Week Hot newz

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya 20 ya Mwaka C wa Kanisa


Yesu amekuja ulimwenguni ili kuufunua, kuutangaza na kuushuhidia ukweli, ambao umekuwa ni sababu ya kugawanyika kwa walimwengu kwani wanataka kutembea katika giza la dhambi na mauti. - RV
11/08/2016 16:08
Ukweli ni uthibitisho wa kitu chochote au tukio lolote lile kadiri ya uhalisia wake. Kwa mfano ukweli kuhusiana na maji katika hali ya kimiminika ni kwamba yanapokutana na mteremko na hakuna kizuizi chochote basi yatatiririka kuelekea chini. Kwa maneno mengine ukweli unatupeleka katika kuutafakari ulimwengu huu kadiri ulivyopangwa na kuumbwa na Mwenyezi Mungu. Hivyo ukweli huo ambao huelezewa kwetu kwa njia ya neno lake unabaki daima kama ulivyo na kamwe hauwezi ukabadilika kama asemavyo Mungu kwa kinywa cha Nabii Isaya kwamba: “Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele” (Is 40:8).

Batarokota anawashukuru wadau wa Tasnia ya habari!

Msanii wa Bongo Fleva na Nyimbo asili ya Kitanzania Batarokota, kwa kupitia mitandao ya kijamii leo asubuhi  amewashukuru waandishi wa habari njema  kwa njia ya mitandao mbalimbali.Anawashukuru wale wote waliosaidia kutangaza habari njema kwa njia ya mitandao na wanao endelea kutangaza kila siku,wakati wa raha, uchungu na magumu ya maisha.

Anamshukuru Mungu kwa kuweza kusaidiwa katika maisha na utume wao wote bila kubaguliwa wala kutengwa.Alisema hii ni dhamana kubwa ambayo ilikuwa inawajibisha sana, Batarokota anakiri na kusema kwamba, waandishi wamefanya yote kama mtumishi asiye na faida na ametenda yale aliyopaswa kutenda na kwamba, ataendelea kusikiliza sauti ya wale ambao wanapenda kuandika injili ya Yesu Kristo.

Batarokota anawashukuru na kuwapongeza wale wote wanaojisadaka katika uwanja wa mawasiliano ya jamii; kwa ajili ya huduma kwa jirani zao pamoja na dhamana inayoendana na wajibu huu.

Mwishoni, Batarokota anawatakia wadau wa mawasiliano ya jamii utume mwema.

Siku ya Vijana Duniani 2019 kuadhimishwa nchini Panama!


Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya maadhimisho ya Ibada ya Misa Takatifu kwenye Uwanja wa 

Huruma ya Mungu, Jimbo kuu la Cracovia Jumapili tarehe 31 Julai 2016 kama sehemu ya maadhimisho ya kufunga rasmi maadhimisho ya Siku ya XXXI ya Vijana Duniani kwa mwaka 2016, kabla ya kusali Sala ya Malaika wa Bwana na vijana kutoka sehemu mbali mbali za dunia, aliwashukuru wadau mbali mbali waliojisadaka kwa ajili ya kuandaa na hatimaye kufanikisha maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.
Baraza la Maaskofu Katoliki Panama limepewa dhamana ya kuandaa Siku ya Vijana Duniani kwa mwaka 2019.

Children's Prayer for Parents

Dear Lord! Fill our parents with Thy choicest blessings;
enrich their souls with Thy holy grace;
grant that they may faithfully
and constantly guard that likeness to Thy union with Thy Church,
which Thou didst imprint upon them on their wedding day.
Fill them with Thy spirit of holy fear,
which is the beginning of wisdom;
inspire them to impart it to their children.
May they ever walk in the way of Thy commandments,
and may we their children be their joy on earth
and their crown of glory in heaven.
Finally, Lord God, grant that both our father and mother
may attain to extreme old age
and enjoy continuous health in mind and body.
May they give Thee abundant thanks
because Thou bast bestowed upon them the great gift of parenthood.

Amen.

(Source: Catholic Family Handbook, The by Rev. George A. Kelly, Random House, Inc., New York, 1959.)

Daily Reading for Tuesday, June 28th, 2016

Reading 1, Amos 3:1-8; 4:11-12 1 Listen, Israelites, to this prophecy which Yahweh pronounces against you, against the whole family which I brought up from Egypt:
2 You alone have I intimately known of all the families of earth, that is why I shall punish you for all your wrong-doings.
3 Do two people travel together unless they have agreed to do so?
4 Does the lion roar in the forest if it has no prey? Does the young lion growl in his lair if it has caught nothing?
5 Does a bird fall on the ground in a net unless a trap has been set for it? Will the net spring up from the ground without catching something?
6 Does the trumpet sound in the city without the people being alarmed? Does misfortune come to a city if Yahweh has not caused it?
7 No indeed, Lord Yahweh does nothing without revealing his secret to his servants the prophets.
8 The lion roars: who is not afraid? Lord Yahweh has spoken: who will not prophesy?
11 I overturned you as God overturned Sodom and Gomorrah; you were like a brand snatched from the blaze and still you would not come back to me -declares Yahweh.
12 So this, Israel, is what I plan to do to you. Because I am going to do this to you, Israel, prepare to meet your God!

Responsorial Psalm, Psalms 5:4-6, 6-7, 8

4 You are not a God who takes pleasure in evil, no sinner can be your guest.
5 Boasters cannot stand their ground under your gaze. You hate evil-doers,
6 liars you destroy; the violent and deceitful Yahweh detests.
7 But, so great is your faithful love, I may come into your house, and before your holy temple bow down in reverence of you.
8 In your saving justice, Yahweh, lead me, because of those who lie in wait for me; make your way plain before me.

Gospel, Matthew 8:23-27

23 Then he got into the boat followed by his disciples.
24 Suddenly a storm broke over the lake, so violent that the boat was being swamped by the waves. But he was asleep.
25 So they went to him and woke him saying, 'Save us, Lord, we are lost!'
26 And he said to them, 'Why are you so frightened, you who have so little faith?' And then he stood up and rebuked the winds and the sea; and there was a great calm.
27 They were astounded and said, 'Whatever kind of man is this, that even the winds and the sea obey him?'

St. Irenaeus

Short Cuts
Author and Publisher - Catholic Online
Image of St. Irenaeus

Facts

Feastday: June 28
Death: 202


The writings of St. Irenaeus entitle him to a high place among the fathers of the Church, for they not only laid the foundations of Christian theology but, by exposing and refuting the errors of the gnostics, they delivered the Catholic Faith from the real danger of the doctrines of those heretics.
He was probably born about the year 125, in one of those maritime provinces of Asia Minor where the memory of the apostles was still cherished and where Christians were numerous. He was most influenced by St. Polycarp who had known the apostles or their immediate disciples
Many Asian priests and missionaries brought the gospel to the pagan Gauls and founded a local church. To this church of Lyon, Irenaeus came to serve as a priest under its first bishop, St. Pothinus, an oriental like himself. In the year 177, Irenaeus was sent to Rome. This mission explains how it was that he was not called upon to share in the martyrdom of St Pothinus during the terrible persecution in Lyons. When he returned to Lyons it was to occupy the vacant bishopric. By this time, the persecution was over. It was the spread of gnosticism in Gaul, and the ravages it was making among the Christians of his diocese, that inspired him to undertake the task of exposing its errors. He produced a treatise in five books in which he sets forth fully the inner doctrines of the various sects, and afterwards contrasts them with the teaching of the Apostles and the text of the Holy Scripture. His work, written in Greek but quickly translated to Latin, was widely circulated and succeeded in dealing a death-blow to gnosticism. At any rate, from that time onwards, it ceased to offer a serious menace to the Catholic faith.
The date of death of St. Irenaeus is not known, but it is believed to be in the year 202. The bodily remains of St. Irenaeus were buried in a crypt under the altar of what was then called the church of St. John, but was later known by the name of St. Irenaeus himself. This tomb or shrine was destroyed by the Calvinists in 1562, and all trace of his relics seems to have perished.

Papa Francisko achonga na waandishi wa habari!


Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea kutoka Armenia amepata nafasi ya kuzungumza na kujibu maswali kumi kutoka kwa waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wake.
Baba Mtakatifu Francisko anawataka wanahabari kuhakikisha kwamba, wanatekeleza kikamilifu dhamana hii kwani habari njema zinasaidia mchakato wa maendeleo ya watu: kiroho na kimwili. Baba Mtakatifu ameyasema haya, Jumapili tarehe 26 Juni 2016 alipokuwa anarejea kutoka katika hija yake ya kitume nchini Armenia. Akiwa njiani, Baba Mtakatifu aliweza kujibu maswali kumi kutoka kwa waandishi wa habari ambao wamekuwa kwenye msafara wake wakati wa hija yake ya kitume nchini Armenia kuanzia tarehe 24- 26 Juni 2016.

St. Cyril of Alexandria

Short Cuts
Author and Publisher - Catholic Online
Image of St. Cyril of Alexandria

Facts

Feastday: June 27

St. Cyril of Alexandria, Bishop and Doctor of the Church (June 27) Cyril was born at Alexandria, Egypt. He was nephew of the patriarch of that city, Theophilus. Cyril received a classical and theological education at Alexandria and was ordained by his uncle. He accompanied Theophilus to Constantinople in 403 and was present at the Synod of the Oak that deposed John Chrysostom, whom he believed guilty of the charges against him. He succeeded his uncle Theophilus as patriarch of Alexandria on Theophilus' death in 412, but only after a riot between Cyril's supporters and the followers of his rival Timotheus. Cyril at once began a series of attacks against the Novatians, whose churches he closed; the Jews, whom he drove from the city; and governor Orestes, with whom he disagreed about some of his actions. In 430 Cyril became embroiled with Nestorius, patriarch of Constantinople, who was preaching that Mary was not the Mother of God since Christ was Divine and not human, and consequently she should not have the word theotokos (God-bearer) applied to her. He persuaded Pope Celestine I to convoke a synod at Rome, which condemned Nestorius, and then did the same at his own synod in Alexandria. Celestine directed Cyril to depose Nestorius, and in 431, Cyril presided over the third General Council at Ephesus, attended by some two hundred bishops, which condemned all the tenets of Nestorius and his followers before the arrival of Archbishop John of Antioch and forty-two followers who believed Nestorius was innocent. When they found what had been done, they held a council of their own and deposed Cyril. Emperor Theodosius II arrested both Cyril and Nestorius but released Cyril on the arrival of Papal Legates who confirmed the council's actions against Nestorius and declared Cyril innocent of all charges. Two years later, Archbishop John, representing the moderate Antiochene bishops, and Cyril reached an agreement and joined in the condemnation, and Nestorius was forced into exile. During the rest of his life, Cyril wrote treatises that clarified the doctrines of the Trinity and the Incarnation and that helped prevent Nestorianism and Pelagianism from taking long-term deep root in the Christian community. He was the most brilliant theologian of the Alexandrian tradition. His writings are characterized by accurate thinking, precise exposition, and great reasoning skills. Among his writings are commentaries on John, Luke, and the Pentateuch, treatises on dogmatic theology, and Apologia against Julian the Apostate, and letters and sermons. He was declared a doctor of the Church by Pope Leo XIII in 1882. His feast day is June 27th.

Mwanamke wa miaka 72 ajifungua mtoto India

Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India.Mwanamke huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya kitaalamu ya IVF ambapo yai la mwanamke hutolewa kutoka kwenye ovari, kutungishwa mbegu ya kiume na kisha kurejeshwa kwenye mji wa mimba. Yai hilo linaweza kutolewa kwa mwanamke mwingine.
Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha wanawake tasa kupata watoto.
Daljinder Kaur alijifungua mtoto wake baada ya kupokea matibabu kwa miaka miwili katika hospitali iliyoko jimbo la Haryana.
Matabibu walifanikiwa kumtungisha mimba kupitia IVF mara yao ya tatu.
Mumewe Kaur ana umri wa miaka 79.

Wajibu wa wabatizwa kumtangaza Kristo kila mahali.

Umati wa watu wakimsikiliza Papa Francisco wakati wa sala ya Malkia wa Mbingu
08.05.2016 - REUTERS


Baba Mtakatifu Francisko, Jumapili  akisali sala ya Malkia wa Mbingu,Jumapili ya saba ya kipindi cha Pasaka, alihimiza Wakristo kumhubiri Kristo, kila mahali duniani bila woga. Himizo hilo alilitoa  mbele ya maelfu ya mahujaji na wageni  waliokusanyika  katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro , Jumapili hii ambayo pia Mama Kanisa alikuwa akiadhimisha Sikukuu ya Kupaa Rabbi, na Siku ya Mama wote .
Akitoa hotuba fupi juu ya siku kuu  ya Kupaa Rabbi , Papa alisema, "awali kabla ya kuwaacha marafiki zake , Yesu alifanya rejea katika kifo na ufufuko wake , akisema ninyi ni mashahidi wangu. Na kumbe Yesu anawataja mitume wake waliokuwa mashahidi wakati wa mateso kifo na ufufuko wake pia wanakuwa mashahidi wake wakati wa kupaaa kwake Kristo"

Ted Cruz amshinda Trump mchujo Wisconsin

Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Ted Cruz ameshinda mchujo wa chama hicho katika jimbo la Wisconsin, hilo likiwa pigo kubwa kwa Donald Trump.Katika chama cha Democratic, Bernie Sanders alipata ushindi mkubwa dhidi ya Hillary Clinton anayeongoza kwa wajumbe kwa sasa.
Bw Trump anaongoza kwa wajumbe na katika kura za maoni chama cha Republican, lakini kuna wasiwasi kwamba huenda akashindwa kupata wajumbe wa kumuwezesha kuidhinishwa moja kwa moja kuwa mgombea.
Wapinzani wa Bw Trump wanatumai kwamba hilo likifanyika basi wanaweza kubadilisha mambo katika mkutano mkuu wa chama hicho wa kuidhinisha wagombea mwezi Julai.
Katika mkutano huo, iwapo hakuna mgombea atakayepata zaidi ya nusu ya wajumbe, ni viongozi wa chama ambao watakuwa na usemi katika kuamua mgombea.
“Leo ni siku muhimu sana, inatoa ujumbe kwa watu wa Marekani,” Bw Cruz amewaambia wafuasi wa chama hicho Milwaukee.
“Tunashinda kwa sababu tunaunganisha chama cha Republican.”
Bw Cruz huenda asipate wajumbe wa kutosha kumuwezesha kushinda uteuzi moja kwa moja, lakini viongozi wa chama cha Republican wanamuunga mkono katika juhudi za kumzima Bw Trump.
Bw Trump kwa upande wake amesema kwamba ana matumaini kwamba atafanikiwa licha ya kushindwa Wisconsin na akamshambulia mpinzani wake."Ted Cruz ni mbaya kushinda kikaragozi, yeye ni kama kirusi, anatumiwa na viongozi wa chama kutupokonya uteuzi,” maafisa wa kampeni wa Bw Trump wamesema kupitia taarifa.
Viongozi wa chama wana wasiwasi kwamba Bw Trump hatakuwa na nguvu sana katika kukabiliana na mgombea wa Democratic uchaguzini iwapo ataidhinishwa na pia kwamba anaweza kuathiri wagombea ubunge wa Republican uchaguzini.
Kura za maoni zinaonesha hapendwi na wanawake, watu wa Hispania na vijana.
Katika upande wa Democratic, ushindi wa Sanders jimbo la Wisconsin umemuongezea nguvu kabla ya mchujo muhimu New York na Pennsylvania.
Seneta huyo wa Vermont, akiwahutubia wafuasi wake Wyoming, amesisitiza kwamba kampeni yake inaendelea kushika kasi na kwamba atabadilisha mambo."Mabadiliko kamili huwa hayafanyiki kutoka juu kwenda chini, huwa yanatoka chini kwenda juu,” amesema.
Bi Clinton yuko mbele sana kwa wajumbe na wadadisi wengi wa kisiasa wanasema ana uwezekano mkubwa wa kushinda uteuzi wa chama cha Democratic licha ya kushindwa majimbo kadha karibuni.
Ingawa Bw Trump alishindwa mchujo huo wa Jumanne Wisconsin, bado ana muda wa kujikwamua.

Rais Magufuli ziarani Rwanda leo


maguuli

Rais Dk. John Magufuli anatarajia kuondoka nchini kuelekea Rwanda, ikiwa ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu aapishwe kuingia madarakani Novemba 5, mwaka jana.
Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, ilieleza kuwa katika ziara hiyo Rais Magufuli na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wanatarajia kufungua daraja la kimataifa la Rusumo na kituo cha pamoja cha ukusanyaji ushuru mpakani, ambacho ni moja ya miradi muhimu iliyoanzishwa kwa hisani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Daily Reading for Wednesday, April 6th, 2016 HD


Reading 1, Acts 5:17-26

17 Then the high priest intervened with all his supporters from the party of the Sadducees. Filled with jealousy,
18 they arrested the apostles and had them put in the public gaol.
19 But at night the angel of the Lord opened the prison gates and said as he led them out,
20 'Go and take up position in the Temple, and tell the people all about this new Life.'
21 They did as they were told; they went into the Temple at dawn and began to preach. When the highpriest arrived, he and his supporters convened the Sanhedrin -- this was the full Senate of Israel -- and sent to the gaol for them to be brought.
22 But when the officials arrived at the prison they found they were not inside, so they went back and reported,
23 'We found the gaol securely locked and the warders on duty at the gates, but when we unlocked the door we found no one inside.'
24 When the captain of the Temple and the chief priests heard this news they wondered what could be happening.
25 Then a man arrived with fresh news. 'Look!' he said, 'the men you imprisoned are in the Temple. They are standing there preaching to the people.'
26 The captain went with his men and fetched them -- though not by force, for they were afraid that the people might stone them.

Responsorial Psalm, Psalms 34:2-3, 4-5, 6-7, 8-9

2 I will praise Yahweh from my heart; let the humble hear and rejoice.
3 Proclaim with me the greatness of Yahweh, let us acclaim his name together.
4 I seek Yahweh and he answers me, frees me from all my fears.
5 Fix your gaze on Yahweh and your face will grow bright, you will never hang your head in shame.
6 A pauper calls out and Yahweh hears, saves him from all his troubles.
7 The angel of Yahweh encamps around those who fear him, and rescues them.
8 Taste and see that Yahweh is good. How blessed are those who take refuge in him.
9 Fear Yahweh, you his holy ones; those who fear him lack for nothing.

Gospel, John 3:16-21

16 For this is how God loved the world: he gave his only Son, so that everyone who believes in him may not perish but may have eternal life.
17 For God sent his Son into the world not to judge the world, but so that through him the world might be saved.
18 No one who believes in him will be judged; but whoever does not believe is judged already, because that person does not believe in the Name of God's only Son.
19 And the judgement is this: though the light has come into the world people have preferred darkness to the light because their deeds were evil.
20 And indeed, everybody who does wrong hates the light and avoids it, to prevent his actions from being shown up;
21 but whoever does the truth comes out into the light, so that what he is doing may plainly appear as done in God.'

Dr. Alberto Gasbarri atunukiwa tuzo ya heshima na Papa Francisko

Baba Mtakatifu Francisko amemtunukia nishani ya heshima ya utumishi uliotukuka Dr. Alberto Gasbarri, aliyekuwa mratibu wa hija za kitume za kipapa na mkurugenzi mkuu wa utawala Radio Vatican. Katika hotuba yake, ya shukrani kwa Dr. Gasbarri, Askofu mkuu  Angelo Becciu, katibu mkuu msaidizi wa Vatican amesema kwamba, nishani hii imetolewa na Baba Mtakatifu kwa kutambua ukweli na weledi uliomwilishwa na Dr. Gasbarri katika huduma yake mjini Vatican. Nishani hii ni changamoto ya kusonga mbele ili kuendelea kumwilisha tunu msingi za Kiinjili katika uhalisia wa maisha.

Mishahara ya vigogo yaanza kufyekwa


B-3
SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kutoa agizo la kupunguza mishahara mikubwa ya watendaji wa mashirika ya umma, hatimaye Serikali kupitia Bodi ya Mishahara imeanza kazi ya kufanya marekebisho hayo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Magufuli, kuagiza kushushwa kwa viwango vya mishahara ya viongozi wa mashirika ya umma ambapo wengine hulipwa Sh milioni 36 hadi milioni 40 kwa mwezi.
Akizungumza na MTANZANIA jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, alisema katika kipindi cha miezi 15 kuanzia sasa mishahara ya watumishi hao itapunguzwa na kuwa yenye uwiyano.

Magufuli afuta sherehe za sikukuu ya muungano

 
 Rais wa Tanzania John Magufuli ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa katika shughuli zao binafsi.
Siku hiyo hata hivyo bado itasalia kuwa ya mapumziko kama kawaida. Agizo hilo la Dkt Magufuli aidha linaathiri shamrashamra za mwaka huu pekee.Siku hiyo huadhimishwa tarehe 26 Aprili kila mwaka kukumbuka siku sawa na hiyo mwaka 1964 ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja).

Dkt Magufuli amesema fedha ambazo zilipangwa kutumika kwa ajili ya kugharimia vinywaji, vyakula, gwaride, halaiki, burudani mbalimbali na hafla ya usiku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni mbili za Tanzania zitumike kupanua barabara ya Mwanza Airport katika eneo linaloanzia Ghana Quarters hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.

Barabara hiyo inafanyiwa upanuzi kutatua msongamano wa mkubwa wa magari ambayo umekuwa ukiathiri shughuli eneo hilo.
Dkt Magufuli amekuwa mapumzikoni nyumbani kwake eneo la Chato, kaskazini magharibi mwa Tanzania.

Yanga SC yaanza viporo kwa ushindi



Mabingwa Yanga waliolalamika kupangiwa ratiba ngumu ya mechi za viporo vya Ligi Kuu Bara, jana walianza vizuri safari ya kusafisha viporo hivyo kwa kuwanyoosha Kagera Sugar waliocheza sehemu kubwa ya kipindi cha pili wakiwa 10 kwa kuifunga mabao 3-1 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Magufuli amwaga mkwara kanisani


Rais Dk. John Magufuli, akiwa na Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga, katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita jana. PICHA: IKULU
Rais John Magufuli,  amesema atahamishia utumbuaji majipu kwenye Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita, endapo mchango wa Sh. milioni 10 aliotoa kwa ajili ya upanuzi wa kanisa hilo zitatumiwa vibaya.

Watoto wa Yanga watibua kiporo cha Azam



NA MWANDISHI WETU, MWANZA

AZAM FC wameshindwa kuibuka na ushindi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji Toto Africans katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Toto Africans wanaodaiwa kuwa na udugu na Yanga, wametibua mbio za Azam FC za kuwania ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuwazuia kuondoka na pointi tatu muhimu katika mchezo huo wa kiporo.
Kwa matokeo hayo, Azam FC imefikisha pointi 51 wakiwa nyuma ya mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 53 huku vinara wa ligi hiyo, Simba wakiendelea kuwa kileleni kwa pointi 57.
Katika mchezo huo wa jana, Azam FC walipata bao kupitia kwa John Bocco dakika ya 23 baada ya kuunganisha pasi safi ya Khamis Mcha.
Toto Africans walisawazisha bao hilo dakika ya 40 kupitia kwa Waziri Juma, matokeo ambayo yalidumu hadi dakika tisini.

Michezo mingine ya ligi hiyo, Stand United iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, mabao yao yakifungwa na Elius Maguli na Vitalis Mayanga. Katika Uwanja wa Mabatini mkoani Pwani, JKT Ruvu wamefanikiwa kuididimiza African Sports ya jijini Tanga bao 1-0, likifungwa na Musa Kiumbu ambaye baadaye alipewa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mchezaji wa Sports.
Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, wenyeji Ndanda FC wamegawana pointi na Tanzania Prisons kutoka Mbeya, baada ya kutoka suluhu.

Tarehe 24 Aprili 2016 Majimbo Katoliki Ulaya kuchangia Ukraine!


Tarehe 24 Aprili 2016 ni Siku ya Mshikamano wa Papa Francisko na wananchi wa Ukraine wanaoteseka kutokana na vita na mipasuko ya kijamii.
Baba Mtakatifu Francisko baada ya maadhimisho ya Fumbo la Ekaristi Takatifu, Jumapili ya huruma ya Mungu, tarehe 3 Aprili 2016, wakati wa Sala ya Malkia wa mbingu amesema, Jumapili hii ni kiini cha maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu. Kwa namna ya pekee, Baba Mtakatifu amewakumbuka na kuwaombea wale watu wa mataifa wenye kiu ya upatanisho na amani. Amewakumbuka wananchi wa Ukraine; wanaoendelea kubaki katika nchi yao ambayo imegeuka kuwa uwanja wa vita na vurugu.