Sikukuu ya leo inayo mafundisho ya maisha yanayoweza kumtosha kila mtu. Ukifaulu kutanguzana kidhati na wasafriri wanaotajwa katika sikukuu ya leo watakufikisha kwenye uhondo wa maisha. Wasafiri hao wanaitwa majusi. Wametokea mashariki ya mbali wakielekea Betlehemu. Wasafiri hao hawatajwi idadi wala majina kama tunavyosadikishwa kuwa walikuwa watatu. Tunaambiwa tu Kulikuwa majusi kutoka mashariki ya mbali.

Unene kupinduikia ni tatizo
Kunenepa kupindukia ni tatizo
ambalo sasa linatishia zaidi maisha ya wengi katika mataifa yanayostawi
duniani kuliko katika mataifa tajiri ambako mambo yana afadhali.
Sasa serikali nyingi zinaombwa kuongeza Ushuru
vyakula hivyo vinavyosababisha watu kunenepa kupindukia kama njia ya
kuokoa maisha ya watu kutokana na mshutoko wa moyo, kisukari na kiarusi.