Chuo hiki kwa sasa kimeamua kufungua tawi lake mjini Roma, ili kuendeleza mchakato wa kuwarithisha vijana wa kizazi kipya utajiri unaofumbatwa katika historia, tamaduni na maisha ya kiroho. Roma ni mji ambamo watakatifu Petro na Paulo waliyamimina maisha yao, kielelezo cha imani inayoendelea kuungamwa na mashahidi wa nyakati zote pamoja na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya: familia, shule na parokia

Wanaume walevi Urusi
Idadi kubwa ya vifo vya mapema nchini Urusi vinatokana na watu kunywa pombe nyingi , hasa Vodka.
Ripoti hii ni kulingana na utafiti uliofanywa hivi karubini nchini humo.Watafiti walichunguza