Feastday: September 30 Patron of Librarians
Birth: 331
Death: 420
St. Jerome, who was born Eusebius Hieronymous Sophronius, was the
most learned of the Fathers of the Western Church. He was born about the
year 342 at Stridonius, a small town at the head of the Adriatic, near
the episcopal city of Aquileia. His father, a Christian, took care that
his son was well instructed at home, then sent him to Rome, where the
young man's teachers were the famous pagan grammarian Donatus and Victorinus, a Christian rhetorician. Jerome's native tongue was the Illyrian dialect, but at Rome he became fluent in Latin and Greek, and read the literatures of those languages with great pleasure. His aptitude for oratory was such that he may have considered law
as a career. He acquired many worldly ideas, made little effort to
check his pleasure-loving instincts, and lost much of the piety that had
been instilled in him at home. Yet in spite of the pagan and hedonistic influences around him, Jerome was baptized by Pope Liberius
in 360. He tells us that "it was my custom on Sundays to visit, with
friends of my own age and tastes, the tombs of the martyrs and Apostles,
going down into those subterranean galleries whose walls on both sides
preserve the relics of the dead." Here he enjoyed deciphering the inscriptions.
Mpendwa
mwana wa Mungu, katika kipindi tafakari Neno la Bwana, jioni hii
tunatafakari Dominika ya 26 ya mwaka B wa Kanisa. Neno la Mungu latutaka
kutambua kuwa Roho wa Mungu ni zawadi kwa ajili ya wote ilimradi mmoja
anaitumia zawadi hiyo kadri ya mpango wa Mungu.
Katika somo la kwanza kutoka kitabu cha Hesabu, tunaona jinsi Mungu
alivyowashukia wale ndugu 70 na wakatabiri kama ambavyo Musa alikuwa
akishukiwa na Mungu. Si hao tu bali kulikuwa na watu wengine wawili
ambao wao katika harakati za kwenda hemani ambapo daima Musa alikuwa
akikutana na Mungu wao walibaki kambini pia nao wakashukiwa na roho wa
Mungu na wakaanza kutabiri. Tendo hili liliwaudhi watu wengine ambao
waliona daima lazima Mungu agawe roho wake pale kwenye hema tu na si
kwingine! Mpendwa jambo la wivu ni la zamani sana kama ambavyo tunaona
kwa tukio hili. Je leo jambo hili lipo? Kabisa na ni kweli kwamba katika
zama zetu kuna baadhi yetu ambao huona kama Roho Mtakatifu ni kwa ajili
yao tu! Yapo makundi katika Kanisa katoliki ambayo hujisikia kabisa
kwamba yanaweza kumkumbatia Roho Mtakatifu na kumteka kwa ajili yao tu!
Labda pia kwenye makanisa mengine! Mpendwa hili ni kosa la kiteolojia na
pengine linapaswa kukemewa mara moja na viongozi wetu wa Kanisa kwa
sababu limekuwa ni jambo linalohangaisha na kuleta usumbufu kwa jumuiya
ya Kanisa.
Somo la pili, linatualika kutazama vema juu ya suala la kuwanyonya
maskini na hasa katika suala zima la malipo baada ya kazi. Mt. Yakobo
anasema madhulumu kwa walio maskini huleta kilio ambacho humfikia Mungu
mara moja kama kilio cha damu ya Abeli kilivyomfikia Mungu haraka.
Anawakumbusha matajiri kutumia utajiri wao kwa haki na zaidi kuimarisha
maisha ya ustawi uliojaa uwiano sahihi. Mpendwa mwana wa Mungu, kama
tunataka kweli kushika vema Injili ya Kristu yatupasa kufikiria vema
namna ya kushikama na utajiri ili kisiwe kikwazo bali chombo kwa ajili
ya ustawi na maendeleo ya watu.
Katika somo la Injili tunapata msaada wa kuweza kuelewa somo la
kwanza ambapo tulisikia juu ya wivu kwa kuwa watu wawili ambao hawakuwa
wameandamana na wale 70 pamoja na Musa nao walipata uwezo wa kutabiri.
Ndiyo kusema mtu mmoja anatoa pepo kwa jina la Bwana lakini hayuko
katika kundi la Mitume, na matokeo yake Yohane anamwambia Bwana kwamba
walipomwona mtu huyu akitenda walimkataza asifanye shughuli hiyo ya
kutoa pepo! Bwana anawajibu Mitume akisema hakuna ambaye atakuwa kinyume
nami na kisha ataweza kutoa pepo kwa jina langu, kwa jinsi hiyo basi
huyo yu upande wetu. Jambo la msingi ni kwamba mkuu wa shughuli nzima ya
kitume ni Yesu Kristu na si Mitume kumbe yeye hugawa apendavyo karama
zake. Roho Mtakatifu ni zawadi kwa wote hata wale ambao wako nje ya
Kanisa linaloonekana, na hivi wanaotumia nguvu ya Kristu wanalisaidia
Kanisa kusonga mbele katika shughuli ya wokovu.
Mpendwa sehemu ya pili ya Injili inazungumza na kutuasa juu ya
ukarimu ambao Mt. Yakobo daima anasisitiza. Anawatayarishia heri wale
wote watakaowakirimu Mitume wakiwa katika utume wa utangazaji wa Injili
ya Bwana. Mpendwa , kazi ya kitume inaendelea na hivi wanaheri wale wote
ambao wanaifanya kazi hiyo njema isonge mbele. Namna za kuifanya kazi
ya kitume iende mbele ziko nyingi na mojawapo ikiwa kwa njia ya sala,
kwa michango ya fedha na vitu, kuwahifadhi watumishi wa Kanisa mara
kunapokuwa na hitaji kama vile nyumba, mfano parokia mpya
inapofunguliwa.
Mpendwa, bado kuna hatua nyingine ya kutekeleza utume wa Kristu, nayo
ni kuhakikisha huwi kikwazo au chanzo cha makwazo kwa jumuiya ya
waamini, maana Bwana anasema atakayemkwaza mmojawapo wa wadogo hawa ni
afadhali afungiwe jiwe na kutupwa katika kilindi cha maji marefu.
Anazidi kusema kama kiungo kimojawapo cha mwili kinaleta chukizo basi ni
vema kukiondoa na kubaki kilema kuliko kubaki mzima na ukapoteza uzima
wa milele. Huu ni mwaliko wa kudumu kuhusu kazi ya kimisionari, na zaidi
kazi ya wokovu inayodai utulivu na uvumilivu wa hali ya juu, kuweza
kutafakari alama za nyakati tukiongozwa na Roho Mtakatifu.
Ninafurahi zaidi nikikutakia neema za Yesu mfufuka anayetukirimia
Roho Mtakatifu kwa ajili ya wokovu wa watu na sifa kwa Mungu Baba.
Na Paskal Linda Ninakuletea
ujumbe wa Neno la Mungu, Dominika ya 25 ya mwaka B wa Kanisa. Mama
Kanisa anatufundisha wajibu wa Jumuiya kuwakumbatia maskini na walio
wahitaji. Katika wimbo wa mwanzo Dominika ya 25, Bwana anasema mimi ni
wokovu wa watu, na watu hawa wakinililia nitawaokoa katika taabu zao.
Ndivyo basi Jumuiya ya Kikristu inavyopaswa kuwasikiliza na kuwakumbatia
walio maskini.
Somo la kwanza linatoka katika kitabu cha Hekima ya Sulemani, na
mwandishi anatupa bado sura ya mtumishi mwaminifu ambaye wanajamii
wenzake wanamwonea wivu na wanaweka vitisho na vikwazo mbalimbali dhidi
yake. Hata hivyo kwa kuwa ni mtumishi mwenye haki, yule aliyemtuma
atamlinda mpaka mwisho. Kwa kuvumilia mateso katika upole na unyenyekevu
anakuwa mfano kwa watesi wake na jumuiya nzima. Mtumishi huyu
anayetabiliwa na mwandishi wa kitabu cha Hekima anajitokeza katika sura
ya Bwana wetu Yesu Kristu katika Agano Jipya.
Mpendwa mwanatafakari, jambo la mateso kwa waliowa kweli na watu wa
haki katika mazingira ya leo linajitokeza bado na hivi je warudi nyuma
au wasonge mbele katika kuvumilia magumu hayo? Kama Bwana wetu Yesu
Kristu alivumilia mateso mpaka kufa, basi nasi tuliosafishwa katika Damu
yake yatupasa kufuata nyayo zake mpaka mwisho.
Mtume Yakobo anaendela mbele kutufundisha juu ya maisha ya kila siku,
leo anatupa Hekima itokayo juu kuwa kielelezo safi cha maisha ya
mkristu. Anasema yeyote aifuataye Hekima hiyo atakuwa kinyume na
machafuko na fitina katika maisha ya Jumuiya. Machafuko mbalimbali na
hasa vita katika ulimwengu wa leo ni matunda ya tamaa za kimwili, na
hivi Mt. Yakobo ataka tuzame zaidi katika Hekima ya kimungu itokayo juu,
Hekima ambayo hutazama kwa upole na subira mambo yote na hasa kwa njia
ya sala inayotangaza mapenzi ya Mungu. Anataka pia sala yetu iwe ni sala
iliyojaa imani na tumaini na si tamaa za kimwili.
Katika somo la Injili, Mt Marko anatuonesha Yesu aliye katika utume
na wakati huo anatoa katekesi kwa wanafunzi wake. Ni katika katekesi
hiyo, Bwana anaendelea kukazia fundisho la kupokea kikombe cha mateso na
kisha siku ya tatu kufufuka. Kwa kuwa Mitume bado wana mawazo ya Masiha
mwenye nguvu za kivita hawasikilizi vema fundisho hili na badala yake
wanajiuliza wao kwa wao, hivi mkubwa ni nani kati yetu! Wanafikiri juu
ya vyeo katika ufalme wa Yesu Kristu Masiha!
Huu ni udhaifu na hasa
waonesha kuwa hawajaelewa kitu!, hawajaelewa Bwana analenga wapi na njia
gani anaifuata kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu. Ni udhaifu unaokuja
kwa sababu katika historia ya ulimwengu kulikuwa na matabaka, ambayo
mpaka hivi leo yapo tele.
Kwa kuwa Bwana, daima ni mwenye huruma na mvumilivu atatulia na kisha
atawafundisha nini maana ya kuwa Mtume, nini maana ya kuwa mkubwa
katika Jumuiya, nini maana ya kuwa kiongozi. Ndiyo kusema ukubwa katika
Jumuiya ya Kanisa, uongozi ni kutumikia na kuhudumu jumuiya katika
mahitaji yake na hasa kutangaza Injili ya Bwana. Mhudumu anatakiwa
kuwapokea wale wote wanaohangaika katika jumuiya, walio kama watoto
wadogo. Bwana anaweka picha ya watoto wadogo mbele yetu kwa sababu
katika jumuiya ya Kiyahudi mtoto ingawa wanampenda lakini bado
anasadikika kutokuwa safi kwa sababu hatunzi sheria na makatazo
mbalimbali.
Mpendwa mwanatafakari, katika jumuiya zetu hivi leo, katika nchi zetu
jambo la nani mkubwa limeshika kasi kubwa mno kiasi kwamba malumbano ni
makubwa mno. Utasikia daima ugomvi kwa sababu ya madaraka katika nchi
zetu. Leo basi Neno la Mungu latuambia tuachane na mambo ya kushikilia
vyeo kama ndiyo mwisho wa maisha yetu bali kama njia ya kuwatumikia
wengine kwa upendo na hekima ya kimungu. Ndiyo kusema kama hatutafanya
hivyo tuko nje ya ukristu, tuko nje ya matarajio ya mataifa na jumuiya
zilizotuweka katika mamlaka hayo.
Ninakutakia furaha na matumaini katika kushika mafundisho ya Bwana
aliye Masiha mteswa lakini mshindi kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu.
16 when Yahweh builds Zion anew, he will be seen in his glory; 17 he will turn to hear the prayer of the destitute, and will not treat their prayer with scorn. 18 This shall be put on record for a future generation, and a people yet to be born shall praise God: 19 Yahweh has leaned down from the heights of his sanctuary, has looked down from heaven to earth, 20 to listen to the sighing of the captive, and set free those condemned to death, 21 to proclaim the name of Yahweh in Zion, his praise in Jerusalem; 22 nations will gather together, and kingdoms to worship Yahweh. 23 In my journeying my strength has failed on the way;
Gospel, Luke 9:46-50
46 An argument started between them about which of them was the greatest. 47 Jesus knew what thoughts were going through their minds, and he took a little child whom he set by his side 48
and then he said to them, 'Anyone who welcomes this little child in my
name welcomes me; and anyone who welcomes me, welcomes the one who sent
me. The least among you all is the one who is the greatest.' 49
John spoke up. 'Master,' he said, 'we saw someone driving out devils in
your name, and because he is not with us we tried to stop him.' 50 But Jesus said to him, 'You must not stop him: anyone who is not against you is for you.
Holy Archangel Who Strengthened Our Lord in His Agony
I salute thee, holy Angel who didst comfort my Jesus in His agony, and with thee I praise the most holy Trinity for having chosen thee from among all the holy Angels to comfort and strengthen Him who is the comfort and strength of all that are in affliction. By the honor thou didst enjoy and by the obedience, humility
and love wherewith thou didst assist the sacred Humanity of Jesus, my
Savior, when He was fainting for very sorrow at seeing the sins of the
world and especially my sins, I beseech thee to obtain for me perfect
sorrow for my sins; deign to strengthen me In the afflictions that now
overwhelm me, and in all the other trials, to which I shall be exposed
henceforth and, in particular, when I find myself in my final agony.
Amen.
Feastday: September 29 Patron of grocers, mariners, paratroopers, police, and sickness
St. Michael the Archangel - Feast day - September 29th The name Michael signifies "Who is like to God?" and was the warcry of the goodangels in the battle fought in heaven against satan and his followers. Holy Scripture describes St. Michael as "one of the chief princes," and leader of the forces of heaven
in their triumph over the powers of hell. He has been especially
honored and invoked as patron and protector by the Church from the time of the Apostles.
Although he is always called "the Archangel," the Greek Fathers and many others place him over all the angels - as Prince of the Seraphim. St. Michael is the patron of grocers, mariners, paratroopers, police and sickness
Papa Francis katika Ibada ya misa Takatifu ya Mkutano wa Dunia wa Familia - ANSA
:
Na Paskal Linda
JUZI Jumapili 27 Septemba,2015 Papa Francis
ameadhimsha kilele cha Misa Takatifu katika Uwanja wa Benjamini Franklin
Parkway huko Philadelphia katika Mkutano wa dunia wa Familia kwa mwaka
2015.Mkutano wa siku mbili umeunganisha
maelfu ya wajumbe kutoka sehemu mbambali za dunia ambao waliwakilisha
familia za nchi zao. Na katika Homelia ya Papa Francis iliwatia moyo
wanafamilia kujenga maisha yao katika upendo na kuwakumbusha kwamba
upendo wa Mungu ni kwa kila mmoja .
Akichambua juu ya masomo ya siku Papa Francis alisema: Neno la Mungu
la siku linaleta mshangao na kutoa picha yenye nguvu na kuchochea sura.
Sura hizo ni changamoto kwetu, lakini zinatia shahuku yetu.Kwenye somo
la kwanza Joshua alimwambia Musa ya kwamba watu wawili kati yetu wanatoa
unabii, wakiongea maneno ya Mungu bila kutumwa. Na katika Injili Yohane
anelezea juu ya wanafunzi waliomkataza mtu aliyekuwa anafukuza mapepo
kwa jina la Yesu.
Papa alisema kweli huo unaleta mshangao; kwani Musa na Yesu wote
wana uwezo wa kukemea. Yesu alikutana na vizingiti kutoka kwa watu
wake ambao hawakupokea kile alichokuwa akisema na kufanya. Maneno yake
yalipokelewa na watu wale walikuwa wazi na waaminifu na wa kweli katika
imani ya wanaume na wanawake wengi ambao hawakuwa sehemu yoyote ya
wateule wa Mungu.Aliongeza Papa ya kwamba wanafunzi katika sehemu yao
walitenda kwa imani yao njema.
Lakini majaribu na mashaka yao yalikuwa kuhusu uhuru wa Mungu ambaye
uwanyeshea mvua watu wote wanyoofu na wasio na haki (Mt 5:45), yaani
wale wenye urasimu , wenye madaraka na duru za ndani , wanaotishia
ukweli wa imani na kwa hivyo ni lazima kwa nguvu kukataliwa.
Lakini Papa akabainisha ya kwamba Mara sisi tunapolitambua , tunaweza
kuelewa kwanini maneno ya Yesu yalileta kashfa miongoni mwao. Ukweli wa
Yesu haujali kashfa za kila kitu ambacho ujaribu kuvunja na kuharibu
imani yetu katika kazi ya roho! Mapenzi
ya baba hayataisha kamwe ya kuendelea na ukarimu wake wa kupanda .Yeye
utawanya mbegu za uwepo wake katika dunia yote , kwa maana upendo wake
unasisitiza hivyo ya kwamba siyo sisi tuliyompenda Mungu bali kwamba
Munga alitupenda yeye kwanza (Yn 4:10)
Upendo wake unatupqtia uhakika ya kwamba Mungu ametuchagua , na
anatusubiri .Na hii ndiyo inawapa wanafunzi wake kuhamasika , na kutoa
huduma ya kutenda mambo yaliyo mema yanayotekea kwa majirani zao wanao
wazunguka. Kwani Mungua anataka watoto wake wote washiriki katika
sikukuu ya Injili. Ni watu wangapi
walioko pale katika madhimisho ya Familia; papa alisema: Hii peke yake
ni jambo la unabii , ni aina ya miujiza katika dunia ya leo, wote
wanaweza kuwa manabii, wote wanaweza kufungulia miujiza ya upendo
kwaajili ya familia zote za dunia, na hivyo kushinda kashfa nyembamba,
upendo mdogo uliojifungia ndani yake yaani ubinafsi.
KUNA taarifa za kusikitisha kuwa mahujaji watano kutoka Tanzania ni
miongoni mwa waliofariki katika tukio la mkanyagano kwenye Mji
Mtakatifu wa Makka, nchini Saudi Arabia.
Kwa ujumla, watu 717 wameripotiwa kufa na wengine zaidi ya 800 kujeruhiwa katika tukio hilo.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa jjuzi ilieleza kuwa Watanzania hao walifariki wakati
wakiendelea na ibada ya Hijja kwenye eneo la Mina, ndani ya Mji
Mtakatifu wa Makka.
Hakika, huu ni msiba mkubwa. Mimi Paskal Linda naungana na Watanzania wengine
kuwapa pole wafiwa na pia kuwatakia kheri wote waliojeruhiwa ili
wapate nafuu haraka.
Ni imani yangu kuwa serikali yetu, kwa kushirikiana na Saudi
Arabia, itaendelea kufanya kila linalowezekana ili taarifa kamili
ziendelee kupatikana kuhusiana hatima ya mahujaji wetu. Taarifa
zilizopo ni kwamba mwaka huu, Watanzania takriban 2,700 wamekwenda
kutekeleza ibada hiyo muhimu kwa kila Muislamu mwenye uwezo. Mbali na
kwenda kuhiji Makka, nguzo nyingine kati ya tano za Uislamu ni kutoa
shahada, kusimamisha swala, kutoa zaka na kufunga (swaumu) Ramadhani.
Sisi tunaamini kuwa muhimu zaidi kwa sasa ni kwa kila mmoja
kuendelea kuwaombea mahujaji wetu waliosalimika ili mwishowe warejee
nchini wakiwa bukheri wa afya.
Aidha, ni muhimu pia kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu ili
awajaalie pepo yenye daraja ya juu mahujaji wetu waliopatwa na umauti,
hasa kwa kutambua kuwa kilichowapeleka Makka siyo kitu kingine bali ni
kujinyenyekeza mbele za Allah (Mwenye Mungu) ili mwishowe wapate radhi
zake.
Katika kipindi hiki, ni imani yetu kuwa ndugu, jamaa na marafiki wa
marehemu watajitahidi kuwa na subira kadiri wawezavyo. Ni kwa sababu,
kwa mujibu wa mafundisho, kila nafsi itaonja umauti. Na hili
lililotokea ni sehemu ya mtihani ambao siri ya kufaulu kwake
kwategemea kiwango cha subira kwa kila mmoja wao.
Pamoja na yote, tunaamini kuwa baada ya shughuli za uokoaji na
mazishi kukamilika, serikali ya Saudi Arabia itahakikisha kuwa
uchunguzi wa kina unafanyika ili mwishowe kubaini chanzo cha
mkanyagano na kuchukua hatua sahihi za kuzuia majanga ya aina hii.
Kinachotakiwa kuangaliwa na waandaaji ni taratibu za kutoa fursa
kwa kila hujaji kutekeleza ibada ya Hijja akiwa salama. Rekodi
zinaonyesha kuwa vifo vya aina hii vimewahi pia kutokea mara kadhaa
hapo kabla katika tukio hilo linalokutanisha watu wengi zaidi kwa
wakati mmoja duniani, huku mwaka huu likihusisha mahujaji takriban
milioni mbili.
Kwa mfano, mwaka 1990 walikufa mahujaji 1,426, mwaka 1994 (watu
270) na pia mwaka 2006 walikufa watu 360. Hali hii inapaswa kuzuiwa kwa
kupitia upya taratibu za kuwezesha waumini kutekeleza ibada hii
muhimu kwa kila Muislamu mwenye uwezo.
Mungu awalaze pema peponi mahujaji wote waliotangulia mbele ya haki, AMINA.
16 when Yahweh builds Zion anew, he will be seen in his glory; 17 he will turn to hear the prayer of the destitute, and will not treat their prayer with scorn. 18 This shall be put on record for a future generation, and a people yet to be born shall praise God: 19 Yahweh has leaned down from the heights of his sanctuary, has looked down from heaven to earth, 20 to listen to the sighing of the captive, and set free those condemned to death, 21 to proclaim the name of Yahweh in Zion, his praise in Jerusalem; 22 nations will gather together, and kingdoms to worship Yahweh. 23 In my journeying my strength has failed on the way;
Gospel, Luke 9:46-50
46 An argument started between them about which of them was the greatest. 47 Jesus knew what thoughts were going through their minds, and he took a little child whom he set by his side 48
and then he said to them, 'Anyone who welcomes this little child in my
name welcomes me; and anyone who welcomes me, welcomes the one who sent
me. The least among you all is the one who is the greatest.' 49
John spoke up. 'Master,' he said, 'we saw someone driving out devils in
your name, and because he is not with us we tried to stop him.' 50 But Jesus said to him, 'You must not stop him: anyone who is not against you is for you.'
Feastday: September 28
Beatified By: Pope John Paul II
Canonized By: Pope John Paul II
Lorenzo Ruiz is the first Filipino saint. He is also the first Filipino martyred for the Christian
Faith. Lorenzo Ruiz was a layman, married, and had two sons and a
daughter. Born in Binondo, Manila, about 1600's, he was educated in the
school of the Dominicans
there. He served as an altar boy and later was a helper and
clerk-sacristan in the church of Binondo. He was a member of the
Confraternity of the Rosary. He made his living probably as a
calligrapher, one who renders documents in beautiful penmanship for
private or official use. To be sure, that work denoted an accomplished
and educated person, especially at a time
when many an illustrious personage were far from excelling in this art.
An adverse event made him leave the Philippines in 1636. When he was in
his late twenties or early thirties, he became involved or was accused
of being involved in a criminal case, the circumstances of which are far
from clear. Whether he was involved or not, one thing was clear, he was
afraid that, as a consequence of a trial or mistrial, he might be given
a death sentence. Upon landing in Japan
where Christians were being persecuted, he was arrested and imprisoned
together with his companions. He underwent inhuman tortures and
valiantly confessed his Christian Faith. Refusing to renounce his Faith, he told his executioner that he was ready to die for God
and give himself for many thousands of lives if he had them. On
September 27, 1637, he was hung from a gallows by his feet, his body
falling into a pit. After two days of agony, he died of bleeding and
suffocation. His body was cremated and the ashes thrown into the sea. He and fifteen companions, martyred in the same persecution, were beatified by Pope JohnPaul II in Manila on February 18, 1981 and elevated to full honors of the altar by canonization on October 18, 1987 in Rome. Their feast day is on September 28th.
Papa akisalimiana na Masista wa Shirika la Mtakatifu Clara - AP
BABA
mtakatifu Francisco Alhamisi akiongoza Ibada ya masifu ya Jioni katika
Kanisa Kuu la kale la Mtakatifu Patrick, la Mjini New York, alionyesha
kutambua kwamba, kanisa hilo ni matunda ya kazi ngumu ya watu wengi
wake kwa waume, waliyoyatolea maisha yao mhanga bila kujibakiza katika
utumishi wa kanisa. Na hivyo ameitaja kuwa ni ishara nzuri ya kazi ya
wahenga, makuhani , watawa na walei aminifu wa Marekani, waliosaidia
kujenga Kanisa nchini Marekani.
Papa alitazama kwa kina, jukumu lao la msingi katika ujenzi wa jamii
ya Marekani, na hivyo akatoa shukurani zake nyingi kwa makuhani na
watawa ambao hasa wamejikitika katika mipango ya elimu na lishe
katika taifa la Marekani. Alieleza na kutoa mfano wa mwanzilishi wa
kwanza wa Shule Katoliki huru ya wasichana nchini Marekani, Mtakatifu
Elizabeth Ann Seton na Mtakatifu John Neumann, mwanzilishi wa kwanza
wa mfumo wa elimu Katoliki Marekani , akisema kwamba watu wengi kulipwa
gharama za kafara ya ajabu na alifanya hivyo kwa kishujaa upendo.
Lakini pia hakuogopa kutaja moja kwa moja kasoro zilizo chafua sura
nzuri ya Kanisa nchini Marekani, kashfa ya ngono kwa watoto, aibu
iliyoletwa na watumishi wabovu wa Kanisa . Papa Francisko, alikubali
mateso ya wake kwa waume, na wale waliokubali kuibeba aibu ya unyama huu
uliodhalilisha ndugu hawa wanyonge katika Kanisa na kuwaweka katika
mazingira magumu zaidi ... Papa amesema anatolea sala na faraja zake
katika kwa wakati huu wa maumivu na uchungu wa moyo. Na aliwarejea tena Mapadre na watawa
wa Marekani , akiwahimiza n akuwataka wawe watumishi wema, watumikie
kwa uaminifu, furaha na kuridhika katika wito wao. Wafanya kazi kwa
bidii na kuyaishi maisha ya kujinyima na uaminifu kwa mujibu wa karama
za waanzilishi wa jumuiya na mashirika yao kama njia ya upendeleo
katika kutoa jibu kwa Upendo wake Mkuu Yeye aliyewaita katika
kulitumikia Kanisa.
Kwa namna ya pekee, Papa aliendelea kutambua na kuonyesha heshima
yake na shukrani kwa watawa wa kike nchini Marekani akihoji, bila wao
utendaji wa Kanisa ungekuwaje hasa nchini Marekani. Alisifu kwamba,
Wanawake wana nguvu, na kwa ujasiri huo, huwaweka mstari wa mbele katika
kuitangaza Injili .
Alimalizia na shukurani kwa Watawa, masista na wanawake wote
walioyatolea maisha yao katika kuifikisha habari njema katika kila kona
ya taifa la Marekani na kwingineko duniani. "Asante Sana ", na
“ninawapenda wote”.
Rais Kenyata asema ni Papa atakayeiunganisha Kenya kuwa kitu kimoja
Na Paskal Linda -Nairobi, Kenya
NCHI za Kenya na Uganda zimeeleza shauku ya kumuona Papa Fransisko. Akizungumza na batarokota.blogspot.com, Mratibu wa Mawasiliano Baraza la Maaskofu
Kenya (KCCB) David Omwoyo amesema kuwa, wananchi wa Kenya wanashauku ya
kumuona Papa Fransisko kwani hiyo ni ziara ya kihistoria kwa nchi hiyo.
“Maandalzi kwa upande wa Kanisa yamekamilika na upande wa serikali
imejiandaa vyema kwani hata serikali imetuma ujumbe kwamba imejipanga
kumpokea Papa Fransisko ambaye licha tu ya kuwa kiongozi wa Kanisa
Katoliki Duniani ni Rais wa nchi ya Vatikani,” ameeleza Omwoyo.
Aidha ameeleza kuwa, licha ya Papa kuitembelea Kenya ataitembelea pia
nchi ya Uganda hivyo ugeni huo unageuka kuwa wa nchi za Afrika
Mashariki.
Aidha serikali ya Kenya ilituma ujumbe kwenye ofisi za Mawasiliano KCCB
ikieleza kuwa, serikali ya Kenya inayoongozwa na Rais Uhuru Kenyata iko
makini kumpokea Papa Fransisko ambaye wana matumaini kwamba ataleta
hamasa ya umoja na mshikamano baina ya wakenya.
“Baba Mtakatifu anakuja kututembelea kama kondoo zake, kuimarisha imani
yetu na kututia moyo wa imani katika kutekeleza majukumu yetu kwa jirani
na kujitoa sadaka kwa ajili yaw engine,” umeeleza ujumbe huo.
Omoyo amesema, Papa akiwa Kenya kwa siku hizo tatu, atafanya mazungumzo
binafsi na Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyata, atakutana pia na viongozi wa
serikali ya Kenya na Maafisa Mazingira wa Umoja wa Mataifa na
kuhutubia wajumbe wa kidiplomasia nchini humo.
“Papa atakutana pia na viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo wakristo,
waislamu, Hindu na viongozi wa jadi, vijana na kuongoza Ibada ya Misa
Takatifu ambapo atahutubia taifa la Kenya.
Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Uganda Askofu John Baptist
Odama ameeleza kuwa, Kanisa nchini Uganda limejiandaa kwa ujio huo
Mtakatifu.“Akiwa nchini Uganda, Papa ataungana na waamini kusherehekea Yubilei ya
Dhahabu ya kutangazwa watakatifu Mashahidi wa Uganda 22.”
Baraza la Maaskofu Kenya laweka mikakati ya ujio huo.
Kamati ndogo ya Tume ya Mawasiliano na Matangazo ya Baraza la Maaskofu
Katoliki Kenya, imetoa baadhi ya mikakati mbinu, kwa ajili ya
maandalizi ya ziara ya Papa Francisko nchini Kenya, mwezi Novemba
mwaka huu.
Mratibu wa Mawasiliano wa KCCB, David Omwoyo amesema kuwa, tovuti maalum
kwa ajili ya ziara ya Papa itazinduliwa katika siku chache zijazo. Na
pia hivi karibuni, nembo ya ziara ya Papa itazinduliwa hivi karibuni.
Nembo hiyo ina alama 4 muhimu zinaashiria mada mbiu ya ziara: “Simama
imara katika Imani … Usiogope.” Vitu hivyo vinne ni Njiwa kama alama ya
amani, moto katika nafasi ya Roho Mtakatifu, ramani ya Kenya na Msalaba
ambayo ni ishara ya Kanisa.
Na kwamba, kwa ajili ya kuwaandaa watu , katika kipindi hiki cha
kusubiri ujio wa Papa, Kamati ndogo ya Mawasiliano imeunda mpango mpya
wa utendaji kwa miradi maalum, inayolenga kufanikishaji wa ziara ya
Papa kiroho na kijamii.
Miradi inayoendeshwa na Kanisa Katoliki Kenya ambayo itatagazwa kupitia
vituo vya Televisheni. Aidha, kutakuwa na mengi yatakayotangazwa na
vyombo vya habari kwa wakati huu.
Taarifa zote zitakuwa zinapatikana katika tovuti mpya itakayozinduliwa
hivi karibuni, ikiwa wazi kwa mtu yeyote ambaye anayetaka kupata habarii
za ujio wa Papa Kenya.
Papa Fransisko anatazamia kuitembelea Afrika ambapo atatembelea nchi ya
Kenya Novemba 25 hadi 27, Uganda Novemba 27 hadi 29 na Jamhuri ya
Afrika ya Kati Novemba 29 hadi 30 Mwaka huu.
O eternal God
and Ruler of all creation, You have allowed me to reach this hour.
Forgive the sins I have committed this day by word, deed or thought.
Purify me, O Lord, from every spiritual and physical stain. Grant that I
may rise from this sleep to glorify You by my deeds throughout my
entire lifetime, and that I be victorious over every spiritual and
physical enemy. Deliver me, O Lord, from all vain thoughts and from evil
desires, for yours is the kingdom, and the power, and the glory,
Father, Son, and Holy Spirit, now and ever, and forever. Amen. (By Saint
Macarius)
25 Yahweh descended in the cloud. He spoke to him and took some of the spirit that was on him and put it on the seventy elders. When the spirit came on them they prophesied -- but only once. 26 Two men had stayed back in the camp; one was called Eldad and the other Medad. The spirit
came down on them; though they had not gone to the Tent, their names
were enrolled among the rest. These began to prophesy in the camp. 27 A young man ran to tell Moses this. 'Look,' he said, 'Eldad and Medad are prophesying in the camp.' 28 Joshua son of Nun, who had served Moses since he was a boy, spoke up and said, 'My lord Moses, stop them!' 29 Moses replied, 'Are you jealous on my account? If only all Yahweh's people were prophets, and Yahweh had given them his spirit!'
Responsorial Psalm, Psalms 19:8, 10, 12-13, 14
8 The precepts of Yahweh are honest, joy for the heart; the commandment of Yahweh is pure, light for the eyes. 10 more desirable than gold, even than the finest gold; his words are sweeter than honey, that drips from the comb. 12 But who can detect his own failings? Wash away my hidden faults. 13 And from pride preserve your servant, never let it be my master. So shall I be above reproach, free from grave sin. 14 May the words of my mouth always find favour, and the whispering of my heart, in your presence, Yahweh, my rock, my redeemer.
Gospel, Mark 9:38-43, 45, 47-48
38 John said to him, 'Master, we saw someone who
is not one of us driving out devils in your name, and because he was not
one of us we tried to stop him.' 39 But Jesus said, 'You must not stop him; no one who works a miracle in my name could soon afterwards speak evil of me. 40 Anyone who is not against us is for us. 41 'If anyone gives you a cup of water to drink because you belong to Christ, then in truth I tell you, he will most certainly not lose his reward. 42
'But anyone who is the downfall of one of these little ones who have
faith, would be better thrown into the sea with a great millstone hung
round his neck. 43 And if your hand should be your downfall, cut it off; it is better for you to enter into life crippled, than to have two hands and go to hell, into the fire that can never be put out. 45 And if your foot should be your downfall, cut it off; it is better for you enter into life lame, than to have two feet and be thrown into hell. 47 And if your eye should be your downfall, tear it out; it is better for you to enter into the kingdom of God with one eye, than to have two eyes and be thrown into hell 48 where their worm will never die nor their fire be put out.
Reading 2, James 5:1-6
1 Well now, you rich! Lament, weep for the miseries that are coming to you. 2 Your wealth is rotting, your clothes are all moth-eaten. 3 All your gold and your silver are corroding away, and the same corrosion will be a witness against you and eat into your body. It is like a fire which you have stored up for the final days. 4
Can you hear crying out against you the wages which you kept back from
the labourers mowing your fields? The cries of the reapers have reached
the ears of the Lord Sabaoth. 5 On earth you have had a life of comfort and luxury; in the time of slaughter you went on eating to your heart's content. 6 It was you who condemned the upright and killed them; they offered you no resistance.
Feastday: September 29 Patron of grocers, mariners, paratroopers, police, and sickness
St. Michael the Archangel - Feast day - September 29th The name Michael signifies "Who is like to God?" and was the warcry of the goodangels in the battle fought in heaven against satan and his followers. Holy Scripture describes St. Michael as "one of the chief princes," and leader of the forces of heaven
in their triumph over the powers of hell. He has been especially
honored and invoked as patron and protector by the Church from the time of the Apostles.
Although he is always called "the Archangel," the Greek Fathers and many others place him over all the angels - as Prince of the Seraphim. St. Michael is the patron of grocers, mariners, paratroopers, police and sickness.
Mapema Ijumaa hii 25 Septemba 2015,
Baba Mtakatifu alitembelea Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa yaliyoko
mjini New York, na kuwahutubia wafanyakazi wote wa Ofisi hizo za Makao
Makuu ya Umoja wa Mataifa. Katika hotuba yake fupi, Papa aliwashukuru
kwa dhati na kuonyesha furaha yake kuwa mahali hapo. Aliwatia nguvu
akiwataja kwamba wote wake kwa waume, wao ni uti wa mgongo wa chombo
hiki muhimu cha Kimataifa.
Baba Mtakatifu Francisko akihutubia wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa mjini New York 25.09.2015 -
Papa alitoa shukurani zake kwa wafanyakazi wote tangu kwa maofisa wa
ngazi za juu watalaam hadi kwa wahudumu wa kawaida akisema, kazi zao za
kila siku ni muhimu katika kuwezesha kazi za mahusiano ya kidiplomasia,
kiutamaduni, kiuchumi na kisiasa, katika juhudi za Umoja wa Mataifa,
ambazo ni muhimu sana kwa ajili ya kukutanisha matumaini na matarajio ya
watu wote wanaounda familia ya binadamu. Na alitambua juhudi na uzoefu
wa wafanayakazi hao kama Maafisa na makatibu, wahariri na wakalimani,
wahudumu na wapishi, mafundi wa ukarabati na pia kama maafisa usalama.
Papa aliwashukuru wote kwa moyo wa dhati, kwa kila jambo wanalolifanya kwa manufaa ya wote na hasa kwa majitoleo
yao ambayo si tu huchangia katika ufanikishaji wa kazi za Umoja wa
Mataifa, lakini pia zenye kuwa na maana kubwa, pia kwao wenyewe
binafsi. Papa alisema jinsi mtu anavyofanya kazi zake huonyesha pia
heshima ya mtu mwenyewe alivyo.
Na kwamba wengi wao wametoka katika nchi mbalimbali duniani kote. Na
hivyo wanakuwa mfano wa jinsi watu mbalibmali wanavyoweza kuungana na
kuwa kitu kimoja katika utumishi kwa manufaa ya wote, na hasa kwa jinsi
wanavyoonyesha ustawi wa watoto kupitia mipango mbalimbali ya elimu na
lishe. Na pia katika kujali mustakabali wa dunia na vizazi vijavyo.
Papa alieleza na kutoa ombi kwa kila mmoja wao, akimtaka bila kujali
hadhi yake, wajenge umoja na mshikamano, wakihudumiana mmoja kwa
mwingine. Kufanya kazi zao kwa ukaribu zaidi na zaidi katika hali za
kuheshimiana na umoja kati yao ili shirika hili liwe mfano wa familia
ya binadamu , yenye kuishi katika hali ya mapatano na maelewano si tu
kwa ajili ya amani lakini katika amani , kufanya kazi si tu kwa ajili
ya haki lakini katika roho ya haki.
Papa alieleza na kuwahakikishia kwamba kila mmoja wao yumo ndani ya
moyo wake . Na kwamba atatolea sala zake kwa ajili yao na familia zao
na akawaomba wao pia wamkumbuke katika sala zao .Na kama kuna wasioamini
basi amewaomba wamtakie yaliyo mema. "Mungu awabariki wote. Asante"
alimalizia Papa Francisko na kupigiwa makofi mengi .
Ijumaa,
kama sehemu ya ratiba yake katika kulitembelea jiji la New York,
Na Paskal Linda- New York.
BABA
Mtakatifu aliongoza Ibada ya Misa katika Bustani ya Madison , ibada
iliyohudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji la New York, wakiwemo
Maaskofu, Mapadre Watawa wakiongozwa na Askofu Mkuu Kardinali Timothy
Michael Dolan wa Jimbo Kuu la New.
Papa Francisko akipeana Amani na Kardinali Dolan, wakati wa Ibada ya misa katika bustani ya Madson
Papa katika hotuba yake aliyoitoa katika lugha ya kihispania na
kutafasiliwa kwa Kiingereza, pia aliwakumbusha kutosahau kuwahudumia
watu maskini na wahitaji wa mji huo.
Papa Francisco aliendelea kuzungumzia wajibu waamini Wakristo katika
kutumikia amani na kuwa mashahidi na wataalamu wa ujenzi wa amani,
kuthibitisha katika maisha yetu, mfano ukuu wa Kristo , aliyetangazwa na
Nabii Isaya kwamba ni Mfalme wa amani. Aliwaambia wote waliokuwa
wakimsikiliza, “Nendeni kwa watu wengine na kuwashirikisha habari
njema kwamba Mungu, Baba yetu, anatembea kando yetu. Papa Francis
aliyaambia maelfu ya watu hasa vijana walioshiriki katika Ibada hiyo. Na
kwamba Yeye Kristo Bwana, hutuopoa na maovu yote ya maisha , hali ya
utupu na upweke na ubinafsi ,na huturejesha katika shule ya kukutana na
wengine. Yeye hutuondoa kutoka dhambi ya ushindani na ubinafsi, na
kufungua mbele yetu njia ya amani. Amani hiyo inayozaliwa kwa kuwakubali
wengine kwa amani iliyojaza mioyo yetu, na kutusukuma kutazama
wahitaji zaidi ndugu zetu na dada.
"Mungu," alisema Papa Francis, "anaishi katika miji yetu: Kanisa
linaishi katika miji yetu, na anataka kua kama hamira ilivyo ndani ya
unga. Ana hamu ya kumwambia kila mmoja , na kusimama kando ya kila mtu,
kama Yeye anaye tangaza maajabu ya, Mungu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa
milele, Mfalme wa amani. Papa alieleza na kunukuu tena aya kutoa Isaya
"Watu wale waliokwenda katika giza wameona nuru kuu, "- na sisi wenyewe
ni mashahidi wa mwanga."
Homilia ya Papa pia ilionyesha kutambua kwamba kuishi katika majiji
si jambo jepesi kwa kuwa ni kukutana na watu wa kila tabaki na hata kuna
ubaguzi wa kuwaweka watu wengine daraja la juu na wengine daraja la
chini. Lakini kwa utambuzi kwamba Kristo pia anatembea mitaani , na
kwamba ni sehemu ya watu wanaishi katika maisha magumu na sehemu ya
mpango wake wa wokovu kwetu, tunajazwa na Tumaini . Tumaini linalotuweka
Huru dhidi ya nguvu na mashinikizo yote yanayotaka kututenganisha na
kutojali maisha ya wengine katika maisha haya ya mjini.
Pope
Francis has arrived in New York City, where he will deliver mass at St.
Patrick’s Cathedral early Thursday evening. His plans this evening
include a motorcade along Fifth Avenue and a vespers service at St.
Patrick’s Cathedral.
The Prayer Thank You God!
Dear Loving and Compassionate God,
Giver of all gifts,
we pray especially today for the mercy and love You give
us.
Open our hearts and minds to You.
Give us the grace to accept your mercy.
As we live each day,
we pray for those less fortunate,
especially those who are hurting,
and whose wounds need to be healed.
Help us become involved in ways that show them how deeply we care.
Give us the personal courage to listen to their concerns
and help them find the solutions to which they are entitled.
as Your children and our brothers and sisters.
1 In the second year of King Darius, on the first day of the sixth month, the word of Yahweh was addressed through the prophetHaggai to Zerubbabel son of Shealtiel governor of Judah and to Joshua son of Jehozadak the high priest as follows, 2 'Yahweh Sabaoth says this, "This people says: The time has not yet come to rebuild the Temple of Yahweh." ' 3 (And the word of Yahweh was addressed through the prophet Haggai, as follows,) 4 'Is this a time for you to live in your panelled houses, when this House lies in ruins? 5 So now, YahwehSabaoth says this, "Think carefully about your behaviour. 6
You have sown much and harvested little; you eat but never have enough,
drink but never have your fill, put on clothes but feel no warmth. The
wage-earner gets his wages only to put them in a bag with a hole in it." 7 Yahweh Sabaoth says this, "Think carefully about your behaviour. 8 Go up into the hills, fetch timber and rebuild the House; and I shall take pleasure in it and manifest my glory there -- Yahweh says. 9 The abundance you expected proved to be little. When you brought the harvest in, I blasted it. And why? - YahwehSabaoth declares. Because while my House lies in ruins, each of you is busy with his own house. 15 This was on the twenty-fourth day of the sixth month. In the second year of King Darius,
Responsorial Psalm, Psalms 43:1, 2, 3, 4
1 Judge me, God, defend my cause against a people who have no faithful love; from those who are treacherous and unjust, rescue me. 2 For you are the God of my strength; why abandon me? Why must I go around in mourning, harrassed by the enemy? 3 Send out your light and your truth; they shall be my guide, to lead me to your holy mountain to the place where you dwell. 4 Then I shall go to the altar of God, to the God of my joy. I will rejoice and praise you on the harp, O God, my God.
Gospel, Luke 9:18-22
18 Now it happened that he was praying alone, and
his disciples came to him and he put this question to them, 'Who do the
crowds say I am?' 19 And they answered, 'Some say John the Baptist; others Elijah; others again one of the ancient prophets come back to life.' 20 'But you,' he said to them, 'who do you say I am?' It was Peter who spoke up. 'The Christ of God,' he said. 21 But he gave them strict orders and charged them not to say this to anyone. 22 He said, 'The Son of man is destined to suffer grievously, to be rejected by the elders and chief priests and scribes and to be put to death, and to be raised up on the third day.'
Papa akipokewa na Rais Obama mara baada ya kutua katika uwanja wa Kijeshi wa Marekani akitokea Cuba - EPA
Jumanne,Baba Mtakatifu Francisco
alikamilisha ziara yake kisiwani Cuba na kupanda ndege katika uwanja wa
kimataifa wa Santiago akielekea Marekani Washington D.C , kwa ndege ya
Altalia , safari iliyomchukua muda wa saa sita akiwa angani.Hii ni mara
ya kwanza katika Maisha yake Papa Francisko kwenda Marekani.
Akipita katika anga za nchi, kwa njia ya telegramu alipeleka salaam
zake za matashi mema kwa wakuu wa nchi akianzia Rais Raul Castro Ruz,
akisema “wakati naondoka katika taifa pendwa la Cuba, napenda kutoa
shukurani zangu za dhati kwako wewe na watu wote wa Cuba kwa mapokezi
mazuri mliyonipatia. Nami nawaombea Baraka za Mwenyezi Mungu, kwenu
nyote na ninawahakikishia maombi yangu kwa ajili ya amani na ustawi wenu
nyote”.
Family Blessing at a Gathering
Father in Heaven,
We praise You for giving us Your Son
To be our Saviour and Lord.
Bless us all as we gather here today, (tonight)
And let us live happily in Your love.
Hear our prayer, loving Father,
For we ask this in Jesus' Name.
15 Here is a saying that you can rely on and nobody should doubt: that ChristJesus came into the world to save sinners. I myself am the greatest of them; 16 and if mercy has been shown to me, it is because JesusChrist
meant to make me the leading example of his inexhaustible patience for
all the other people who were later to trust in him for eternal life. 17 To the eternal King, the undying, invisible and only God, be honour and glory for ever and ever. Amen.
Responsorial Psalm, Psalms 113:1-2, 3-4, 5, 6-7
1 Alleluia! Praise, servants of Yahweh, praise the name of Yahweh. 2 Blessed be the name of Yahweh, henceforth and for ever. 3 From the rising of the sun to its setting, praised be the name of Yahweh! 4 Supreme over all nations is Yahweh, supreme over the heavens his glory. 5 Who is like Yahweh our God? His throne is set on high, 6 but he stoops to look down on heaven and earth. 7 He raises the poor from the dust, he lifts the needy from the dunghill,
Gospel, Luke 6:43-49
43 'There is no sound tree that produces rotten fruit, nor again a rotten tree that produces sound fruit. 44 Every tree can be told by its own fruit: people do not pick figs from thorns, nor gather grapes from brambles. 45 Good people draw what is good
from the store of goodness in their hearts; bad people draw what is bad
from the store of badness. For the words of the mouth flow out of what
fills the heart. 46 'Why do you call me, "Lord, Lord" and not do what I say? 47 'Everyone who comes to me and listens to my words and acts on them -- I will show you what such a person is like. 48 Such a person is like the man
who, when he built a house, dug, and dug deep, and laid the foundations
on rock; when the river was in flood it bore down on that house but
could not shake it, it was so well built. 49 But someone who listens and does nothing is like the man
who built a house on soil, with no foundations; as soon as the river
bore down on it, it collapsed; and what a ruin that house became!'
Bishop and preacher, one of the saints whose life has been woven into the myths and legends of Ireland. He was a known disciple
of St. Patrick, and is called Albeus in some records. What is known
about Ailbhe is that he was a missionary in Ireland, perhaps sponsored
by King Aengus of Munster. He was also the first bishop
of Emily in Munster, Ireland. Legends and traditions abound about his
life. One claims that he was left in the woods as an infant and suckled
by a wolf. This legend is prompted in part by Ailbhe's later life. An
old she-wolf came to Ailbhe for protection from a hunting party, resting
her head upon his breast. He is supposed to have been baptized by a priest in northern Ireland, possibly in a British settlement. The so called Acts
of Ailbhe are filled with traditions that are not reliable. Ailbhe was
noted for his charity and kindness, as well as his eloquent sermons. He
is beloved in Ireland.
(Vatican Radio) Baba Mtakatifu
Francisko wiki hii alitoa nyaraka mbili za “Motu proprio”zinazolenga
kufanya mabadiliko katika Mfumo wa Mahakama ya Kanisa Katoliki juu ya
uendeshaji wa kesi zinazohusiana na sheria ya ndoa.
Papa alitoa nyaraka hizo siku ya Jumanne, Motu proprio, “Mitis Iudex
Dominus Jesus”au Bwana Yesu, Hakimu mwenye huruma", ambayo inarekebisha
kanuni za mahakama ya sheria ya kanisa (CIC) kwa Makanisa ya Amerika,
na barua nyingine, “mitis et misericors Jesus"Msamaha na huruma ya
Yesu”, ambayo inafanya inarekebisha Kanuni za Makanisa za Kanisa katika
uendeshaji wa kesi za kubatilisha ndoa kwa Makanisa ya Mashariki
(CCEO).
Profesa katika Sheria za Kanisa katika Chuo Kikuu cha Kipapa ya
Gregorian cha Papa Rome, Padre James J. Conn, SJ, akizungumzia
marekebisho hayo ameiambia Redio Vatican kwamba, kuna mabadiliko maalum
matatu , hasa katika uharakisha wa kushughulikia kesi za wanaondoa
wanaotaka kubatilisha ndoa; kuondolewa kwa haja ya mahakama kutoa
hukumu mara mbili kwa tukio na kisha tena kupelekwa katika mahakama ya
rufaa, kwa maana kwamba, inatosha kuzingatia maamuzi yaliyotolewa na
mahakama kwa mara ya kwanza, iwapo yanayoona kwamba , kuna ushahidi wa
kutosha kwa ndoa kutanguliwa, na wahusika wanaweza kufunga ndoa ndoa
mpya kwa mujibu wa sheria Kanisa (au katika kupokea miungano ya ndoa
ilifungwa kwa sheria za kiraia , wakati huo huo kutambuliwa na Kanisa).
Pia kuanzishwa kwa uwezekano wa kesi kusikilizwa na hakimu mwenye
uzoefu mara moja, kama hatua ya kupunguza mzigo wa wingi wa kesi katika
mahakama za majimbo, ambako watu wenye ujuzi ni wachache); Na uundaji
wa kueleka mchakato wa kesi katika baadhi ya kesi , kutolewa maamuzi
moja kwa moja na Askofu mahalia, kwa kesi ambazo zina ushahidi wa
kutosha kutolewa hukumu ya kubatishwa na pande zote mbili zinaamini
muungano wao ulikuwa batili. Katika mchakato huu hasa unaonyesha dhamira
Papa Francisco kugawana madaraka na Maaskofu wa majimbo duniani kote.
Prof Conn, SJ, aliendelea kufafanua kwamba - kinyume na uvumi uliotolewa
na baadhi ya vyombo vya hata katika vyombo vya Kanisa, mabadiliko
yamefanyika katika misingi ya uelewa wa Kanisa la asili na muundo wa
kimsingi wa ndoa, na hivyo hakuna mabadiliko kaika Madhumuni msingi na
wigo wa mfumo wa Kanisa mahakama. Na wala hakuna mabadiliko katika
mafundisho ya Kanisa juu ya kutengua ndoa, alisema Prof. Conn, SJ. Na
kwamba, nayaraka mpya za mabadiliko hazibadilishi kanuni zinazofuatwa na
Mahakimu katika kubatilisha ndoa na wala hazibadili uhalali wa ndoa,
hivyo, ndoa kubatilishwa linabaki ni jambo linalohitaji uwepo wa
ushahidi wa kutosha .
1 Paul, apostle of ChristJesus appointed by the command of God our Saviour and of ChristJesus our hope, 2 to Timothy, true child of mine in the faith. Grace, mercy and peace from God the Father and from ChristJesus our Lord. 12 I thank ChristJesus our Lord, who has given me strength. By calling me into his service he has judged me trustworthy, 13 even though I used to be a blasphemer and a persecutor and contemptuous. Mercy, however, was shown me, because while I lacked faith I acted in ignorance; 14 but the grace of our Lord filled me with faith and with the love that is in Christ Jesus.
Responsorial Psalm, Psalms 16:1-2, 5, 7-8, 11
1 [In a quiet voice Of David] Protect me, O God, in you is my refuge. 2 To Yahweh I say, 'You are my Lord, my happiness is in none 5 My birthright, my cup is Yahweh; you, you alone, hold my lot secure. 7 I bless Yahweh who is my counsellor, even at night my heart instructs me. 8 I keep Yahweh before me always, for with him at my right hand, nothing can shake me. 11 You will teach me the path of life, unbounded joy in your presence, at your right hand delight for ever.
Gospel, Luke 6:39-42
39 He also told them a parable, 'Can one blind person guide another? Surely both will fall into a pit? 40 Disciple is not superior to teacher; but fully trained disciplewill be like teacher. 41 Why do you observe the splinter in your brother's eye and never notice the great log in your own? 42
How can you say to your brother, "Brother, let me take out that
splinter in your eye," when you cannot see the great log in your own?
Hypocrite! Take the log out of your own eye first, and then you will see clearly enough to take out the splinter in your brother's eyes.