
Wanaume walevi Urusi
Idadi kubwa ya vifo vya mapema nchini Urusi vinatokana na watu kunywa pombe nyingi , hasa Vodka.
Ripoti hii ni kulingana na utafiti uliofanywa hivi karubini nchini humo.Watafiti walichunguza

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka na mashabiki wa klabu yake ya TP Mazembe katika ya mchezaji bora wa mwaka wa klabu hiyo iliyopewa jina la “Corbeau d’Or”. Samatta ambaye amepewa jina la utani la “Samagoal” na mashabiki wa TP Mazembe aliwabwaga wachezaji wengine watano waliokuwa wakishindana.