Wanamuziki mahiri wa nyimbo za injili nchini Tanzania Elizabeth Josiah na Moses Josiah ambao wanatamba sana na video ya `Ukitaka `kwa muda mrefu kwa nyimbo hii ya injili inayokonga nyoyo za wapenzi wa nyimbo za injili Afrika Mashariki, hivi karibuni wanatarajia kuachia
album yao mpya kabisa inayokwenda kwa jina Macho yameona mengi ikiwa
katika mfumo wa DVD uzinduzi utakaofanyika jijini Mwanza mwezi Desemba 2015 albamu hii ina nyimbo nane ambazo ni wewe ni Mungu, Tazama, Ruadha
inmitelona, Bwana wa Mabwana, Mwambie Yesu, Galilaya, yeye ndio na Mambo
yameona mengi ambayo ndio imechukua jina la album.
Albamu hii ya Macho yameona mengi inerekodiwa katika studio za EX2 Studio iliyo maeneo ya Mecco jijini Mwanza nchini Tanzania. Na albamu hii ilikamilika mwaka 2014 na kuwa tiyari ila matatizo anayoyapata Mwanamziki Moses Josiah ni kupata wasambazaji ili iweze kuwafikia wapenzi mziki wa injili na anaomba watu wenye kuitaji huduma yake ya kuinjirisha wawasiliane nae kwa facebook.com/Moses Josiah kama mdau wa muziki wa injili habari ndio hiyo,,,waweza jiongeza na kuhudhuria uzinduzi huo bila kukosa na Mungu akubariki.
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Afrika ya kusini ambaye amekuwa
akipambana na majaribu mbalimbali kila kukicha, mwanakaka Lundi Tyamara
ameachia album mpya ya muziki wa injili iitwayo Lundi & Friends wiki
hii bila wasimamizi wa kazi zake kujua suala hilo hivyo kuleta
mkanganyiko.
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2014/02/kutoka-south-lundi-matatani-tena-na.html#sthash.lzu6h8VM.dpuf

Mwanakaka huyo ambaye ameshauza mamilioni ya kopi ya kazi zake miaka ya
nyuma ameachia album mpya siku ya jumanne wiki hii bila kampuni ya
Zuz'Muz Music ambayo imeingia naye mkataba kujua suala hilo ingawa
kampuni ndiyo imeachia album hiyo sokoni. Akizungumza na Tonight chombo
cha habari nchini humo bwana Tshepo Ndzimande amekitaka chombo hicho
kutangaza uwepo wa album mpya ya Lundi ingawa hawakupenda namna album
hiyo ilivyoandaliwa kwakuwa imefanywa nje ya mkataba wao.
Ndzimande amesema ingawa album hiyo imefanywa nje ya kampuni yao
imerekodiwa vizuri sana hata wanamuziki ambao Lundi amewashirikisha
wamefanya kazi nzuri na kuongeza kwamba walipata habari kwamba Lundi
anarekodi album mpya kupitia The Jaziel brothers ambaye aliwapigia simu
kuwataarifu kwamba ameshirikishwa kwenye wimbo na Lundi na kutaka
kusikia mawazo yao. Ndzimande amesema ameshangazwa na kitendo hicho cha
Lundi kwakuwa walisaini mkataba naye wakurekodi album nne chini ya
kampuni hiyo ambapo mpaka sasa amerekodi album moja tu na kushangazwa
kwenda kurekodi album mpya kinyemela bila wao kuwa na taarifa.
Aidha bwana Ndzimande amesema alidhani mwimbaji huyo amejifunza kosa
lake kama hilo alilowahi kufanya awali kwakurekodi nje ya mkataba kitu
ambacho kingemletea matatizo makubwa lakini inaonekana hajajifunza na
sasa amerudia tena na kutoa onyo kwa watu walioshiriki katika kumrekodi
na kufanikisha album hiyo kwakuwa wanajua kufanya hivyo ni kinyume cha
sheria kwakuwa wanajua mwanamuziki huyo yupo chini ya kampuni kisheria.
Kwa upande wake Lundi alipopigiwa simu na waandishi wa Tonight kuhusiana
na taarifa hizo amesema hajarekodi au kutoa album mpya yeyote na
alipoambiwa suala la Ndzimande kisheria mwanamuziki huyo alisema hataki
kuzungumzia lolote kuhusu suala hilo. Aidha kuonyesha amefanya kweli
kitendo hicho kupitia ukurasa wake wa Facebook mwanakaka huyo amemwita
bwana Tshepo Ndzimande kama mwizi wa kazi zake na kuwataka mashabiki
wake kutomsikiliza kwani hajatoa album yeyote ila anatarajiwa kutoa
album mpya iitwayo "The New Testament"hivi karibuni na kuomba maombi
yao.