Week Hot newz

Kushindwa kwa chaguo lako isiwe ni chanzo cha vurugu na ghasia!


Mkurugenzi mkuu wa Batarokota Social artwoks  Paskal Linda amewataka watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao, amewataka wote kudumisha misingi ya haki, amani na utulivu wakati watakapokuwa wanapata matokeo ya kushindwa kwa wagombea wanao wapenda.


Wananchi wa Tanzania watapiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Wabunge na madiwani hapo tarehe 25 Oktoba 2015.

Paskal Linda alisema li kuepuka kwa  Machafuko, mapigano kiasi cha kumwaga damu ya watu wasiokuwa na hatia ni mambo yasiokuwa ndani ya  nchi ya Tanzania inabidi kukubaliana na matokeo yatakayo tolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi` alisema.

Vijana wawe makini ili wasitumiwe na baadhi ya watu wazima kusababisha machafuko na uvunjifu wa amani.