Week Hot newz

Daily Reading for Wednesday, April 6th, 2016 HD


Reading 1, Acts 5:17-26

17 Then the high priest intervened with all his supporters from the party of the Sadducees. Filled with jealousy,
18 they arrested the apostles and had them put in the public gaol.
19 But at night the angel of the Lord opened the prison gates and said as he led them out,
20 'Go and take up position in the Temple, and tell the people all about this new Life.'
21 They did as they were told; they went into the Temple at dawn and began to preach. When the highpriest arrived, he and his supporters convened the Sanhedrin -- this was the full Senate of Israel -- and sent to the gaol for them to be brought.
22 But when the officials arrived at the prison they found they were not inside, so they went back and reported,
23 'We found the gaol securely locked and the warders on duty at the gates, but when we unlocked the door we found no one inside.'
24 When the captain of the Temple and the chief priests heard this news they wondered what could be happening.
25 Then a man arrived with fresh news. 'Look!' he said, 'the men you imprisoned are in the Temple. They are standing there preaching to the people.'
26 The captain went with his men and fetched them -- though not by force, for they were afraid that the people might stone them.

Responsorial Psalm, Psalms 34:2-3, 4-5, 6-7, 8-9

2 I will praise Yahweh from my heart; let the humble hear and rejoice.
3 Proclaim with me the greatness of Yahweh, let us acclaim his name together.
4 I seek Yahweh and he answers me, frees me from all my fears.
5 Fix your gaze on Yahweh and your face will grow bright, you will never hang your head in shame.
6 A pauper calls out and Yahweh hears, saves him from all his troubles.
7 The angel of Yahweh encamps around those who fear him, and rescues them.
8 Taste and see that Yahweh is good. How blessed are those who take refuge in him.
9 Fear Yahweh, you his holy ones; those who fear him lack for nothing.

Gospel, John 3:16-21

16 For this is how God loved the world: he gave his only Son, so that everyone who believes in him may not perish but may have eternal life.
17 For God sent his Son into the world not to judge the world, but so that through him the world might be saved.
18 No one who believes in him will be judged; but whoever does not believe is judged already, because that person does not believe in the Name of God's only Son.
19 And the judgement is this: though the light has come into the world people have preferred darkness to the light because their deeds were evil.
20 And indeed, everybody who does wrong hates the light and avoids it, to prevent his actions from being shown up;
21 but whoever does the truth comes out into the light, so that what he is doing may plainly appear as done in God.'

Dr. Alberto Gasbarri atunukiwa tuzo ya heshima na Papa Francisko

Baba Mtakatifu Francisko amemtunukia nishani ya heshima ya utumishi uliotukuka Dr. Alberto Gasbarri, aliyekuwa mratibu wa hija za kitume za kipapa na mkurugenzi mkuu wa utawala Radio Vatican. Katika hotuba yake, ya shukrani kwa Dr. Gasbarri, Askofu mkuu  Angelo Becciu, katibu mkuu msaidizi wa Vatican amesema kwamba, nishani hii imetolewa na Baba Mtakatifu kwa kutambua ukweli na weledi uliomwilishwa na Dr. Gasbarri katika huduma yake mjini Vatican. Nishani hii ni changamoto ya kusonga mbele ili kuendelea kumwilisha tunu msingi za Kiinjili katika uhalisia wa maisha.

Mishahara ya vigogo yaanza kufyekwa


B-3
SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kutoa agizo la kupunguza mishahara mikubwa ya watendaji wa mashirika ya umma, hatimaye Serikali kupitia Bodi ya Mishahara imeanza kazi ya kufanya marekebisho hayo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Magufuli, kuagiza kushushwa kwa viwango vya mishahara ya viongozi wa mashirika ya umma ambapo wengine hulipwa Sh milioni 36 hadi milioni 40 kwa mwezi.
Akizungumza na MTANZANIA jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, alisema katika kipindi cha miezi 15 kuanzia sasa mishahara ya watumishi hao itapunguzwa na kuwa yenye uwiyano.

Magufuli afuta sherehe za sikukuu ya muungano

 
 Rais wa Tanzania John Magufuli ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa katika shughuli zao binafsi.
Siku hiyo hata hivyo bado itasalia kuwa ya mapumziko kama kawaida. Agizo hilo la Dkt Magufuli aidha linaathiri shamrashamra za mwaka huu pekee.Siku hiyo huadhimishwa tarehe 26 Aprili kila mwaka kukumbuka siku sawa na hiyo mwaka 1964 ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja).

Dkt Magufuli amesema fedha ambazo zilipangwa kutumika kwa ajili ya kugharimia vinywaji, vyakula, gwaride, halaiki, burudani mbalimbali na hafla ya usiku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni mbili za Tanzania zitumike kupanua barabara ya Mwanza Airport katika eneo linaloanzia Ghana Quarters hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.

Barabara hiyo inafanyiwa upanuzi kutatua msongamano wa mkubwa wa magari ambayo umekuwa ukiathiri shughuli eneo hilo.
Dkt Magufuli amekuwa mapumzikoni nyumbani kwake eneo la Chato, kaskazini magharibi mwa Tanzania.

Yanga SC yaanza viporo kwa ushindi



Mabingwa Yanga waliolalamika kupangiwa ratiba ngumu ya mechi za viporo vya Ligi Kuu Bara, jana walianza vizuri safari ya kusafisha viporo hivyo kwa kuwanyoosha Kagera Sugar waliocheza sehemu kubwa ya kipindi cha pili wakiwa 10 kwa kuifunga mabao 3-1 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Magufuli amwaga mkwara kanisani


Rais Dk. John Magufuli, akiwa na Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga, katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita jana. PICHA: IKULU
Rais John Magufuli,  amesema atahamishia utumbuaji majipu kwenye Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita, endapo mchango wa Sh. milioni 10 aliotoa kwa ajili ya upanuzi wa kanisa hilo zitatumiwa vibaya.

Watoto wa Yanga watibua kiporo cha Azam



NA MWANDISHI WETU, MWANZA

AZAM FC wameshindwa kuibuka na ushindi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji Toto Africans katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Toto Africans wanaodaiwa kuwa na udugu na Yanga, wametibua mbio za Azam FC za kuwania ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuwazuia kuondoka na pointi tatu muhimu katika mchezo huo wa kiporo.
Kwa matokeo hayo, Azam FC imefikisha pointi 51 wakiwa nyuma ya mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 53 huku vinara wa ligi hiyo, Simba wakiendelea kuwa kileleni kwa pointi 57.
Katika mchezo huo wa jana, Azam FC walipata bao kupitia kwa John Bocco dakika ya 23 baada ya kuunganisha pasi safi ya Khamis Mcha.
Toto Africans walisawazisha bao hilo dakika ya 40 kupitia kwa Waziri Juma, matokeo ambayo yalidumu hadi dakika tisini.

Michezo mingine ya ligi hiyo, Stand United iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, mabao yao yakifungwa na Elius Maguli na Vitalis Mayanga. Katika Uwanja wa Mabatini mkoani Pwani, JKT Ruvu wamefanikiwa kuididimiza African Sports ya jijini Tanga bao 1-0, likifungwa na Musa Kiumbu ambaye baadaye alipewa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mchezaji wa Sports.
Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, wenyeji Ndanda FC wamegawana pointi na Tanzania Prisons kutoka Mbeya, baada ya kutoka suluhu.

Tarehe 24 Aprili 2016 Majimbo Katoliki Ulaya kuchangia Ukraine!


Tarehe 24 Aprili 2016 ni Siku ya Mshikamano wa Papa Francisko na wananchi wa Ukraine wanaoteseka kutokana na vita na mipasuko ya kijamii.
Baba Mtakatifu Francisko baada ya maadhimisho ya Fumbo la Ekaristi Takatifu, Jumapili ya huruma ya Mungu, tarehe 3 Aprili 2016, wakati wa Sala ya Malkia wa mbingu amesema, Jumapili hii ni kiini cha maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu. Kwa namna ya pekee, Baba Mtakatifu amewakumbuka na kuwaombea wale watu wa mataifa wenye kiu ya upatanisho na amani. Amewakumbuka wananchi wa Ukraine; wanaoendelea kubaki katika nchi yao ambayo imegeuka kuwa uwanja wa vita na vurugu.

Batarokota atimiza miaka 42 naomba msamaha



Batarokota Paskal Linda akiwa anasoma somo la kwanza katika kanisa katoriki la St Patrisi mjini Morogoro.

ANAWAOMBA msamaha wote akitamka Batarokota ` Ndugu, jamaa na marafiki zangu katika Kristu Yesu nimewakosea sana kwa mawazo, kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu wangu, nimekosa mimi nimekosa sana kwenu ndio maana naomba mnisamee kwa yote niliowatenda najua nimewatenda mengi mabaya sana kwangu na kwenu na mbele ya Mungu wa huruma ni mengi,  kwa walionikwanza nimewasamehe wote, Toba ni neno la kutubu au kutoa kitu ulichokifanya kinyume na ya Mungu, Mimi mdhambi nimeanguka mnihurumie ` aliomba msamaha kwa manjozi makubwa.
 
KWA NINI BATAROKOTA ANAPENDA KUSOMA BIBLIA?
Kwa sababu mbili.
Kwanza aliamini kwamba kwa kuwa kuna miungu mengi chini ya jua, lazima kuna mmoja awe mkuu kuwaliko aliamini ni Mungu muumba wa mbingu na nchi aliyeileta biblia kupitia viywa vya manabii.
Pili, Batarokota alijua kuwa Biblia ni kitabu kinacho heshimika sana na kina pumzi ya Mungu aliye hai, Hiyo ndio maana anapenda sana kusoma na kutafakari maneno matakatifu yaliyomo katika Biblia.



HISTORIA FUPI YA BATAROKOTA
Msanii wa Bongo fleva na mkali wa kurap kwa lugha zaidi ya 32 Bataroka Paskal Linda  Mgundu  alizaliwa tarehe 14/April/1974 Kijiji cha Kigamboni katika Hospitali Teule ya Kigamboni Mkoa wa Temeke jijini Dar es salaam, nakupewa jina la Linda ambalo ndio jina la baba kizaa baba yake Batarokota. Kabila ni Msukuma kutoka kijiji cha Nyashigwe kilomita 35 kutoka jijini Mwanza kaskazini mwa nchi ya Tanzania upande wa baba.
Batarokota alibatizwa katika kanisa la RC Kijenge jijini Arusha mwaka 1980 na kupewa jina la Paskal kwa sababu alizaliwa siku ya kufufuka kwa Yesu Kristu Bwana na Mkombozi wa Ulimwengu wote.



Ni mtoto wa kwanza katika familia ya Baba na Mama Beatus Linda iliyopo Nyamhongolo kijijini katika jiji la  Mwanza, yenye watoto saba (7)  kwa majina ni:
Happy Linda ambae ni marehemu aliyefariki gafla tarehe 9/Mai/2007 maeneo ya Mbagala jijini Dar es salaam(rest in peace sister Happy Linda), Naomi linda, Zakaria Linda (Dj Zari), Yohana linda (y brain), Monical linda na Norbert Linda.

Batarokota ameoa  alifunga ndoa Jumamosi ya tarehe 5/Machi/2011 katika kanisa Katoriki la Mtakatifu Patrisi  la mjini Morogoro nchini Tanzania  na Sara Dile Linda (19), na kupata cheti cha B No. 0129392 mbele ya mashaidi Alphone Dominiki na Josephine John.

Ni baba wa watoto wanne wakwanza alizaa na mchumba wake wa kwanza Marehemu Saula Athony Kapama aliyefariki tarehe 9/Agosti/2005 Sumve Matare kwa ajali ya gari Land Rover yenye usajili wa MZL 578 iliyongongwa na Treni namba 73R02 na 73RO5 iliyokuwa na injini mbili na mabehewa ya abiria iliyokuwa ikienda Mwanza kwenda Dar es salaam.Katika ajali hiyo Batarokota alimpoteza mchumba wake  Saula Kapama (26), shemeji yake Patris Kapama (36), rafiki zake Saguda Ngedu na Dotto.
Marehe Saula Kapama aliye kuwa  aliacha mtoto mmoja jina Ng`wibis Linda ambae alizaliwa Agosti 2000 katika Dispensary ya St Michae jijini Mwanza, Tanzanial. 

Baada ya kufariki kwa mchumba wa Batarokota mwaka uliofuata alipata mchumba  Ruti Fidel Kanuti kabla ya ndoa waliweza kupata mtoto , ambae anaitwa  Shija Paskal ambae alizaliwa Desemba 2006 katika Hospital ya Bugando jijini Mwanza nchini Tanzania.
Batarokota aliachana na mchumba wako huyo na kuondoka kwenda kuishi Morogoro nchini Tanzania ndio alipofanikiwa kupata mwanamke na kufunga nae ndoa na kupata watoto wawili wa kike Makrina Juliana ambae alizawa Novemba/ 2011 mjini Morogoro katika Hospital ya Morogoro na Telezia wa Yesu aliyezaliwa Desemba/2013 Msimii Singida Vijijini.

ELIMU
 
1984 – 1990 shule ya msingi Igoma, Jijini Mwanza wilaya ya Nyamagana kata ya Igoma.

1991- 1994 shule ya sekondari Buswelu , jijini Mwanza wilaya ya Ilemela kata ya Buswelu.

1995 -1997  kidato cha tano na sita Nyeri Sekondari  Kisumu nchini Kenya .

10.07.2007 Aliudhuria mafunzo Tanzania Breweries Limited Mwanza na kupata cheti cha Training on Beer Knowledge, General Hygiene and Customer Service.

2010 Januari - Februari   Chuo cha Power computer  jijini Mwanza  nchini  Tanzania na kuahitimu masomo cheti cha Basic Computer Components.

2011 Septemba  – 2013 April  Saint Paul's University kilichopo Ikebukuro, Tokyo. na kuhitimu Diploma in Information Technology Networking.

BAADHI YA MATAMASHA ALIYO SHIRIKI 

1994 Novemba Batarokota alifanya show ya kuwaanga kidato cha nne katika shule ya Buswelu Sekondari na Mgeni rasmi alikuwa Hayati Paulo Bomani.

1996 Julai  Batarokota alialikwa katika show ya kusaka mrembo wa Kigamboni (Miss Kigamboni ) katika ukumbi wa CCM kivukoni .Katika show alikuwa wamealikwa wasanii Fune with Sanse kiongozi wao J- Mtambo na kundi lake la POSOJU.

1998 Agosti Batarokota alifanya show kubwa akiwa na kundi lake la G tha dunia jijini Nairobi chini ya wadhamini  wa kampuni ya utengenezaji wa sigara za Benson & Hedges . Tamasha ili lilifanyika ukumbi wa Carval simba saloon, pamoja na wasanii G tha Dunia kutoa burudani  pia alikuwepo msanii Coolio kutoka Marekani na wasanii wa Kenya kama  Kalamashaka, Hard stoney na wengine wengi.

1998 Septemba Batarokota alikalibishwa na kundi lake la G tha Dunia katika ukumbi wa Liberty Hall jijini Mwanza, siku hiyo walikuwa wanazindua singo ya wimbo  'upendo kwa mama' wasanii walio alikwa ni Mr 2, Dr KB, BWV, Makamanda wa Gola, Marehemu Daz P, na wengine wengi.


2004 Julai Batarokota akiwa na kundi la G THA Dunia alialikwa pamoja na wasaniii H- Baba, J- Mo, Mr Paulo, Solo Thang, Vick Kamata na BWV. katika kufanya show kubwa iliyo fanyika katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora show hii iliandaliwa na Zizou Entertnment. Show hii ilikuwa pia  mikoa Mara, Tabora na Mwanza.
2004 Desemba  Batarokota alialikwa yeye pamoja na msanii wa nyimbo za kiasili ya kisukuma Mama Nyamoko (Suzana Nyamoko), kwenye show ya kuwaburudisha watu wa Geita siku ya Kristimasi katika ukumbi wa Lake View Hotel .
2005 Machi Batarokota amefanya show aliyoalikwa jijini Nairobi -  Kenya  katika ukumbi wa Brokriny uliopo Gethorai 44 onyesho hili lilifadhiriwa na Princess Studio.

31/Machi/2014 Msanii Batarokota aliudhuria semina ya washiriki wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 kama mshiriki anayewania tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania, semina hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Peninsula Ball room gorofa ya 6 Double Tree  by Hilton, Masaki jijini Dar es salaam. Semina hiyo ilikuwa  mahususi kwa washiriki wa wanao wania tuzo kupiga picha, kupata maelekezo ya kina ya msimu wa KTMA 2014, kujua utaratibu wa kupiga kura na kupigia kura, matumizi ya social media kujinadi na kupata namba ya ushiriki. Semina hiyo iliendeshwa na Taji Liundi, Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager George Kavishe, Kaimu katibu mtendaji wa BASATA  Godfrey l.Mngereza na kampuni ya kuesabu kura ya AUDITAX. Baadhi ya wasanii walio jumuika pamoja na Batarokota kwenye semina hiyo  ni Mzee Yusufu, Nyoshi el Saadati, Mr Blue, Ashimba, na wengine wengi.Pia baada ya kumalizika semina hiyo Batarokota aliingia mkataba mnono na kuuza santuri katika kampuni ya Mkito,  inayo uza mziki ya wasanii Duniani kote kupitia tuvuti ya www.mkito.com . Santuri za Batarokota unaweza kuzipata kwa https://mkito.com/artist/116 kwejaga Nyangisha`, `vichwa vya kale` na `sauti ya haki`

2014 Julai  Batarokota alifanya show kubwa Coopenhangen Denmank katika ukumbi wa SHTU Club chini ya udhamini wa Cocacola.

2014 Septemba Batarokota alifanya show kwenye kampeni ya kumunadi mgombea wa CCM ambaye ndie alikuwa mshindi wa urais J.Pombe Magufuri katika uwanja wa Jamhuri na Morogoro na CCM Kirumba Mwanza.

MAISHA  

Kipaji cha Batarokota kilianza kuonekana toka akiwa shule ya msingi Igoma mwaka 1984, Akiwa shuleni alikuwa akicheza ngoma za asilia kwenye kundi la shule na alikuwa akifundishwa na Mwalimu Matongo ambae ni marehemu na Mwalimu Mayugu ambae kwa sasa ni mwana kwaya wa Mtakatifu Joseph Bakita katika kanisa la Romani Katoriki Igoma.Wanafunzi ambao Batarokota anakumbuka walio kuwa wanacheza wote ngoma ni Tasi Cosinatantine, Paskal Makaka, Peter Makuke,Frimat Lyimo na wengine wengi.
Mnamo Tarehe 9/Januari/1998, Batarokota alianziha kundi la mziki wa kurap jijini Mwanza kwa jina G Tha Dunia, kundi hili G Tha Dunia lilikuwa ni moto wa kuotea mbali ambalo lilitikisha kanda ya Ziwa na lilikuwa likiundwa na Paskal linda a.k.a Batarokota, Juma Hassani a.k.a Big D na Danny Ngollo a.k.a Ngollo 2. Kundi hili lilifanikiwa kurekodi albamu nchini Kenya ambayo ilikuwa ikiitwa '' One day'' ambayo ilirekodiwa Agosti/1998 mjini Nairobi, Kenya katika studio ya Sync sound studio  chini ya Producer Mahamud Omari a.k.a Mr M O .Album hii ya ''One Day'' ilikuwa imajazwa na nyimbo kumi ambazo ni 'one day' jina la albam, 'upendo kwa mama', 'kiama','ogopa 666' , 'ni mzuri tu', 'baby shake', 'wenyewe kwa wenyewe', 'watoto kwanza' , 'total balaa' na 'majonzi'. 
Baada ya kukaa nalo kundi hilo Batarokota aliondoka na kuachana na kundi hili 2004 na kwenda Dermank kwa ajili ya kufundisha kucheza ngoma Wadenishi na kurejea miezi mitatu baadae.Batarokota alirejea kutoka Dermank na kuanzihsa kundi jipya liitwalo Watu wa Gola liliko jijini Mwanza, alianzisha kundi hili akiwa na Juma Hassani a.k.a Big D, Kundi hili Watu wa Gola walifanikiwa kurekodi nyimbo mbili 'Tumerudi' na 'vichwa vya kale' nyimbo hizi zimerekodiwa katika studio ya M.O. Record iliyopo Pasiasi jijini Mwanza chini ya mtayarishaji Q the Don.

TUZO  KATIKA SANAA

2001/ 4,Machi Batarokota akiwa na kundi  la G THA Dunia, walifanikiwa kupata zawadi ya cheti cha ushindi wa best single rap katika wimbo wa ` upendo kwa mama` cheti hicho cheye namba ST NO 06 kilitolewa na Afisa utamaduni wa jiji la Mwanza Bwana Mgabo chini ya udhamini wa Gloryhood Music Award  .

2004/Octoba 22-23, Batarokota alifanikiwa kupata cheti cha kuudhulia na kushiriki mashundindano yaliyo fanyika jijini Mwanza ya  Music Crossroads Tanzania Workshops yanayo shirikisha nchi zote zilizopo kusini mwa Afrika kam Afrika Kusini, Msumbiji, Lesotho, Tanzania, na  Zambia.

03/05/2014 Tarehe hii ilikuwa ni siku ya utoaji wa tuzo za KTMA 2014 ambazo zilifanyika Mlimani city jijini Dar es laam na kuudhuriliwa na wasanii wengi wakimo Diamondi (ambae alinyakua tuzo saba), Jose Chameleone kutoka Uganda (alinyakua tuzo moja),Fid Q (tuzo 1) nawengine wengi  Batarokota akiwa  nominisi katika kategori ya Wimbo bora wenye Vionjo vya Asili ya Kitanzania na wimbo wa kisukuma uitwao `Kwejaga Nyangisha`  alikuwa anashindana na  wimbo Nalonji wa Kumpeneka, bora mchawi  wa Dar bongo massive (mashindi wa tuzo), tumbo lamsokota wa Ashimba, Aliponji wa Wanakijiji na Agwemwana wa Cocodo african music band.

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC 2014 NI HAWA: 

WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi -Dar Bongo Massive, MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer, Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka Young Killer, WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya Lady Jaydee, WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One Diamond,  WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru,  WIMBO BORA WA RAGGAE - Niwe na wewe Dabo, WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako Mzee Yusuf u, KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab, MWIMBAJI BORA WA KIKE  TAARAB - Isha Ramadhani, MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusufu, WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI - Ushamba mzigo Mashujaa Band, MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI - Luiza Mbutu, MWIMBAJI BORA WA KIUME BENDI - Jose Mara,RAPA BORA WA MWAKA BENDI - Furguson,BENDI YA MWAKA - Mashujaa Band,MWIMBAJI BORA WA KIKE, KIZAZI KIPYA - Lady Jaydee, MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond, KIKUNDI CHA MWAKA CHA KIZAZI KIPYA - Weusi, WIMBO BORA WA RNB - Closer, Vanessa Mdee, WIMBO BORA WA HIP HOP - Nje ya Box, Nick wa Pili Ft Joh Makini & Gnako, MSANII BORA WA HIP HOP - Fid Q,WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA / KUSHIRIKIANA - Muziki Gani, Nay wa Mitego ft Diamond, WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - Tubonge, Jose Chameleone, MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB - Mzee Yusuf, MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - Christian Bella, MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond, MTUNZI BORA WA MWAKA HIP HOP - Fid Q, MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, TAARAB - Enrico, MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, BENDI - Amoroso, MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, KIZAZI KIPYA - Man Water, Combination Sound, HALL OF FAME, INDIVIDUAL - Hassan BItchuka, HALL OF FAME, INSTITUTION - Masoud Masoud, VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA - Number One, Diamond, WIMBO WA MWAKA - Number One. Diamond, MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI - Isha Ramadhani na MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond


 NYIMBO MPYA AKIWA NJE YA KUNDI

Batarokota akiwa kama msanii single kwa  sasa ana nyimbo saba ambazo amesha kamilliza kwa ajili ya maandalizi ya albamu yake mpya atakayozindua mwishoni mwa mwaka 2016 yenye nyimbo  sita ambazo ziko tiyari ni ` hongora mama` na  `amani` nyimbo hizi zimerekodiwa Mwaka 2003 Januari katika studio Mushroom Studio jijini Nairobi nchini Kenya chini ya mtayarishaji Teddy Karanda Harrison.
Nyimbo vingine ni `Sukurubu` ambayo imerekodiwa Multimedia Studio jijini Mwanza mtayarishaji Alon Mikomangwa wasanii walioshiriki kwenye nyimbo hii ni Ceni na Castro kutoka DRC, Kongo na nyimbo nyingineni `sauti ya haki` na `kwejaga Nyangisha` zimerekodiwa Januari,2012 studio ya Sky Studio iliyopo Kihonda Morogoro mtayarishaji Orecy Owden.Nyimbo nyingine ni ya kisukuma ihitwayo `irombo rise`iliyorekodiwa 6/Decemba/2012 katika studio za Sunlight Records Mazimbu road -Kihonda Morogoro mtayarishaji King Maroh.

ANA VIPAJI VINGI VYA KUJIVUNIA UNAFAHAMU .

Mtunzi wa vitabu vya sala, nyimbo, ngojera, mashairi, Batarokota ni mtunzi wa kitabu cha Mashairi ya haki katika kuongoza `rudi ndani` alicho kizindua 01/10/2013 Temeke jijini Dar es salaam na kupewa namba ISBN 978-9976-89-260-4.
Mtu wa Mungu yaani mchungaji, ana kipindi katika blogu yake kwa kutarakari neon la Mungu kila siku na anakiendesha vizuri bila kutengemea msaada wowote wa pesa toka kwa wahisani ni toka mwaka 2013 amesimamia kutangaza nene la Mungu kupitia www.batarokotamedia.blogspot.com  jamaa napenda kumuita mchungaji wa kondoo wa Bwana lakini si mlokole.
Batarokota ni  msanii wa bongo fleva, msanii wa nyimbo za kurap, msanii wa nyimbo asili ya kiafrika anawezakuimba kwa lugha zaidi ya 32, amesha imba nyimbo nyingi sana kama `upendo kwa mama` lugha ya kiswhahili, kwejaga nyangisha lugha ya kisukuma, sukurubu lugha ya kiringala, one day English, kamule balongo kinyatuzu na nyingine nyingi.
Unauwezo wa kutabiri, katika blogu yake mwaka 2015 Mwezi wan ne siku ya kuzaliwa kwake alisema Rais wa awamu ya Tano ni Kutoka kanda ya Ziwa na hilo likatimia. Pia katika utabiri wake wa mwaka 2016 – 2017 ametabiri,
Moja; Chama kimoja cha siasa kitapata wanachama wengi sana mwezi wa 7- 12 Mwaka huu na kufika zaidi ya 1,000,000
Pili; vijana wengi watamrudia Mungu na watamwaibisha shetani mbele za watu na majambazi watarudisha siraha, vijana wataacha madawa ya kulevya, mahakimu watatoa haki, vijana watarudi mashambani kulima, waganga watakosa dili, mvua itanyesha kwa wakati, na mengine mazuri yanakuja nchi itashushia zawadi ya madini mapya yataonekana Tanzania ambayo hakuna Duniani.
Tatu;idadi ya Watanzania wenye wasiwasi kupita kiasi itaongezeka na kuwa kubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Bataraokota pia ni mchora picha, mtunzi wa vitabu, mtunzi wa sala, muingizaji mzuri wa movi, mtahalamu wa kutengeneza mashairi,  hadithi, kuparfom katika steji akiwa live n.k

MAAJABU YA BATAROKOTA
Leo msanii Batarokota ameishangaza dunia kwa miaka mitatu mfululizo ameweka rekodi ya kutengeneza website na blogu zaidi ya elfu moja  ambazo zinajulikana baadhi ni kama mambouwanjani.blogspot.com, batarokotamedia.blogspot.com, ngunya.blogspot.com, badagone.blogspot.com, lennysogodi.wix.com/lenny, mchunguzischools.wix.com/8nane, batarokotanews.wix.com/live, zlinda.8m.com, aepo.blogspot.com, eliroidaycare.blogspot.com, tanzaniaonecomic.blogspot.com, ubuyuwataarabutz.blogspot.com, mweas.blogspot.com, kumalijahotel.blogspot.com, acuyo.blogspot.com, batarokotanews.wix.com/live nyingine nyingi sana.

MAMBO AMBAYO BATAROKOTA ATAYASAAU.

1984 Akiwa darasa la kwanza Batarokota alinusurika kifo baada ya mvua kubwa sana kunyesha wakiwa darasa la kwanza, darasa lao lilipingwa na radi na wanafunzi 6 walifariki hapo hapo na zaidi ya ishiriki kujeruiwa na wengine watatu kufika hospital ya taifa ya Bugando.

1990/Septemba/2  Batarokota aweze kuisaau baada ya siku hiyo kwenda kumsalimia Babu yake Timothi Shindika ambae kipindi hicho alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza baada ya kulala kwa babu yake, Asubuhi Babu yake alimwamsha Batarokota na kumwambia twende kusali Kawekamo kuna Papa Yohane Paulo wa 2 anaendesha misa. Batarokota alifurahi sana kujumuika na babu yake hadi kawekamo kwenye Misa cha kumkumbusha zaidi Batarokota baada ya misa kwisha babu yake alimwambia twende airport kumsindikiza mgeni. Baada ya Papa Yohane Paulo kuanza kuaanga iongozi wa serikali wakiwa aiport Mwanza Papa alimshika mkono Mkuu wa Mkoa na Batarokota akiwa pembeni ndio na Papa Yohane Pauli wa 2 pili aliona kuna mtoto na akamshika mkono Batarokota. Batarokota alisema hivi ` Papa Yohane Paulo wa 2 alisema Amina nami nikasema Amina`

2006 Mwaka  mpaka leo Batarokota hataki sherehe za birthday, hivi leo anatimiza miaka 42, amedai hana sababu ya kuisherehekea siku hiyo kwa kuwa atakuwa na machungu ya kumkumbuka mke wake wa mwanzo  ujana wake, kwa kuwa ndie alikuwa akimwandalia kila kitu katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kila mwezi wanne. Mambo ambayo Batarokota alikuwa akiandaliwa na mkewe ni  keki ambayo ilikuwa ina gazi kulingana na umri wake, chakula cha meza kuu ambacho kipikwa kwa usitadhi wa hali ya juu na yeye, pia alikuwa anafunga kwa ajili ya kuniombea kabla ya siku kufika na alikuwa anaomba misa kwa ajili ya kuniombea, siku hii ataifanya maalumu kwa ajili ya kusali na kuwaombea marehemu wote walikuwanae katika sherehe zake za kuzaliwa hapo mwanza kama mke wake Marehemu Saula Kapama, shemeji yake Patricia Kapama, Babu yake Zachalia Kapoja, Bibi yake Zachalia Kaboja, Dada yake mpendwa Happy Linda, Happiness Ngeni, Mwanae Ruth Linda na wengine wengi ambao wametangulia mbele ya haki.


“Tangu mke  wangu Mama Ngw`bis aliyofariki sijawahi kufanya sherehe ya kuzaliwa kwangu kwa kuwa najisikia vibaya, nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa nafanya hivyo nikiwa na mke,mtoto, na marafiki zangu mara zote na ndiyo maana nimeshindwa kufanya peke yangu kwa kipindi chote.
“Wiki ijayo nitakuwa natimiza miaka 42, hivyo nimeona ni vizuri siku hiyo kuitumia kwa kumkumbuka watu wote wapendwa, ila sina mpango wa kusherehekea tena,” aliandika Bataokota kwenye akaunti ya Instagram baada ya baadhi ya makampuni yakitaka kufanya sherehe ya kukumbuka kuzaliwa kwake.

04/06/2011 Batarokota alinusulika kufa baada ya kumtetea mwizi wa simu aliye kuwa anapigwa na wananchini wenye asila kali maeneo ya stendi ya Tanganyika bus, baada ya Batarokota kufika eneo hilo aliwaomba na kuwasiii watu wasimpigi mwizi huyo kwa sababu walicho kuwa wanakitaka kimepatikana na mhusika anacho. Ndio baadhi ya watu walimzonga Batarokota na kuanza kumshambualia na walimpora simu aina brackbell, internation passport yenye namba AB 212909 iliyotolewa 2007.
Wasamalia wema walipomwona Batarokota akipigwa ndipo walipiga simu polisi centre nao walifika na kuondoka na Batarokota mpaka Hospital ya Seketure kwa matibabu zaidi. Lakini Mungu si Athumani tarehe 05/06/2011 Batarokota alitoka hospital akiwa na afya tele na watu walishangaa na siku hiyo hiyo alifika eneo la tukio nakuomba arejeshewe international passport lakini aliambia aliye chukua passport hiyo aligogwa na gari wakati anakimbia jana.
2013 Batarokota ashinda kesi (Akisoma Hukumu ya kesi na  Mheshimiwa Hakimu Mwakasenga alisema mlalamikaji na shahidi walipishana kwa utetezi huku mlalamikaji Danieli Simbi akisema ni shilingi Milioni mbili laki moja na kumi na tano na mia tano (2,115,5000 ) alizomkabidhi Batarokota na shahidi nae alisema ni shilingi milioni mbili na laki moja tu (2,100,000 )ndio alizokabidhiwa tena bila maandishi.

Akisoma hukumu hiyo Mheshimiwa Masenga alimwachia huru msanii Batarokota kwa kuwa ana kosa lolote na maelezo ya mashahidi na mlalamikaji ayajakidhi matakwa ya kumtia hatiani msanii Batarokota.)
Batarokota amekaa Keko miezi minne toka tarehe 10/5/2013 mpaka tarehe 16/09/2013 kwa kukosa dhamani.
2015/10 May Batarokota alifiwa na bibi yake kipendwa Perepetua Mishaka Shindika akiwa anaongea na usiku wa saa saba na kuniaga.Hiyo ilikuwa Batarokota alilejea kutoka Morogoro kwenda kumsalimia bibi yake maeneo ya Nyamhongolo jijini Mwanza.
Baada ya kukamilisha maojiano na msanii Batarokota tarehe 4/04/2014  amesema, `huruma ya Mungu inawasukuma waamini kuwa na huruma, kama ilivyojionesha kwa Watakatifu mashuhuda wa huruma ya Mungu kama vile: Theresa wa Mtoto Yesu, Mama Theresa wa Calcutta, Sr. Faustina Kowalska, Vincenti wa Paulo, Damiano  De Veuster, Leopoldo Mandic. Kanisa katika maisha na utume wake, limekuwa daima mstari wa mbele kutangaza na kushuhudia huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake, dhamana inayopaswa kuendelezwa kwa ari na moyo mkuu` alimaliza Batarokota mtu wa Mungu.

Watendaji wa kata, vijiji watwishwa zigo la madawati


Madawati 5
Na Upendo Mosha, Hai (Gazeti Mtanzania)

MOFISA watendaji wa kata na vijiji wilayani Hai  wameagizwa kuhakikisha tatizo la upungufu wa madawati katika shule za msingi na sekondari liwe limekwisha  ifikapo Aprili 30 mwaka huu.
Agizo hilo lilitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Said Mderu, alipozungumza na maofisa hao  na wakuu wa shule za msingi, sekondari, waratibu elimu kata na wakuu wa idara   wilayani humo   kuwahimizi juu ya uwajibikaji kazini.

Abeddy Ngosso Kimbilio Langu video

Kenya: Mushroom Soup Still Delights


 
 Photo: Them Mushrooms
Them Mushrooms band.
Billy Saro Harrison is the second-born of the Harrison brothers who form Them Mushrooms. They are a Nairobi-based band which hails from Mombasa. Harrison made a very interesting observation on television last week when he asked to explain the difference between music making now and in the past. Saro, the bass guitarist, flanked by elder brother Teddy Kalanda Harrison (Tenor saxaphone, percussion, composer, vocals), younger brothers George Ziro Harrison (playing guitar on the TV set) and John "Bishop" Katana Harrison (keyboards, composer and vocals), said the kids coming into music today are making music for now.They have little thought about what comes next or much care as to how they can make music that will stand the test of time and still be relevant in 10 or more years. In short he seemed to suggest the nature of the industry has been changed by those in charge of it.

Habari iliyo tufikia sasa: Baadhi ya wachezaji wa EPL wanatumia madawa haramu

LONDAN- UINGEREZA
Serikali ya Uingereza imeanzisha uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa wachezaji nyota wa kandanda nchini Uingereza wamekuwa wakitumia madawa yaliyopigwa marufuku ya kuongeza nguvu mwilini.Gazeti la Sunday Times limechapisha ripoti ya uchunguzi iliyothibitisha kuwa sio tu wasakataji dimba bali hata waendesha baiskeli, wachezaji Kriketi na hata wachezaji wa tenisi wamekuwa wakipokea matibabu kutoka kwa daktari mmoja ambaye anajulikana kwa kupeana madawa hayo yaliyopigwa marufuku ya kututumua misuli.
Daktari Mark Bonar ambaye anazahanati yake mjini London Uingereza amekuwa akiwatoza wachezaji nyota maelfu ya pauni za Uingereza kwa matibabu hayo fiche ambayo imegunduliwa kuwa ni matibabu ya madawa yaliyopigwa marufuku na shirikisho la kupambana na madawa haramu WADA.
Wateja wakuu wa Dkt Bonar yasemekana ni wachezaji wa timu kuu katika ligi maarufu zaidi duniani ligi ya Uingereza.Uchunguzi pia umebaini kuwa dkt Bonar amekuwa akiwapa wachezaji nyota 150 dawa aina ya EPO Steroids na hata homoni zinazokua kwa haraka ambazo ni haramu katika michezo katika kipindi cha miaka 6 sasa.
Serikali ya Uingereza imeanzisha uchunguzi dhidi ya taasisi ya kupambana na kuenea kwa madawa hayo haramu kufuatia ufichuzi huo.
Hakuna ushahidi kuwa timu za ligi kuu ya Uingereza zilifahamu mbinu za Dkt Bonar.
Aidha Sunday Times linasema kuwa halina ushahidi 'huru' kuwa dkt Bonar aliwapa madawa hayo ya kututumua misuli wachezaji wangapi wanaochezea vilabu vya ligi kuu ya Uingereza EPL.Hata hivyo wachezaji kadhaa walioulizwa iwapo walipewa madawa hayo ya kututumua misuli na dkt Bonar walikataa kujibu na wengine wakakanusha madai hayo ya daktari huyo.
Dkt Bonar hata hivyo anasema kuwa hakuwapa wachezaji hao madawa hayo kwa nia ya kuimarisha uwezo wao uwanjani ila anadai aliwapa madawa hayo ilikuwatibu dhidi ya maradhi mbali mbali waliokuwa wanaugua.
Uchunguzi huu unatokana na ufichuzi wa mchezaji mmoja aliyekwenda kwa idara ya serikali kumshtaki dkt Bonar kwa kumpa dawa iliyopigwa marufuku.
Mchezaji huyo ambaye ametaka jina lake libanwe anasema alipigwa na butwaa dkt Bonar aliposisitiza kuwa anastahili kumeza dawa hiyo haramu.
Sunday Times lilitumia mwanariadha chipukizi kumrekodi daktari huyo akijigamba jinsi alivyowatibu wachezaji wengi tu nyota akitumia mbinu zizo hizo japo ni marufuku.

A Prayer To God The Father




Almighty God, my Eternal Father, from the fullness of my soul I adore You. I am deeply grateful that You have made me in Your image and likeness, and that You ever hold me in Your loving embrace. Direct me to love You with all my heart, with all my soul, and with my whole mind. Direct me to love all Your children as I love myself. O, my Father, my soul longs to be united to You, and to rest in You forever. Have the Holy Spirit touch my soul so that I may love You as He does, and as Your Beloved Son Jesus does. Amen.

PiCHA:mji wa Nazareti,Jangwa la Yudea, Megido, kabuli la Yesu na mti aliopanda Zakayo


Mji wa Nazareti ukionekana hapo juu,Mat 2:23, watu wengi walikuwa wakulima, Yesu na Josefu walikuwa maseremala, hivyo ilikuwa rahisi kufahamika. Jangwa la Yudea, linatukumbusha safari ya waisrael, Kujaribiwa kwa Yesu na maisha ya Yohana kuna wakati alikaa Jangwani.
MEGIDO,Armageddoni mahali ambapo vita ya mwisho itapiganwa, this is real, bible haijaficha kitu.
Hili kaburi la Yesu hata sasa yapo
mti aliopanda Zakayo wakati anataka kumwona Yesu ''live'' Yesu lipoingia nyumbani mwa Zakayo akasema ''wokovu umeingia nyumbani mwa Zakayo''