MOFISA watendaji wa kata na vijiji wilayani Hai wameagizwa
kuhakikisha tatizo la upungufu wa madawati katika shule za msingi na
sekondari liwe limekwisha ifikapo Aprili 30 mwaka huu.
Agizo hilo lilitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,
Said Mderu, alipozungumza na maofisa hao na wakuu wa shule za msingi,
sekondari, waratibu elimu kata na wakuu wa idara wilayani humo
kuwahimizi juu ya uwajibikaji kazini.
Billy
Saro Harrison is the second-born of the Harrison brothers who form Them
Mushrooms. They are a Nairobi-based band which hails from Mombasa.
Harrison made a very interesting observation on television last week
when he asked to explain the difference between music making now and in
the past. Saro, the bass guitarist, flanked by elder brother Teddy
Kalanda Harrison (Tenor saxaphone, percussion, composer, vocals),
younger brothers George Ziro Harrison (playing guitar on the TV set) and
John "Bishop" Katana Harrison (keyboards, composer and vocals), said
the kids coming into music today are making music for now.They have little
thought about what comes next or much care as to how they can make music
that will stand the test of time and still be relevant in 10 or more
years. In short he seemed to suggest the nature of the industry has been
changed by those in charge of it.
Serikali ya
Uingereza imeanzisha uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa
wachezaji nyota wa kandanda nchini Uingereza wamekuwa wakitumia madawa
yaliyopigwa marufuku ya kuongeza nguvu mwilini.Gazeti la Sunday
Times limechapisha ripoti ya uchunguzi iliyothibitisha kuwa sio tu
wasakataji dimba bali hata waendesha baiskeli, wachezaji Kriketi na hata
wachezaji wa tenisi wamekuwa wakipokea matibabu kutoka kwa daktari
mmoja ambaye anajulikana kwa kupeana madawa hayo yaliyopigwa marufuku ya
kututumua misuli.
Daktari Mark Bonar ambaye anazahanati yake
mjini London Uingereza amekuwa akiwatoza wachezaji nyota maelfu ya pauni
za Uingereza kwa matibabu hayo fiche ambayo imegunduliwa kuwa ni
matibabu ya madawa yaliyopigwa marufuku na shirikisho la kupambana na
madawa haramu WADA.
Wateja wakuu wa Dkt Bonar yasemekana ni wachezaji wa timu kuu katika ligi maarufu zaidi duniani ligi ya Uingereza.Uchunguzi
pia umebaini kuwa dkt Bonar amekuwa akiwapa wachezaji nyota 150 dawa
aina ya EPO Steroids na hata homoni zinazokua kwa haraka ambazo ni
haramu katika michezo katika kipindi cha miaka 6 sasa.
Serikali ya Uingereza imeanzisha uchunguzi dhidi ya taasisi ya kupambana na kuenea kwa madawa hayo haramu kufuatia ufichuzi huo.
Hakuna ushahidi kuwa timu za ligi kuu ya Uingereza zilifahamu mbinu za Dkt Bonar.
Aidha Sunday Times linasema kuwa halina ushahidi
'huru' kuwa dkt Bonar aliwapa madawa hayo ya kututumua misuli wachezaji
wangapi wanaochezea vilabu vya ligi kuu ya Uingereza EPL.Hata
hivyo wachezaji kadhaa walioulizwa iwapo walipewa madawa hayo ya
kututumua misuli na dkt Bonar walikataa kujibu na wengine wakakanusha
madai hayo ya daktari huyo.
Dkt Bonar hata hivyo anasema kuwa
hakuwapa wachezaji hao madawa hayo kwa nia ya kuimarisha uwezo wao
uwanjani ila anadai aliwapa madawa hayo ilikuwatibu dhidi ya maradhi
mbali mbali waliokuwa wanaugua.
Uchunguzi huu unatokana na
ufichuzi wa mchezaji mmoja aliyekwenda kwa idara ya serikali kumshtaki
dkt Bonar kwa kumpa dawa iliyopigwa marufuku.
Mchezaji huyo ambaye
ametaka jina lake libanwe anasema alipigwa na butwaa dkt Bonar
aliposisitiza kuwa anastahili kumeza dawa hiyo haramu.
Sunday
Times lilitumia mwanariadha chipukizi kumrekodi daktari huyo akijigamba
jinsi alivyowatibu wachezaji wengi tu nyota akitumia mbinu zizo hizo
japo ni marufuku.
Almighty God, my Eternal Father, from the fullness
of my soul I adore You. I am deeply grateful that You have made me in
Your image and likeness, and that You ever hold me in Your loving
embrace. Direct me to love You with all my heart, with all my soul, and
with my whole mind. Direct me to love all Your children as I love
myself. O, my Father, my soul longs to be united to You, and to rest in
You forever. Have the Holy Spirit touch my soul so that I may love You
as He does, and as Your Beloved Son Jesus does. Amen.
Mji
wa Nazareti ukionekana hapo juu,Mat 2:23, watu wengi walikuwa wakulima,
Yesu na Josefu walikuwa maseremala, hivyo ilikuwa rahisi kufahamika. Jangwa la Yudea, linatukumbusha safari ya waisrael, Kujaribiwa kwa Yesu na maisha ya Yohana kuna wakati alikaa Jangwani. MEGIDO,Armageddoni mahali ambapo vita ya mwisho itapiganwa, this is real, bible haijaficha kitu. Hili kaburi la Yesu hata sasa yapo mti aliopanda Zakayo wakati anataka kumwona Yesu ''live'' Yesu
lipoingia nyumbani mwa Zakayo akasema ''wokovu umeingia nyumbani mwa
Zakayo''
Kwa
kawaida mwanachama wa chama au kikundi chochote kile anakuwa na
kitambulisho maalumu na anaona fahari kutangaza sera za chama au za
kikundi chake. Leo tutakiona kitambulisho cha Kristu mfufuka
anachotakiwa kukivaa mfuasi wake. Injili ya leo inaeleza awamu mbili
ambazo Yesu mfufuka anakutana na wanafunzi wake.
Awamu ya kwanza ilikuwa
jioni ya siku ile aliyofufuka (Jumapili), “Ikawa jioni, siku ile ya kwanza ya juma, pale walipokuwapo wanafunzi, milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi.” Awamu ya pili ilikuwa siku nane baadaye. Katika awamu zote mbili
kikundi hiki kidogo cha wanafunzi kilijitenga na kujifungia ndani ya
chumba kwa hofu ya Wayahudi. Mandhari hii inawakilisha hali halisi
ya mahusiano yaliyoko kati ya vyama na vikundi vingi, ambapo wanachama
wake hujifungia katika ulimwengu wa itikadi zao tu na kuwaogopa walio
nje kama wapinzani. Hapo inazuka hofu inayomgeuza mtu hadi kuwa wa
siasa kali, yaani kukereketwa kunapitiliza mipaka. Kama mkereketwa huyo
ni mkristo basi atajifungia katika akili na utashi wake bila kutaka
majadiliano na yeyote asiyefuata itikadi za dini yake. Mtu wa aina hiyo
atanadisha sera za imani yake kwa kupandisha majini na kupaza sauti,
hata kuwadhulumu wengine. Hizo ni alama wazi za hofu iliopitiliza. Katika historia ya Ukristo, kumewahi
kuwa na vipindi vya hofu kama hiyo. Kumekuwa na hofu ya elimu ya
sayansi, kwamba ingeweza kuharibu imani ya kikristo. Kadhalika hofu ya
elimu ya mambo ya kale na teknolojia hasa ya nadharia ya mvuvumko
iliyoonekana kupingana na nadharia ya uumbaji. Kanisa likahofu kuwa
ulimwengu huo ungeangamiza na kuharibu dini ya kikristo. Kumbe mkristo
hatakiwi kuuhofu ukweli, kwani akili ya binadamu imeumbwa na Mungu ili
kuujua na kutafuta ukweli.
Yesu alitangaza Injili ya ukweli na akataka
ukweli wa Injili uenee ulimwenguni.“Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli; tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.” (Yoh 8:30-31). Kujitenga na kujifungia ndani ni hofu
itokanayo na kutojua kitambulisho cha Yesu Kristo mfufuka. Hofu
iliyosababishwa na kutomjua Kristo mfufuka kwamba maisha yake ya upendo
na huruma yasingeweza kufa tu basi, bali yanadumu milele. Katika
mazingira ya hofu, Yesu ajitokeza katikati ya wanafunzi wake na
kuwaonesha kitambulisho vyake. “Akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu. Naye akiisha kusema hayo, akawaonesha mikono yake na ubavu wake.” Kitambulisho cha mfufuka ni mikono na ubavu wake. Mikono iliyotobolewa misumari na kusulubiwa ni alama ya nguvu. “Mkono wa kuume wa Bwana umetenda makuu.” (Zab 118:15).
Kwa hiyo, Yesu anaonesha mikono aliyotumia kutenda matendo ya huruma
kama vile kuwaponya wakoma, kuwaponya vipofu na viziwi, kumwokoa Petro
alipotaka kuzama majini, kuwabeba watoto, mikono iliyoosha miguu ya
mitume nk. Kitambulisho hiki cha Yesu chatakiwa kiwe cha kila mbatizwa,
yaani kutumikia na kutenda matendo ya huruma. Kadhalika ubavuni
ilikotoka damu na maji baada ya kuchomwa moyo uliojaa upendo na huruma.
Mkristo asukumwe na moyo wa huruma na upendo katika kutumikia na kutenda
mema.
Mapato ya Yesu kuwa katikati yao,“Wanafunzi walifurahi kumwona Bwana.”
Hapa wanafunzi wanayo furaha ya kweli anapokutana na kuona kuona
vitambulisho vya aliyetoa maisha yake kwa ajili wengine. Hivi wafuasi wa
Kristu wanafurahi kukutana na yule anayefahamu uzuri wa kutoa maisha
kwa ajili ya wengine. Baada ya kufurahiana huko, Yesu anawaingiza
wanafunzi wake katika ufuasi.“Yesu
anawatuma mitume wake akasema: Kama Baba alivyonituma mimi nami nawatuma
ninyi. Kisha akawavuvia na kusema: Pokeeni roho mtakatifu.” Kuvuvia
ni kuingiza roho, yaani kutia nguvu ya Mungu ndani ya mitume. Zawadi ya
nguvu za Mungu iliyomfanya Yesu kuleta maisha duniani sasa
wanashirikishwa wote na kutumwa kwenda ulimwenguni bila hofu kama kondoo
kati ya mbwa mwitu. Wanaagizwa, “Wowote mtakaowasamehe wamesahemewa, wale mtakaowafungia watakuwa wamefungiwa”
yaani kila mmoja anao wajibu wa kuwatoa watu toka njia mbovu ya dhambi
na kuwaongoza katika njia iliyo sawa inayoelekea kwenye utakatifu wa
maisha! Baada ya mitume kuingizwa uanachama
wa kundi la Kristu, sasa awamu ya pili inahusu kupewa vitambulisho
wafuasi wengine tuliobaki. Ndiyo maana katika awamu hii tunaambiwa
ilikuwa ni siku nane baadaye. Maana yake siku ya kwanza baada ya kwisha
siku saba rasmi za uumbaji, Sasa hufuata maisha ya kawaida ya binadamu.
Sisi waanzaji wenye mashaka tunawakilishwa na Tomaso. “Baada
ya siku nane, wanafunzi wake walikuwamo ndani tena, na Tomaso aitwaye
Pacha pamoja nao. Akaja Yesu, na milango imefungwa, akasimama katikati
yao.”
Tomaso anaitwa Pacha (Didimo) maana yake mawingu. Kwa hiyo huo ni
mwito kwetu wa kujitambua kuwa ni mawingi au pacha wa Tomaso. Tunafanana
na Tomaso katika mahusiano yetu na Yesu. Yaonekana Tomaso hakuuogopa
ulimwengu kama wale mitume waliojifungia chumbani. Aidha isieleweke
kwamba alikuwa mpinzani na Yesu. Tomaso hakuwa mpinzani wala hakuwa na
hofu ya Wayahudi bali alipeta tu nje. Lakini kwa vyovyote alifanana na
mitume katika kuona mashaka juu ya ufufuko. Hali ambayo mara nyingi Yesu
anawagombeza mitume kwa kutokusadiki kwao (Marko). Tomaso alianza
kulifanya kosa hilo kwa kujitenga na jumuiya yake. Hivyo ndivyo
inavyotokea katika maisha ya kila siku katika vikundi mbalimbali.
Hebu tuone ni katika kipengele gani mkristu ni mawingi au pacha,
yaani analingana na kutokulingana na Tomaso aitwaye Pacha (Didimo).
Pacha asiyelingana na Tomaso Didimo ni yule aliyejitenga na jumuiya yake
na kuwadharau wote waliomo humo kuwa hawafai. Huyo ni sawa na anayehama
chama cha siasa na kukidharau wakati kimlea na kumkuza hadi kufikia
ujiko alionao kwa sasa!. Mwanachama wa kweli ni yule anayebaki imara
katika chama hata kama baadhi ya wanajumuyia wake wana makwazo, kwa
sababu kuna sera na mambo mema yaliyomo humo; ni mtu anayethubutu kuleta
mageuzi kwa kubaki ndani ya chama! Ndivyo inavyotokea katika Ukristo,
kuna wale wanaoasi dini na kujiunga na dini nyingine kwa sababu tu
wanajisikia kukatishwa tamaa kutokana na makwazo yanayofanyika humo,
kama vile mfumo mbovu wa uongozi, utajiri uliokithiri au kanisa
kushindwa kutoa majibu sahihi kwa maswali na shida mbalimbali za
waamini. Kumbe, pacha anayelingana na Tomaso ni yule baada ya kuona
makwazo hayo, hata kama anashawishika kujitenga na ukristu kwa muda ili
kuona ukweli utakaoibuka kutokana na muda unavyopita lakini anarudi
tena. Mtu huyo anafanana na yule anayekwepa moshi ili kuweza kuona
vizuri ukweli ulipo. Tomaso hakuasi kundi, ndiyo maana
anarudi kundini kuhakikisha kwa akili yake kama upepo umebadilika. Hapo
ndipo anapokosa imani pale anapotaka kuuelewa tena kwa kugusa ufufuko wa
Kristo. Ufufuko wa wafu hauwezi kufahamika kwa akili ya kibinadamu.
Tomaso hakufahamu kwamba binadamu tunayo mang’amuzi ya kimwili tu, kumbe
ukweli na mang’amuzi yaliyo ndani ya kaburi unajulikana na yule tu
aliye ndani ya vuguvugu zake, yaani mfu peke yake kwani “Adhabu ya kaburi aijuaye maiti.” Kumbe
siri ya kaburi anaijua Yesu peke yake mwenye mang’amuzi ya ya kufa na
kufufuka. Kwa njia ya Mungu peke yake binadamu tunaweza kuuelewa
ufufuko. Kwa hiyo Pacha wetu Tomaso kama
binadamu asingeweza kupata jibu alilolitegemea. Ndiyo maana Kristo
mfufuka akamtaka asiendelee kutosadiki bali awe na imani na kusadiki. “Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona wakasadiki.” Mapato yake, Tomaso akabaki tu kuinamisha kichwa na kusema: “Bwana wangu na Mungu wangu.”
Inatosha kwetu kujua kwamba kitambulisho cha mfuasi wa kweli wa Kristo
Mfufuka ni mikono inayohudumia na moyo (ubavu) alama ya upendo. Leo
tunafundisha kutafakari fumbo hili la ufufuko tunapotenda matendo ya
huruma. Tunapokuwa na mashaka tumwige pacha wetu Tomaso na kusali: “Bwana wangu na Mungu wangu.”
"Amoris Laetitia" "Furaha ya Upendo"
ndani ya familia ni Wosia wa kitume utakaozinduliwa hapo tarehe 8 Aprili
2016, tayari waamini kutangaza na kushuhudia Injili ya familia!
Padre
Federico Lombardi Msemaji mkuu wa Vatican, Alhamisi tarehe 31 Machi 2016
ametangaza rasmi kwamba, Waraka wa Wosia wa Kitume wa Baba Mtakatifu
Francisko kuhusu Injili ya familia, utazinduliwa rasmi hapo tarehe 8
Aprili 2016. Waraka huu unajulikana kwa lugha ya Kilatini kama “Amoris
Laetitia” “Furaha ya Upendo” ndani ya familia. Waraka
huu ni matunda ya maadhimisho ya Sinodi mbili za Maaskofu kuhusu
familia. Sinodi ya kwanza iliadhimishwa kunako mwaka 2014 na awamu ya
pili kunako mwaka 2015, kuonesha jinsi ambavyo Kanisa linatoa uzito wa
juu kabisa kuhusu wito na utume wa familia ndani ya Kanisa na ulimwengu
mamboleo!
Uzinduzi wa Wosia wa kichungaji wa Baba Mtakatifu Francisko “Amoris
Laetitia” “Furaha ya upendo” ndani ya familia utafanywa na Kardinali
Lorenzo Baldisseri, Katibu mkuu wa Sinodi za Maaskofu; Kardinali
Christoph Shonborn, Askofu mkuu wa Vienna pamoja na Professa Francesco
Miano na mkewe Professa Giusephina De Simone.
Utafiti mpya
umeonesha watu wazima wengi duniani ni wanene kupita kiasi na kwamba
hakuna matumaini ya kufikia lengo la kupunguza idadi ya watu wanene
duniani.
Wanasayansi waliofanya utafiti huo ambao walitoka Chuo
cha Imperial cha London, wakiandika katika jarida la kimatibabu la
Lancet la Uingereza, wanasema miongo minne iliyopita, kuwa na uzani wa
chini kupita kiasi lilikuwa tatizo kubwa kuliko unene.
Wanasema idadi ya wanaume wanene imeongezeka mara tatu, nayo ya wanawake ikaongezeka mara dufu.
Profesa Majid Ezzat, aliyeongoza utafiti huo, anasema ni kana kwamba kuna "mkurupuko wa unene".
Wanasayansi
hao wanaonya kwamba tatizo hilo ni kubwa sana kiasi kwamba haliwezi
kutatuliwa kupitia njia za kawaida za matibabu au kutenga maeneo ya
kuendeshea baiskeli.
wanandoa wanene Duniani ni awa.
Baada
ya kuchunguza takwimu kutoka nchi 186, watafiti hao walibaini kwamba
idadi ya watu wanene duniani imeongezeka kutoka 105 milioni mwaka 1975
hadi 641 milioni mwaka 2014.Idadi ya watu walio na uzani wa chini ya kuwango imeongezeka kutoka 330 milioni hadi 462 milioni katika kipindi hicho.
Viwango
vya unene miongoni mwa wanaume kilipanda kutoka 3.2% mwaka 1975 hadi
10.8%, na miongoni mwa wanawake viwango vya unene vilipanda kutoka 6.4 %
mwaka 1975 hadi 14.9%.
Hii ina maana kulikuwa na wanaume wanene 266 milioni na wanawake wanene 375 milioni mwaka 2014.
MSANII wa Bongo Fleva na nyimbo asili ya Kitanzania, Paskal Linda ‘Batarokota’, amesema kukithiri kwa
matumizi ya dawa za kulevya, utoaji mimba, ufisadi, choyo, dhuruma, kutosamehana katika jamii zinazo tuzunguka kunatukosesha na huruma ya Mungu.
“Mimi binafsi nashindwa kuelewa kwanini jamii inayotuzunguka tunajitumbukiza
kwenye matumizi ya dawa za kulevya, utoaji mimba, utumiaji dawa wa kuzuia mimba, utumiaji wa kondomu, ufisadi, choyo, dhuruma,uuaji, uzinzi, uasherati, na kila siku tunafanya lakini tumeshindwa kumrudia Mungu wa huruma kwa kuomba toba kwa Mungu wa huruma, inabidi
tupigane kwa pamoja kwa nguvu moja kukataa uibilisi kwa kutumia hata mitandao ya facebook, blogu,tovuti twitter, au kutumiana sms za mafundisho kwa simu, huku tukishirikishana sisi kwa sisi kumuomba Mungu toba kila siku na upendo wake wa Kimungu ili uwe nasi” alisema Batarokota.
Batarokota akizungumza leo na mwandishi wa blogu hii leo asubuhi baada ya kuudhuria misa katika kanisa la St Josephine Bakhita Oilcom nane nane Morogoro, aliongeza kwa wanajamii ya Mungu na watoto wa baba mmoja, wana nafasi kubwa kwa kutumia mitandao kukemea uovu na mambo yasiyo kuwa na utukufu wa Mungu.
“Kinachotakiwa kwa sasa, wanajamii wote tumie fursa za kushirikishana kwa njia ya mitandao ya kijamii kutangaza habari njema, siyo kujiingiza katika matumizi au uuzaji
wa dawa za kulevya,utoaji mimba, uchoyo, ulevi wa chakula, pombe na madaraka, ’’ alifafanua Batarokota.
MSANII wa bongo fleva na mkali wa kurap kwa lugha 31 Batarokota,
amesema tangu alipofariki mke wake mpendwa mwaka 2005 kwa ajali ya gari kugonga treni, amesema tangu 2006 hana mpango wa
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Msanii huyo mwenye umri wa miaka 42, amedai hana
sababu ya kuisherehekea siku hiyo kwa kuwa atakuwa na machungu ya
kumkumbuka mke wake wa mwanzo kwa kuwa ndie alikuwa akimwandalia kila
kitu kama keki, chakula, nguo, na sehemu za sherehe nk.
Batarokota anatarajia kufikisha miaka 42 Aprili 14 mwaka huu, siku hiyo
ataifanya maalumu kwa ajili ya kusali na kuwaombea marehemu wote
walikuwanae katika sherehe zake za kuzaliwa hapo mwanza kama mke wake
Marehemu Saula Kapama, shemeji yake Patricia Kapama, Babu yake Zachalia
Kapoja, Bibi yake Zachalia Kaboja, Dada yake mpendwa Happy Linda, Mwanae
Ruth Linda na wengine wengi ambao wametangulia mbele ya haki.
“Tangu mke wangu Mama Ngw`bis aliyofariki sijawahi kufanya sherehe ya kuzaliwa kwangu
kwa kuwa najisikia vibaya, nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa nafanya
hivyo nikiwa na mke,mtoto, na marafiki zangu mara zote na ndiyo maana nimeshindwa kufanya peke
yangu kwa kipindi chote.
“Wiki ijayo nitakuwa natimiza miaka 42, hivyo nimeona ni vizuri siku
hiyo kuitumia kwa kumkumbuka watu wote wapendwa, ila sina mpango wa
kusherehekea tena,” aliandika Bataokota kwenye akaunti ya Instagram
baada ya baadhi ya makampuni yakitaka kufanya sherehe ya kukumbuka
kuzaliwa kwake.
Siku ya kumbukumbu ya kukumbuka ajali ya MV Bukoba tareehe 21/05/2016 katika jijini la mawe Mwanza (Rocky City) kutakuwa na burudani kabambe sana itakayo wakutanisha wasanii wengi wa ndani na nje ya Tanzania kama Neyo, Diamond, Batarokota na wasanii wengine kibao katika show inayotambulika kama Jembeka Festival 2016 chini ya udhamini wa JEMBEKA na VODACOM show ihi iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Ijumaa kuu Kanisa linakumbuka mateso na
kifo cha Kristo Msalabani, chemchemi ya upendo na huruma ya Mungu kwa
waja wake! - REUTERS
Kardinali
Leonardo Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa
ya Mashariki anasema kuna haja ya kujenga na kudumisha utamaduni wa watu
kukutana na kusaidiana ili kuondokana na mantiki ya ubinafsi na kuta za
utengano ambazo hazina mashiko wala tija kwa watu wanaoishi huko
Mashariki ya Kati. Misaada inayotolewa na Jumuiya ya Kimataifa haina
budi kuwafikia walengwa huko: Mashariki ya Kati hasa Syria na Iraq.
13 Look, my servant will prosper, will grow great, will rise to great heights. 14 As many people were aghast at him -- he was so inhumanly disfigured that he no longer looked like a man- 15 so many nations will be astonished and kingswill stay tight-lipped before him, seeing what had never been told them, learning what they had not heard before. 1 Who has given credence to what we have heard? And who has seen in it a revelation of Yahweh's arm? 2 Like a sapling he grew up before him, like a root in arid ground. He had no form or charm to attract us, no beauty to win our hearts; 3 he was despised, the lowest of men, a man of sorrows, familiar with suffering, one from whom, as it were, we averted our gaze, despised, for whom we had no regard. 4
Yet ours were the sufferings he was bearing, ours the sorrows he was
carrying, while we thought of him as someone being punished and struck
with affliction by God; 5 whereas he was being wounded
for our rebellions, crushed because of our guilt; the punishment
reconciling us fell on him, and we have been healed by his bruises. 6 We had all gone astray like sheep, each taking his own way, and Yahweh brought the acts of rebellion of all of us to bear on him. 7
Ill-treated and afflicted, he never opened his mouth, like a lamb led
to the slaughter-house, like a sheep dumb before its shearers he never
opened his mouth. 8 Forcibly, after sentence, he was
taken. Which of his contemporaries was concerned at his having been cut
off from the land of the living, at his having been struck dead for his
people's rebellion? 9 He was given a grave with the wicked, and his tomb is with the rich, although he had done no violence, had spoken no deceit. 10 It was Yahweh's good pleasure to crush him with pain; if he gives his life as a sin offering, he will see his offspring and prolong his life, and through him Yahweh's good pleasure will be done. 11 After the ordeal he has endured, he will see the light and be content. By his knowledge, the upright one, my servant will justify many by taking their guilt on himself. 12 Hence I shall give him a portion with the many, and he will
share the booty with the mighty, for having exposed himself to death
and for being counted as one of the rebellious, whereas he was bearing
the sin of many and interceding for the rebellious.
2 turn your ear to me, make haste. Be for me a rock-fastness, a fortified citadel to save me. 6 you hate those who serve useless idols; but my trust is in Yahweh: 12 I have no more place in their hearts than a corpse, or something lost. 13 All I hear is slander -- terror wherever I turn -- as they plot together against me, scheming to take my life. 15 every moment of my life is in your hands, rescue me from the clutches of my foes who pursue me; 16 let your face shine on your servant, save me in your faithful love. 17 I call on you, Yahweh, so let disgrace fall not on me, but on the wicked. Let them go down to Sheol in silence,
Gospel, John 18:1--19:42
1 After he had said all this, Jesus left with his disciples and crossed the Kidron valley where there was a garden into which he went with his disciples. 2 Judas the traitor knew the place also, since Jesus had often met his disciples there, 3
so Judas brought the cohort to this place together with guards sent by
the chief priests and the Pharisees, all with lanterns and torches and
weapons. 4 Knowing everything that was to happen to him, Jesus came forward and said, 'Who are you looking for?' 5 They answered, 'Jesus the Nazarene.' He said, 'I am he.' Now Judas the traitor was standing among them. 6 When Jesus said to them, 'I am he,' they moved back and fell on the ground. 7 He asked them a second time, 'Who are you looking for?' They said, 'Jesus the Nazarene.' 8 Jesus replied, 'I have told you that I am he. If I am the one you are looking for, let these others go.' 9 This was to fulfil the words he had spoken, 'Not one of those you gave me have I lost.' 10 Simon Peter, who had a sword, drew it and struck the high priest's servant, cutting off his right ear. The servant's name was Malchus. 11 Jesus said to Peter, 'Put your sword back in its scabbard; am I not to drink the cup that the Father has given me?' 12 The cohort and its tribune and the Jewish guards seized Jesus and bound him. 13 They took him first to Annas, because Annas was the father-in-law of Caiaphas, who was high priest that year. 14 It was Caiaphas who had counselled the Jews, 'It is better for one man to die for the people.' 15 Simon Peter, with another disciple, followed Jesus. This disciple, who was known to the high priest, went with Jesus into the high priest's palace, 16
but Peter stayed outside the door. So the other disciple, the one known
to the high priest, went out, spoke to the door-keeper and brought
Peter in. 17 The girl on duty at the door said to Peter, 'Aren't you another of that man's disciples?' He answered, 'I am not.' 18
Now it was cold, and the servants and guards had lit a charcoal fire
and were standing there warming themselves; so Peter stood there too,
warming himself with the others. 19 The high priest questioned Jesus about his disciples and his teaching. 20 Jesus answered, 'I have spoken openly for all the world to hear; I have always taught in the synagogue and in the Temple where all the Jews meet together; I have said nothing in secret. 21 Why ask me? Ask my hearers what I taught; they know what I said.' 22 At these words, one of the guards standing by gave Jesus a slap in the face, saying, 'Is that the way you answer the high priest?' 23 Jesus replied, 'If there is some offence in what I said, point it out; but if not, why do you strike me?' 24 Then Annas sent him, bound, to Caiaphas the high priest. 25 As Simon Peter stood there warming himself, someone said to him, 'Aren't you another of his disciples?' He denied it saying, 'I am not.' 26 One of the high priest's servants, a relation of the man whose ear Peter had cut off, said, 'Didn't I see you in the garden with him?' 27 Again Peter denied it; and at once a cock crowed. 28 They then led Jesus from the house of Caiaphas
to the Praetorium. It was now morning. They did not go into the
Praetorium themselves to avoid becoming defiled and unable to eat the
Passover. 29 So Pilate came outside to them and said, 'What charge do you bring against this man?' They replied, 30 'If he were not a criminal, we should not have handed him over to you.' 31 Pilate said, 'Take him yourselves, and try him by your own Law.' The Jews answered, 'We are not allowed to put anyone to death.' 32 This was to fulfil the words Jesus had spoken indicating the way he was going to die. 33 So Pilate went back into the Praetorium and called Jesus to him and asked him, 'Are you the king of the Jews?' 34 Jesus replied, 'Do you ask this of your own accord, or have others said it to you about me?' 35 Pilate answered, 'Am I a Jew? It is your own people and the chief priests who have handed you over to me: what have you done?' 36
Jesus replied, 'Mine is not a kingdom of this world; if my kingdom were
of this world, my men would have fought to prevent my being surrendered
to the Jews. As it is, my kingdom does not belong here.' 37 Pilate said, 'So, then you are a king?' Jesus answered, 'It is you who say that I am a king. I was born for this, I came into the world for this, to bear witness to the truth; and all who are on the side of truth listen to my voice.' 38 'Truth?' said Pilate. 'What is that?' And so saying he went out again to the Jews and said, 'I find no case against him. 39
But according to a custom of yours I should release one prisoner at the
Passover; would you like me, then, to release for you the king of the
Jews?' 40 At this they shouted, 'Not this man,' they said, 'but Barabbas.' Barabbas was a bandit. 1 Pilate then had Jesus taken away and scourged; 2 and after this, the soldiers twisted some thorns into a crown and put it on his head and dressed him in a purple robe. 3 They kept coming up to him and saying, 'Hail, king of the Jews!' and slapping him in the face. 4
Pilate came outside again and said to them, 'Look, I am going to bring
him out to you to let you see that I find no case against him.' 5 Jesus then came out wearing the crown of thorns and the purple robe. Pilate said, 'Here is the man.' 6
When they saw him, the chief priests and the guards shouted, 'Crucify
him! Crucify him!' Pilate said, 'Take him yourselves and crucify him: I
find no case against him.' 7 The Jews replied, 'We have a Law, and according to that Law he ought to be put to death, because he has claimed to be Son of God.' 8 When Pilate heard them say this his fears increased. 9 Re-entering the Praetorium, he said to Jesus, 'Where do you come from?' But Jesus made no answer. 10
Pilate then said to him, 'Are you refusing to speak to me? Surely you
know I have power to release you and I have power to crucify you?' 11 Jesus replied, 'You would have no power over me at all if it had not been given you from above; that is why the man who handed me over to you has the greater guilt.' 12 From that moment Pilate was anxious to set him free, but the Jews shouted, 'If you set him free you are no friend of Caesar's; anyone who makes himself king is defying Caesar.' 13 Hearing these words, Pilate had Jesus brought out, and seated him on the chair of judgement at a place called the Pavement, in Hebrew Gabbatha. 14 It was the Day of Preparation, about the sixth hour. 'Here is your king,' said Pilate to the Jews. 15
But they shouted, 'Away with him, away with him, crucify him.' Pilate
said, 'Shall I crucify your king?' The chief priests answered, 'We have
no king except Caesar.' 16 So at that Pilate handed him over to them to be crucified. They then took charge of Jesus, 17 and carrying his own cross he went out to the Place of the Skull or, as it is called in Hebrew, Golgotha, 18 where they crucified him with two others, one on either side, Jesus being in the middle. 19 Pilate wrote out a notice and had it fixed to the cross; it ran: 'Jesus the Nazarene, King of the Jews'. 20 This notice was read by many of the Jews, because the place where Jesus was crucified was near the city, and the writing was in Hebrew, Latin and Greek. 21 So the Jewish chief priests said to Pilate, 'You should not write "King of the Jews", but that the man said, "I am King of the Jews". ' 22 Pilate answered, 'What I have written, I have written.' 23 When the soldiers had finished crucifying Jesus they took his clothing and divided it into four shares, one for each soldier. His undergarment was seamless, woven in one piece from neck to hem; 24 so they said to one another, 'Instead of tearing it, let's throw dice to decide who is to have it.' In this way the words of scripture were fulfilled: They divide my garments among them and cast lots for my clothes. That is what the soldiers did. 25 Near the cross of Jesus stood his mother and his mother's sister, Mary the wife of Clopas, and Mary of Magdala. 26 Seeing his mother and the disciple whom he loved standing near her, Jesus said to his mother, 'Woman, this is your son.' 27 Then to the disciple he said, 'This is your mother.' And from that hour the disciple took her into his home. 28 After this, Jesus knew that everything had now been completed and, so that the scripture should be completely fulfilled, he said: I am thirsty. 29 A jar full of sour wine stood there; so, putting a sponge soaked in the wine on a hyssop stick, they held it up to his mouth. 30 After Jesus had taken the wine he said, 'It is fulfilled'; and bowing his head he gave up his spirit. 31 It was the Day of Preparation, and to avoid the bodies' remaining on the cross during the Sabbath -- since that Sabbath was a day of special solemnity -- the Jews asked Pilate to have the legs broken and the bodies taken away. 32 Consequently the soldiers came and broke the legs of the first man who had been crucified with him and then of the other. 33 When they came to Jesus, they saw he was already dead, and so instead of breaking his legs 34 one of the soldiers pierced his side with a lance; and immediately there came out blood and water. 35
This is the evidence of one who saw it -- true evidence, and he knows
that what he says is true -- and he gives it so that you may believe as
well. 36 Because all this happened to fulfil the words of scripture: Not one bone of his will be broken; 37 and again, in another place scripture says: They will look to the one whom they have pierced. 38 After this, Joseph of Arimathaea, who was a disciple of Jesus -- though a secret one because he was afraid of the Jews -- asked Pilate to let him remove the body of Jesus. Pilate gave permission, so they came and took it away. 39 Nicodemus came as well -- the same one who had first come to Jesus at night-time -- and he brought a mixture of myrrh and aloes, weighing about a hundred pounds. 40 They took the body of Jesus and bound it in linen cloths with the spices, following the Jewish burial custom. 41 At the place where he had been crucified there was a garden, and in this garden a new tomb in which no one had yet been buried. 42 Since it was the Jewish Day of Preparation and the tomb was nearby, they laid Jesus there.
Reading 2, Hebrews 4:14-16; 5:7-9
14 Since in Jesus, the Son of God, we have the supreme high priest who has gone through to the highest heaven, we must hold firm to our profession of faith. 15 For the high priest
we have is not incapable of feeling our weaknesses with us, but has
been put to the test in exactly the same way as ourselves, apart from
sin. 16 Let us, then, have no fear in approaching the throne of grace to receive mercy and to find grace when we are in need of help. 7 During his life on earth, he offered up prayer
and entreaty, with loud cries and with tears, to the one who had the
power to save him from death, and, winning a hearing by his reverence, 8 he learnt obedience, Son though he was, through his sufferings; 9 when he had been perfected, he became for all who obey him the source of eternal salvation
Mkuu wa kanisa
katoliki duniani Papa Francis ameosha miguu ya wahamiaji waislamu mjini
Rome katika tukio la unyenyekevu linaloambatana na itikadi ya kuanza kwa
msimu wa Pasaka.Papa Francis alitembela makao ya wahamiaji, mjini Roma na kuendesha misa ya kuanza kwa msimu wa pasaka.
Ziara
yake katika kituo hicho cha kutathmini uhalali wa wahamiaji cha
(Castelnuovo di Porto), inawadia huku uhasama na taharuki ikienea kote
barani ulaya kuhusiana na kuwepo kwa wahamiaji waislamu hususan kufuatia
mauaji ya Paris mwezi Novemba na ya hivi punde huko Brussels Ubelgiji.
Papa
Francis alikashifu mauaji yaliyotokea Ufaransa na Ubelgiji akisema kuwa
hizo ni njama za watu wenye kiu cha kumwaga damu ya binadamu.
Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani alilaumu mtazamo wa watuhumiwa hao kuhusu maafa waliyosababisha.
Aidha papa mtakatifu aliwashauri watu wa dini tofauti duniani kuishi kwa amani.
''Haijalishi iwapo tunaimani tofauti la muhimu kwetu sote ni tuishi kwa amani sisi ni ndugu alisema papa mtakatifu.
KUNA changamoto nyingi ambazo wagonjwa wa saratani wanakutana nazo hasa kwa wanawake ambao wana saratani ya titi.
Changamoto hizo zimesababisha wagonjwa hao kukata tamaa ya kuendelea
na matibabu na kuamua kukatisha dozi na kurudi majumbani mwao.
Hali hiyo hutokea baada ya kuchoka kuhangaika kutafuta fedha za
kumudu gharama za dawa huku wakizidi kunyanyasika wakiwa ugenini kwa
kuja hospitali ya Ocean Road (ORCI) ambayo inashughulikia tiba na
uchunguzi wa ugonjwa huo.
Changamoto kubwa ambayo waathirika wengi wanaomba kusaidiwa ni pamoja
na upatikanaji wa dawa aina ya Chemotherapy ambayo hupewa kama tiba
katika hospitali hiyo.
Akizungumza hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa Chama cha Matumaini
ya Mwanamke, mmoja wa wagonjwa hao, Bihuda Shaiza, anasema huwa
wanaambiwa dawa hizo ni bure lakini wanapoziulizia mara nyingi huambiwa
zimeisha hivyo hulazimika kununua kwenye maduka ya nje ambako huuzwa
ghali.
“Nimelipia dozi hiyo mzunguko wa kwanza kwa shida sana kwa gharama ya
Sh 200,000 baada ya kuambiwa dawa hiyo haipatikani hospitalini, hapa
nilipo sijui dozi ya pili na ya tatu nitaipata vipi,”anasema Shaiza.
MKURUGENZI wa Batarokota Daily Gospel Newz pia msanii wa nyimbo za bongo fleva nchini Tanzania, Paskal Linda ‘Batarokota ’, amewataka wadau wa muziki, wasanii na Watanzania kwa ujumla
kuacha kumsimanga msanii, Chid Benz ambaye ameathirika na matumizi ya
dawa za kulevya kwa kuwa ni mambo yanayoweza kumtokea mtu yeyote.
Batarokota alisema kwa sasa msanii huyo yupo mikono salama chini yake
akiwa chini ya uangalizi wa kituo cha Life And Hope Rehabilitation
Organization, kilichopo Ukuni huko Bagamoyo akipambana kuachana na
matumizi ya dawa za kulevya.
Batarokota alisema yeye kama mdau wa muziki wa Bongo Fleva na
anasaidia wasanii wengi ili wapate mafanikio kupitia muziki na kwenye
matatizo pia anawasaidia.
“Nimechukua jukumu la kumsaidia Chid Benz, naomba Watanzania
tumuombee aweze kupona na si kumchafua kupitia mitandao,” alieleza Batarokota.
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anasadikiwa
kufanya muujiza baada ya kumbusu mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja
aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya uvimbe kwenye ubongo.
Muujiza huo unadaiwa kufanywa na Papa, wakati wa ziara yake katika Jimbo la Philadelphia, nchini Marekani, Septemba mwaka jana 2015.
Vyombo vya habari nchini Marekani tayari vimefanya mahojiano na
wazazi wa mtoto huyo anayeitwa Gianna Masciantonio na kukiri baada ya
Papa kumbusu mtoto huyo uvimbe huo umepotea.
Uvimbe wa Gianna ilisemekana hauwezi kutibika, hasa baada ya
kufanyiwa operesheni nane na hata kupewa matibabu mengi ya mionzi
(chemotherapy), akiwa na umri wa miezi 15 tu katika hospitali ya
watoto ya Philadelphia.
Tayari madaktari walikwishatoa ripoti yao kwamba hataweza kupona na zaidi wakimpa miezi kadhaa tu ya kuishi.
JINSI WALIVYOMFIKIA PAPA
Wazazi wa mtoto huyo, Joey Masciantonio na Kristen waliarifiwa juu ya
ujio wa Papa katika jimbo wanaloishi la Philadelphia na rafiki yao
ambaye ni wakala wa FBI, Donny Asper.
Wakala huyo wa FBI alikuwa amepewa jukumu la kuimarisha ulinzi akiwa na maofisa wenzake zaidi ya 100 katika ziara hiyo ya Papa.
Inaelezwa wakala huyo wa FBI aliwaelekeza wazazi hao kufika haraka
iwezekanavyo karibu na eneo la kihistoria la James S. Byrne, ambako Papa
alikuwa akitarajiwa kupita baada ya kuhutubia katika ukumbi wa Uhuru.
Joey na familia yake walifika katika eneo hilo na baba huyo wa mtoto
anasema alimnyanyua juu Gianna ili maofisa wa Polisi na mawakala wa FBI
waweze kumuona kama alivyoelekezwa na Asper.
Pamoja na kwamba mama wa mtoto huyo, Kristen, alikuwa akitamani binti
yake huyo kukutana na Papa, lakini wakala huyo wa FBI ndiye
aliyehakikisha Joey, mkewe pamoja na watoto wao wawili wanafanikiwa
kupita mbele kumuona kiongozi huyo wa kiroho ambaye alimbusu Gianna
kichwani na kisha kumshika kama ishara ya kumbariki.
WANACHOSEMA WAZAZI
Kwa mujibu wa mahojiano yaliyofanyika wiki iliyopita kati ya kituo
cha NBC-News na wazazi wa mtoto huyo ambao wote ni waumini wa Kanisa
Katoliki, uvimbe uliokuwa ukimsumbua ni kama umekwisha kabisa.
Baba wa mtoto huyo, Joey anasema: “Ni kama alikuwa akisubiri kifo…mimi ni baba ambaye nilikuwa sitaki kumuona Papa.”
Joey anaelezea tukio la binti yake, Gianna kukutana na Papa ni kama muujiza ambao hakutarajia ungetokea.
Joey ameliambia Daily News kwamba alikuwa na wasiwasi mkubwa juu ya
mfumo wa kinga wa binti yake, ambao tayari ulikuwa umedhoofika kwa
matibabu ya mionzi na kwa sababu hiyo alipinga binti yake kwenda kwenye
mkusanyiko wa watu, hatua ambayo ingesababisha hali yake kutetereka
zaidi.
Lakini anasema madaktari ndio waliomtia moyo kwenda kumuona Papa.
Kwa mujibu wa mtandao wa PhillyVoice.com, uvimbe huo ulitokana na
seli za damu kushambulia shina la ubongo wiki chache tu baada ya
kuzaliwa.
Ugonjwa huo unadaiwa kuathiri kila mwaka watoto chini ya watano nchini Marekani.
MSANII wa muziki wa injili nchini Malawi, Grace Chinga, amefariki dunia juzi kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya kichwa.
Rafiki wa karibu wa familia ya
marehemu Grace, Pasta Chris Suya, akiongea na blogu hii kwa njia ya simu juzi la
nchini humo kwamba, mwanamuziki huyo alikimbizwa hospitalini baada ya
kulalamikia maumivu makali ya kichwa.
“Tulipokea simu kwamba alikuwa
anasumbuliwa na maumivu makali ya kichwa na tukakimbia hadi kwake kwa
mwendo wa saa moja, baada ya kufika tulimpeleka hospitali ya Queens
Elizabeth lakini alifariki dunia,” alisema Suya. Katika akaunti ya facebook ya
marehemu Grace, siku chache zilizopita alitangaza kwamba anatarajia
kuachia albamu yake mpya hivi karibuni lakini ndoto hizo zimezimika.
1 Coasts and islands, listen to me, pay attention, distant peoples. Yahweh called me when I was in the womb, before my birth he had pronounced my name. 2
He made my mouth like a sharp sword, he hid me in the shadow of his
hand. He made me into a sharpened arrow and concealed me in his quiver. 3 He said to me, 'Israel, you are my servant, through whom I shall manifest my glory.' 4 But I said, 'My toil has been futile, I have exhausted myself for nothing, to no purpose.' Yet all the while my cause was with Yahweh and my reward with my God. 5 And now Yahweh has spoken, who formed me in the womb to be his servant, to bring Jacob back to him and to re-unite Israel to him;-I shall be honoured in Yahweh's eyes, and my God has been my strength.- 6 He said, 'It is not enough for you to be my servant, to restore the tribes of Jacob and bring back the survivors of Israel; I shall make you a light to the nations so that my salvation may reach the remotest parts of earth.'
1 In you, Yahweh, I take refuge, I shall never be put to shame. 2 In your saving justice rescue me, deliver me, listen to me and save me. 3 Be a sheltering rock for me, always accessible; you have determined to save me, for you are my rock, my fortress. 4 My God, rescue me from the clutches of the wicked, from the grasp of the rogue and the ruthless. 5 For you are my hope, Lord, my trust, Yahweh, since boyhood. 6 On you I have relied since my birth, since my mother's womb you have been my portion, the constant theme of my praise. 15 My lips shall proclaim your saving justice, your saving power all day long. 17 God, you have taught me from boyhood, and I am still proclaiming your marvels.
Gospel, John 13:21-33, 36-38
21 Having said this, Jesus was deeply disturbed and declared, 'In all truth I tell you, one of you is going to betray me.' 22 The disciples looked at each other, wondering whom he meant. 23 The discipleJesus loved was reclining next to Jesus; 24 Simon Peter signed to him and said, 'Ask who it is he means,' 25 so leaning back close to Jesus' chest he said, 'Who is it, Lord?' 26
Jesus answered, 'It is the one to whom I give the piece of bread that I
dip in the dish.' And when he had dipped the piece of bread he gave it
to Judas son of Simon Iscariot. 27 At that instant, after Judas had taken the bread, Satan entered him. Jesus then said, 'What you are going to do, do quickly.' 28 None of the others at table understood why he said this. 29 Since Judas had charge of the common fund, some of them thought Jesus was telling him, 'Buy what we need for the festival,' or telling him to give something to the poor. 30 As soon as Judas had taken the piece of bread he went out. It was night. 31 When he had gone, Jesus said: Now has the Son of man been glorified, and in him God has been glorified. 32 If God has been glorified in him, Godwill in turn glorify him in himself, and will glorify him very soon. 33 Little children, I shall be with you only a little longer. You will look for me, and, as I told the Jews, where I am going, you cannot come. 36 Simon Peter said, 'Lord, where are you going?' Jesus replied, 'Now you cannot follow me where I am going, but later you shall follow me.' 37 Peter said to him, 'Why can I not follow you now? I will lay down my life for you.' 38 'Lay down your life for me?' answered Jesus. 'In all truth I tell you, before the cock crows you will have disowned me three times.'