Siku ile iliyotangulia kuteswa kwake, Yesu aliwaosha mitume wake miguu, jambo ambalo halikumfurahisha Mtakatifu Petro kiasi cha kukataa kuoshwa miguu na Yesu. Lakini Yesu akamfafanulia maana yake, akiwataka wafuasi wake kujikita katika huduma ya upendo, kama kielelezo makini cha ushuhuda wa imani inayomwilishwa katika matendo! Yesu ni kielelezo cha hali ya juu kabisa cha

Majadiliano ya kiekumene yamechukua sura mpya kwa papa Francisko kukutana na Patriaki Kirill wa Moscow na Russia nzima.
16/02/2016 14:43Baba
Mtakatifu Francisko na Patriaki Kirill wa Moscow na Russia nzima
wamekutana na kuzungumza pamoja na kutia sahihi Tamko la shughuli za
kichungaji kwa Makanisa haya mawili, ili kuanza kuandika ukurasa mpya wa
majadiliano ya kiekumene katika Millenia ya tatu ya Ukristo!