30.
Papa Francisko akihutubia kabla ya sala ya Malaika wa Bwana 21.08.2016
(Vatican
Radio) Baba Mtakatifu Francisko Jumapili katika hotuba yake fupi ,
kabla ya sala ya malaika wa Bwana, alisema kuwa maisha si mchezo wa
video au maonyesha ya kuigiza, lakini ni utendaji halisi ambao lengo
lake muhimu ni kufikia wokovu wa milele. Hayo aliyasema wakati
akiwahutubia mahujaji na wageni waliokuwa wamekusanyika katika Uwanja wa
Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Maoni ya Papa yalilenga
katika mada ya wokovu wa milele, kama ilivyoelezwa katika Somo kutoka
Injili ya Luka , ambamo Yesu akiwa njiani kuelekea Jerusalem , mtu mmoja
alimwendea na kumwuliza iwapo wokovu ni kwa ajili ya watu wachache tu (
Luka 13:23).
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, amesema maandamano na mikutano itakayofanyika kuanzia Septemba
mosi, mwaka huu kwa ajili ya kutekeleza operesheni ya Umoja wa Kupinga
Udikteta Tanzania (Ukuta) haina lengo la kumjaribu mtu yeyote bali
inakusudia kupinga ukiukwaji wa misingi ya Katiba na uvunjaji wa sheria
za nchi.
Yesu amekuja ulimwenguni ili kuufunua,
kuutangaza na kuushuhidia ukweli, ambao umekuwa ni sababu ya kugawanyika
kwa walimwengu kwani wanataka kutembea katika giza la dhambi na mauti. -
RV
11/08/2016 16:08
Mitandao ya kijamii:
Ukweli
ni uthibitisho wa kitu chochote au tukio lolote lile kadiri ya uhalisia
wake. Kwa mfano ukweli kuhusiana na maji katika hali ya kimiminika ni
kwamba yanapokutana na mteremko na hakuna kizuizi chochote basi
yatatiririka kuelekea chini. Kwa maneno mengine ukweli unatupeleka
katika kuutafakari ulimwengu huu kadiri ulivyopangwa na kuumbwa na
Mwenyezi Mungu. Hivyo ukweli huo ambao huelezewa kwetu kwa njia ya neno
lake unabaki daima kama ulivyo na kamwe hauwezi ukabadilika kama
asemavyo Mungu kwa kinywa cha Nabii Isaya kwamba: “Majani yakauka, ua
lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele” (Is 40:8).