MSANII wa muziki wa injili nchini Malawi, Grace Chinga, amefariki dunia juzi kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya kichwa.
Rafiki wa karibu wa familia ya
marehemu Grace, Pasta Chris Suya, akiongea na blogu hii kwa njia ya simu juzi la
nchini humo kwamba, mwanamuziki huyo alikimbizwa hospitalini baada ya
kulalamikia maumivu makali ya kichwa.
“Tulipokea simu kwamba alikuwa
anasumbuliwa na maumivu makali ya kichwa na tukakimbia hadi kwake kwa
mwendo wa saa moja, baada ya kufika tulimpeleka hospitali ya Queens
Elizabeth lakini alifariki dunia,” alisema Suya. Katika akaunti ya facebook ya
marehemu Grace, siku chache zilizopita alitangaza kwamba anatarajia
kuachia albamu yake mpya hivi karibuni lakini ndoto hizo zimezimika.
1 Coasts and islands, listen to me, pay attention, distant peoples. Yahweh called me when I was in the womb, before my birth he had pronounced my name. 2
He made my mouth like a sharp sword, he hid me in the shadow of his
hand. He made me into a sharpened arrow and concealed me in his quiver. 3 He said to me, 'Israel, you are my servant, through whom I shall manifest my glory.' 4 But I said, 'My toil has been futile, I have exhausted myself for nothing, to no purpose.' Yet all the while my cause was with Yahweh and my reward with my God. 5 And now Yahweh has spoken, who formed me in the womb to be his servant, to bring Jacob back to him and to re-unite Israel to him;-I shall be honoured in Yahweh's eyes, and my God has been my strength.- 6 He said, 'It is not enough for you to be my servant, to restore the tribes of Jacob and bring back the survivors of Israel; I shall make you a light to the nations so that my salvation may reach the remotest parts of earth.'
1 In you, Yahweh, I take refuge, I shall never be put to shame. 2 In your saving justice rescue me, deliver me, listen to me and save me. 3 Be a sheltering rock for me, always accessible; you have determined to save me, for you are my rock, my fortress. 4 My God, rescue me from the clutches of the wicked, from the grasp of the rogue and the ruthless. 5 For you are my hope, Lord, my trust, Yahweh, since boyhood. 6 On you I have relied since my birth, since my mother's womb you have been my portion, the constant theme of my praise. 15 My lips shall proclaim your saving justice, your saving power all day long. 17 God, you have taught me from boyhood, and I am still proclaiming your marvels.
Gospel, John 13:21-33, 36-38
21 Having said this, Jesus was deeply disturbed and declared, 'In all truth I tell you, one of you is going to betray me.' 22 The disciples looked at each other, wondering whom he meant. 23 The discipleJesus loved was reclining next to Jesus; 24 Simon Peter signed to him and said, 'Ask who it is he means,' 25 so leaning back close to Jesus' chest he said, 'Who is it, Lord?' 26
Jesus answered, 'It is the one to whom I give the piece of bread that I
dip in the dish.' And when he had dipped the piece of bread he gave it
to Judas son of Simon Iscariot. 27 At that instant, after Judas had taken the bread, Satan entered him. Jesus then said, 'What you are going to do, do quickly.' 28 None of the others at table understood why he said this. 29 Since Judas had charge of the common fund, some of them thought Jesus was telling him, 'Buy what we need for the festival,' or telling him to give something to the poor. 30 As soon as Judas had taken the piece of bread he went out. It was night. 31 When he had gone, Jesus said: Now has the Son of man been glorified, and in him God has been glorified. 32 If God has been glorified in him, Godwill in turn glorify him in himself, and will glorify him very soon. 33 Little children, I shall be with you only a little longer. You will look for me, and, as I told the Jews, where I am going, you cannot come. 36 Simon Peter said, 'Lord, where are you going?' Jesus replied, 'Now you cannot follow me where I am going, but later you shall follow me.' 37 Peter said to him, 'Why can I not follow you now? I will lay down my life for you.' 38 'Lay down your life for me?' answered Jesus. 'In all truth I tell you, before the cock crows you will have disowned me three times.'
Mwilisheni matendo ya huruma: kiroho na kimwili katika maisha yenu ya kila siku! - RV
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2016 linatafakari kwa kina na mapana kuhusu huruma ya Mungu; ufunuo wa huruma ya Mungu kwa mwanadamu; Kanisa na huruma ya Mungu. Leo katika Makala ya Hazina Yetu, Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican inaendelea kukushirikisha kuhusu matendo ya huruma: kiroho na kimwili; umuhimu wa toba ya kweli, Bikira Maria Mwenyehuruma na hatimaye, hitimisho la Ujumbe wa Kwaresima kutoka kwa Maaskofu Katoliki Tanzania.
Matendo ya huruma
“Iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma”. Kristo Bwana wetu anatufundisha na kututaka kuwatendea wanadamu wote kwa mapendo na huruma. “Kama Baba yenu”. Hiki ndicho kipimo. Mungu ndiye kipimo cha upendo na huruma ambao wanadamu wanaalikwa kuudhihirisha katika maisha yako. Tunapowatendea wenzetu matendo ya huruma tunamtendea Kristo mwenyewe anayetueleza uwepo wake kwao. “Kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitenda mimi (Rej. Mt 25:40). Mapendo na huruma yakikristo si ya vionjo bali ya hitaji. Mungu anatupenda sisi si kwa sababu tunavutia, bali tunavutia kwa sababu anatupenda na kutuhurumia daima (Rej. Kum 6:5, Law 19:8). Hivi tunapopendana kuhurumia jirani zetu, tunawafanya wavutie na kupendeza na tunaufanya uumbaji uvikwe kwa sura yake ya uhalisia wa awali inayovutia.
Mapendo kwa jirani yana msingi wake katika kumpenda Mungu. Ndiyo maana Yesu anasisitiza kuwa, kumpenda Mungu kuende sambamba na kumpenda jirani (Rej. Mt 22:39). Jirani ni mtu yeyote, mhitaji. Mfano wa Msamaria mwema unasisitiza fundisho hilo (Rej. Lk 10:25-37). Na sheria yote na manabii inategemea amri hiyo ya Mapendo (Rej. Mt 22:40). Kumpenda Mungu ina maana pia kupenda vyote vinavyopendwa na Mungu. “Kwahiyo, huruma kwa masikini na wagonjwa, vilevile matendo ya huruma ya ujima, yenye lengo la kupunguza kila aina ya dhiki za wanadamu, yanaheshimiwa na Kanisa kwa namna ya pekee… Utendaji wa huruma leo waweza kuwaelekea watu wote kabisa na mahitaji yao, na lazima uwe wa namna hiyo. Kila mahali wapo watu wenye kukosa chakula, na kinywaji, mavazi, makao, madawa, kazi na elimu, na vifaa vinavyohitajika ili kuweza kuishi maisha yaliyo kweli ya kiutu. Wapo wanaohangaika katika dhiki au kwa sababu ya kukosa afya, wanaoteseka mbali na makwao au walio kifungoni, na hapo mapendo ya Kikristo lazima yawatafute na kuwapata, kuwaliwaza kwa uangalizi mkarimu na kuwainua kwa kuwapatia msaada.”
Tunapenda basi kuwakumbusha tena mafundisho ya Kanisa letu juu yamatendo ya huruma ya mwili na ya roho. Mapokeo ya Kanisa letu yanatufundisha juu ya matendo saba ya mwili, ambayo Kanisa limechota toka Maandiko Matakatifu (Rej. Mt 25:36; Tobit 1:17).
(i) Kuwalisha wenye njaa
(ii) Kuwanywesha wenye kiu
(iii) Kuwavika wasio na nguo
(iv) Kuwakaribisha wasio na makazi
(v) Kuwatembelea wagonjwa
(vi) Kuwatembelea wafungwa
(vii) Kuwazika wafu.
Tukifanya hivyo, huruma ya Mungu itakuwa wazi kwetu na kwao. “Katika parokia zetu, jumuiya zetu, vyama vyetu vya Kitume na vikundi, katika maana kwamba popote alipo Mkristo; kila mmoja apate chemchemi ya huruma.” Kusoma, kutafakari na kusikiliza Neno la Mungu ni msaada mkubwa katika kutembea kwenye njia ya huruma. Pamoja na matendo hayo ya huruma ya mwili mapokeo ya Kanisa yanatufundisha pia kutenda matendo ya huruma ya roho yanayotupeleka kuwajibika katika:
(i) Kuwashauri wenye mashaka
(ii) Kuwafundisha wasiojua
(iii) Kuwafariji wenye huzuni
(iv) Kuonya wakosefu
(v) Kusamehe makosa
(vi) Kuvumilia wasumbufu
(vii) Kuombea wazima na wafu
Jamii yetu inajumuisha watu wenye uwezo mkubwa na wenye uwezo mdogo. Wengine ni wazee, watoto, wagonjwa na walemavu, n.k. Tunawahimiza walio na uwezo kuwasaidia wasio na uwezo. Haya ni makundi ya watu wanaotuzunguka kila siku na huu ni uhalisia wa maisha. Tujifunze kumwona Yesu katika wahitaji hawa na tutambue kuwa kila tunapowahudumia tunakuwa tunaliboresha hekalu la Roho Mtakatifu. Tukitumie kipindi cha Kwaresima mwaka huu kama fursa ya kujikumbusha mapokeo haya ya Kanisa na kiwe kipindi cha kuadhimisha na kung’amua huruma ya Mungu. Tukiyatenda matendo haya ya huruma tutakuwa tunadhihirisha huruma na upendo wa Mungu unaoendelezwa katika maisha yetu ya kila siku kupitia ukarimu wa kikristo. Huruma na upendo huenda pamoja.
Toba ya kweli
Mungu wetu ni mwingi wa huruma na mtakatifu. Ingawa anachukia dhambi, hamchukii mkosefu. Anatupokea kila tunaporudi kwake na kutubu. Tunawahimiza kuikimbilia Sakramenti ya Kitubio ili kila mkosefu anayetubu ajipatanishe na Mungu na Kanisa. Sakramenti ya Kitubio inatuwezesha kuugusa utukufu wa huruma ya Mungu. Toba ya kweli inatudaikujirekebisha na kubadilika, kuacha dhambi na kuepuka nafasi ya dhambi. Ili kupokelewa katika ufalme wa Mungu, mwanadamu ni lazima ageuke na kuachana na njia zake mbaya na kushikamana na tangazo la Yesu la ufalme wa Mungu. Hivyo toba ni dai la kwanza la Yesu kwa wale wanaotaka kushiriki katika utawala wa Mungu (Rej. Mt 21:28 – 32).
Toba ni nafasi ya kubadili hali na misimamo yetu mibovu; kama vile dhuluma, uonevu kwa wanyonge, mauaji na rushwa inayopoteza matumaini ya wanyonge. Tusikilize sauti za wanyonge na maisha yao, kwa haki na upendo. Tujue kuwa dhambi zetu hata zile nyepesi zinatuletea shida. Dhambi nyepesi zinadhoofi sha mapendo na kuzuia maendeleo ya kiroho katika zoezi la fadhila na maisha mema.Tuziungame nazo hizo pia! Tendo la upendo wenye huruma linakuwa na huruma kweli kweli, pale tunapojiridhisha na kujiaminisha kwamba wakati tunalitenda, vilevile, tunapokea huruma kutoka kwa watu wale tunaowatendea. Kama sifa hii ya kutoa na kupokea haipo,matendo yetu yatakuwa hayajastahili kuitwa matendo ya huruma; wala ule wongofu ambao Kristo alituonyesha kwa maneno na maisha yake, hata kufa msalabani, utakuwa haujakamilika; wala tutakuwa hatujashiriki katika chanzo cha ajabu cha upendo wenye huruma ambao yeye alitufunulia.”
SURA YA NNE: BIKIRA MARIA MAMA MWENYEHURUMA
Mapokeo ya Kanisa letu yanatupatia sala ya “Salamu Malkia”inatutafakarisha huruma ya Mungu kwa kumuangalia Mama yetu Bikira Maria, aliye tulizo katika mahangaiko yetu. Yeye aliepushwa na kila doa la dhambi; alikuwa wa kwanza kati ya wote na kwa namna ya pekee alifaidi ushindi ulioletwa na Kristo juu ya dhambi: alikingiwa kila doa la dhambi ya asili, na katika maisha yake yote ya hapa duniani, kwa neema ya pekee ya Mungu, hakutenda dhambi yoyote. Mama huyu alitumia vizuri uhuru wake akakubali kuwa Mama wa Mwana pekee wa Mungu, Yesu Kristo Bwana wetu. Kwa maisha yake amemwimbia Mungu sifa daima. Anatukumbusha pia kuwa huruma ya Mungu kwetu sisi wanadamu “hudumu kizazi hata kizazi” (Lk 1:50).
Mama Maria ameshiriki mpango wa ukombozi kwa kutustahilia uzima mpya wa Roho zetu. Maana “Bwana mwenyewe amekuja kumkomboa binadamu na kumtia nguvu akimwumba upya ndani yake na kumfukuza mkuu wa ulimwengu huu, aliyekuwa amemfunga katika utumwa wa dhambi.” Tunawahimizeni nyote kwa maombezi ya mama Bikira Maria kujibidisha kutenda mema ili kujijengea fadhila na kujipatia majina yenye sifa njema katika maisha. Tumuombe mama Bikira
Maria mwenye huruma awe msaada na mwombezi wetu katika juhudi zetu. Tujue kuwa Mama Bikira Maria ni mfano wetu wa namna ya kuwa mfuasi mwaminifu wa Kristo. Tuombe msaada wa maombezi ya Mama Bikira Maria ili tuweze kuwa wafuasi waaminifu wa kuonesha huruma ya Mungu kwa watu wote. Mtakatifu Bernardo anatuasa kumkimbilia Mama huyu akisema; “Ikiwa tunahofu kuikimbilia huruma ya Baba, tumgeukie Yesu Kristo aliyetwaa mwili wetu na Kaka yetu Mwenye Huruma. Na ikiwa kwa Yesu tunahofi a ukuu wa enzi ya Umungu wake, tunaweza kumkimbilia Maria Mama yetu na mtetezi wetu mwenye huruma, awasikilizae wanae kama Baba amsikilizavyo Mwana.”
HITIMISHO
Wapendwa Taifa la Mungu, kipindi cha Kwaresima ni cha kuitayarisha mioyo yetu kwa toba, kufunga, kusali, kutoa sadaka, na kutenda matendo mema ili kujiandaa kukumbuka Fumbo la Pasaka: yaani, mateso, kifo, na ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo.Tukumbuke pia kwa kushiriki msalaba wake, na kwa neema yake tutashirikishwa pia utukufu wa ufufuko wake. Ni kipindi cha kutafakari zaidi zawadi ya fumbo la ukombozi wetu na namna tunavyoshiriki upendo wa Kristo katika suala zima la ukombozi, kwa mjibu wa ubatizo wetu. Tuombe neema ili tujivike fadhila ya unyenyekevu tuweze kutenda vema na kiaminifu katika utumishi wetu. Yafaa tumwombe Mungu atujalie fadhila ya unyenyekevu ambayo inatusaidia kujitambua kuwa tu wadhambi na tukishajitambua hivyo yatupasa tufanye toba mara.Tunahitaji msaada wa Kristo aliye Bwana wetu mwenye huruma tukimkimbilia atusaidie. Tukaze nia ya kuishi kama watumishi wenye huruma.
10 I heard so many disparaging me, 'Terror on every side! Denounce him! Let us denounce him!' All those who were on good terms with me watched for my downfall, 'Perhaps he will be seduced into error. Then we shall get the better of him and take our revenge!' 11 But Yahweh is at my side like a mighty hero; my opponents will stumble, vanquished, confounded by their failure; everlasting, unforgettable disgrace will be theirs. 12
Yahweh Sabaoth, you who test the upright, observer of motives and
thoughts, I shall see your vengeance on them, for I have revealed my cause to you. 13 Sing to Yahweh, praise Yahweh, for he has delivered the soul of one in need from the clutches of evil doers.
Responsorial Psalm, Psalms 18:2-3, 3-4, 5-6, 7
2 Yahweh is my rock and my fortress, my deliverer
is my God. I take refuge in him, my rock, my shield, my saving strength,
my stronghold, my place of refuge. 3 I call to Yahweh who is worthy of praise, and I am saved from my foes. 4 With Death's breakers closing in on me, Belial's torrents ready to swallow me, 5 Sheol's snares every side of me, Death's traps lying ahead of me, 6 I called to Yahweh in my anguish, I cried for help to my God; from his Temple he heard my voice, my cry came to his ears. 7 Then the earth quaked and rocked, the mountains' foundations shuddered, they quaked at his blazing anger.
Gospel, John 10:31-42
31 The Jews fetched stones to stone him, 32 so Jesus said to them, 'I have shown you many good works from my Father; for which of these are you stoning me?' 33 The Jews answered him, 'We are stoning you, not for doing a good work, but for blasphemy; though you are only a man, you claim to be God.' 34 Jesus answered: Is it not written in your Law: I said, you are gods? 35 So it uses the word 'gods' of those people to whom the word of God was addressed -- and scripture cannot be set aside. 36
Yet to someone whom the Father has consecrated and sent into the world
you say, 'You are blaspheming' because I said, 'I am Son of God.' 37 If I am not doing my Father's work, there is no need to believe me; 38 but if I am doing it, then even if you refuse to believe in me, at least believe in the work I do; then you will know for certain that the Father is in me and I am in the Father. 39 They again wanted to arrest him then, but he eluded their clutches. 40 He went back again to the far side of the Jordan to the district where John had been baptising at first and he stayed there. 41 Many people who came to him said, 'John gave no signs, but all he said about this man was true'; 42 and many of them believed in him.
O dear Jesus,
I humbly implore You to grant Your special graces to our family.
May our home be the shrine of peace, purity, love, labor and faith.
I beg You, dear Jesus, to protect and bless all of us, absent and present, living
and dead.
O Mary,
loving Mother of Jesus,
and our Mother,
pray to Jesus for our family,
for all the families of the world,
to guard the cradle of the newborn,
the schools of the young and their vocations.
Blessed Saint Joseph,
holy guardian of Jesus and Mary,
assist us by your prayers
in all the necessities of life.
Ask of Jesus that special grace
which He granted to you,
to watch over our home
at the pillow of the sick and the dying,
so that with Mary and with you,
heaven may find our family unbroken
in the Sacred Heart of Jesus.
Nyimbo hapo juu ni ya kisukuma iliyopitwa na Mama Nyamoko akiwa na Msanii Batarokota.
Mwazirishi wa blogu hii ni Paskal Linda Mgundu maharufu Batarokota Pichani kushoto alizaliwa 1974 Kijiji cha
Kigamboni katika Hospitali Teule ya Kigamboni Mkoa wa Temeke jijini Dar es salaam.
Batarokota kabila ni Msukuma kutoka kijiji cha Nyashigwe kilomita 35
kutoka jijini Mwanza kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Batarokota ni mtoto wa kwanza katika familia ya
Baba na Mama Beatus Linda iliyopo Nyamhongolo kijijini katika jiji la Mwanza, yenye watoto saba
(7) kwa majina ni Happy Linda ambae ni marehemu aliyefariki tarehe
9/Mai/2007 maeneo ya Mbagala jijini Dar es salaam(rest in peace sister
Happy Linda), Naomi linda, Zakaria Linda (dj zhari),Yohana linda (y
brain), Monical linda na Norbert Linda.
Batarokota ana mke na watoto wanne na alifunga ndoa Jumamosi ya
tarehe 5/Machi/2011 katika kanisa Katoriki la Mtakatifu Partic la mjini
Morogoro,Batarokota alifunga ndoa na Sara Abed Linda.Na kabla ya
ndoa alifanikiwa kupata watoto wawili na wawili baada ya kufunga
ndoa.
Watoto wanne wa Batarokota wakwanza alizaa na mchumba wake wa
kwanza Saula Athony Kapama ambae kwa sasa ni marehemu aliyefariki tarehe
9/Agosti/2005 Sumve Matare kwa ajali ya Treni ya abiria iliyokuwa ikienda Dar essalaam, Saula Kapama alimwachia
Batarokota mtoto mmoja jina Ng`wibis Linda ambae alizaliwa Agosti 2000
katika Dispensary ya St Michael mtoto wa pili wa
Batarokota ni Shija Paskal ambae alizaliwa Desemba 2006 katika Hospital
ya Bugando jijini Mwanza, Batarokota alizaa mtoto na rafiki wake wa kike
Ruti Fidel Kanuti na Mtoto wa tatu wa Batarokota ni mtoto wa kike
Makrina Juliana ambae alizawa Novemba/ 2011 mjini Morogoro katika
Hospital ya Morogoro amezaa na mke wake Sarah Dile Linda na wanne ni
Telezia wa Yesu aliye zaliwa Desemba,2013
.
ELIMU
Batarokota amesoma shule ya msingi Igoma, nakumaliza shule 1990 na
alifanikiwa kuendelea na masomo ya sekondari 1991 katika shule ya
sekondari Buswelu na kufanikiwa kumaliza mwaka 1994, baada kidato cha tano na sita Mweli Sekondari 1997.
Na mwaka 2010 Batarokota akufanikiwa kujiunga
na chuo cha Powercomputer kilichopo jijini Mwanza- Tanzania na
kuahitimu masomo kutengeneza computer,
tovuti, blogu, grafics, Logo design, video editing and production baada ya kumaliza masomo ya computer Batarokota aliendelea na masomo ya Computer Nchini - Kenya katika chuo cha Moi na kumaliza masomo ya Diploma miaka 3, 2013.
Na
picha chini Batarokota akiwa ofisini kwake anakofanyia shunguli za
design na kutengeneza matangazo.
BATAROKOTA AMEFANYA SHOW MAENEO MENGI
Mwaka Novemba/1994 Batarokota alifanya show ya kuwaanga kidato cha nne
katika shule ya Buswelu Sekondari na Mgeni rasmi alikuwa Hayati Paulo
Bomani.Mwaka.
Julai/1996 Batarokota alialikwa katika show ya kusaka
mrembo wa
Kigamboni Miss Kigamboni katika ukumbi wa CCM kivukoni .Katika show
alikuwa wamealikwa wasanii Fune with Sanse kiongozi wao J- Mtambo na
kundi lake la POSOJU.
Mwaka Agosti/1998 ,Batarokota alikalibishwa na
kundi lake la G tha Dunia
katika ukumbi wa Liberty Hall jijini Mwanza, siku hiyo walikuwa
wanazindua singo ya wimbo wao 'upendo kwa mama' wasanii walio alikwa ni
Mr 2, Dr KB, BWV, Makamanda wa Gola, Daz P, na wengine wengi.
Mwaka, 2004
Batarokota akiwa na kungi la G THA Dunia alialikwa pamoja na
wasaniii H- Baba, J- Mo, Mr Paulo, Solo Thang, Vick Kamata na BWV.
katika kufanya show kubwa iliyo fanyika katika uwanja wa Ally Hassan
Mwinyi mjini Tabora show hii iliandaliwa na Zizou Entertnment.
Mwaka2004 ,
25,Desemba. Batarokota alialikwa yeye pamoja na msanii wa
nyimbo za kiasili Mama Nyamoko (Suzana Nyamoko), kwenye show ya
kuwaburudisha watu wa Geita siku ya kristimasi katika ukumbi wa Lake
View Hotel .
Mwaka 2013,Machi, Batarokota amefanya show aliyo alikwa
jijini Nairobi
katika ukumbi wa Brokriny uliopo Gethorai 44 onyesho hili lilifadhiriwa
na Princess Studio.
MAISHA
Kipaji cha Batarokota kilianza kuonekana toka akiwa shule ya msingi
Igoma mwaka 1987, Akiwa shuleni alikuwa akicheaza ngoma za asilia kwenye
kundi la shule na alikuwa akifundishwa na Mwalimu Matongo ambae
nimarehemu na Mwalimu Mayuyu ambae kwa sasa ni mwana kwaya wa Mtakatifu
Bakita katika kanisa la Romani Katoriki Igoma.
Wanafunzi ambao Batarokota
anakumbuka walio kuwa wanacheza wote ngoma ni Tasi Kosinatantine,
Paskal Makaka, Peter Makuke,Frimat Lyimo na wengine wengi.
Tarehe 9/Januari/1998, Batarokota alianziha kundi la mziki wa kurap
jijini Mwanza kwa jina G THA Dunia, kundi hili G Tha Dunia lilikuwa ni
moto wa kuotea mbali ambalo lilitikisha kanda ya Ziwa na lilikuwa
likiundwa na Paskal linda a.k.a Batarokota, Juma Hassani a.k.a Big D na
Danny Ngollo a.k.a Ngollo 2. Kundi hili lilifanikiwa kurekodi albamu
nchini Kenya ambayo ilikuwa ikiitwa '' ONE DAY'' ambayo ilirekodiwa
Agosti/1998 mjini Nairobi, Kenya katika studio ya SYNC SOUND STUDIO
chini ya Producer Mahamud Omari a.k.a Mr M O .Album hii ya ''One Day''
ilikuwa imajazwa na nyimbo kumi ambazo ni 'one day' jina la
albam, 'upendo kwa mama', 'kiama','ogopa 666' , 'nimzuri tu', 'baby
shake', 'wenyewe kwa wenyewe', 'watoto kwanza' , 'total balaa' na
'majonzi'.
Baada ya kukaa nalo kundi hilo Batarokota aliondoka na
kuachana na kundi hili 2004 na kwenda Dermank kwa ajili ya kufundisha
ngoma Wadenish.Tarehe15/,februari/2006 Batarokota alirejea kutoka Dermank na kuanzihsa
kundi jipya liitwalo Watu wa Gola liliko jijini Mwanza, alianzisha kundi
hili akiwa na Juma Hassani a.k.a Big D, Kundi hili Watu wa Gola
walifanikiwa kurekodi nyimbo mbili 'Tumerudi' na 'vichwa vya kale'
nyimbo hizi zimerekodiwa katika studio ya M.O. Record iliyopo Pasiasi
jijini Mwanza chini ya mtayarishaji Q the Don na Dj Zari.
TUZO KATIKA SANAA
Mwaka 2001 tarehe 4/Machi msanii Batarokota akiwa na kundi lake la G THA
Dunia,Kundi hili walifanikiwa kupata zawadi ya cheti cha ushindi wa
best single rap katika wimbo wa -upendo kwa mama- cheti hicho kilitolewa
na Gloryhood Music Award ya jijini Mwanza .
Mwaka 2004,Octoba 22-23, Batarokota alifanikiwakupta cheti cha kuudhulia
na kushiriki Music Crossroads Tanzania Workshops jijini Mwanza.
Mwaka 2014 msanii Batarokota alifanikiwa kuingia kwenye tuzo za
Kilimanjaro Tanzania Music Award 2014 (KTMA 2014) kama nominiss katika
kategori ya Wimbo bora wenye Vionjo vya Asili ya Kitanzania na wimbo wa
kisukuma uitwao `Kwejaga Nyangisha`
NYIMBO MPYA AKIWA NJE YA KUNDI
Batarokota kwa sasa ana nyimbo saba ambazo amesha kamilliza kwa
ajili ya maandalizi ya albamu yake mpya atakayo zindua hivi karibuni yenye nyimbo sita ambazo ziko tiyari ni
` hongera mama` na `amani` nyimbo
hizi zimerekodiwa Mwaka 2003 Januari katika studio Mushroom Studio
jijini Nairobi Kenya chini ya mtayarishaji Teddy Karanda Harrison na Dj
Zari.
Nyimbo vingine ni `Sukurubu` ambayo imerekodiwa Multimedia Studio
jijini Mwanza mtayarishaji Alon Mikomangwa wasanii
walioshiriki kwenye nyimbo hii ni Ceni na Castro kutoka DRC, Kongo na
nyimbo nyingineni `sauti ya haki` na `kwejaga Nyangisha` zimerekodiwa
Januari,2012 studio ya Sky Studio iliyopo Kihonda Morogoro watayarishaji
Orecy Owden na Julius Chares.
Nyimbo nyingine ni ya kisukuma ihitwayo
`irombo rise`iliyo rekodiwa 6/Decemba/2012 katika studio za Sunlight
Records Mazimbu road -Kihonda Morogoro mtayarishaji King Maroh.
KUINGIA KATIKA SIASA
Msanii Batarokota ameingia rasimi katika siasa tarehe
18/08/2015
katika chama cha ATC-Wazalendo na kupata kadi namba 223643 alikabidhiwa
kadi na Afisa wa Chama mkoani Morogoro Mjini-Tanzania
Leo Rais wa Marekani
Barack Obama ameidhinisha vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini baada
ya taifa hilo kufanyia majaribio silaha za nyuklia na makombora hivi
majuzi.
Msemaji wa ikulu ya White House amesema Marekani na jamii
ya kimataifa hawatavumilia “shughuli haramu za nyuklia” zinazotekelezwa
na Korea Kaskazini.
Awali, ikulu ya White House iliishutumu Korea
Kaskazini ikisema inawatumia raia wa Marekani kama rahani katika juhudi
za kuendeleza ajenda yake ya kisiasa.
Bw Otto Warmbier, mwenye umri wa miaka 21, alikiri
kuiba bango la kisiasa katika hoteli alimokuwa akikaa pamoja na kundi
jingine la watalii mjini Pyongyang.
Marekani imeitaka Korea Kaskazini kumwachilia huru mwanafunzi huyo mara moja.
The feast commemorates Jesus' triumphant entry into Jerusalem the week before his passion.
With Palm Sunday right around the corner, Catholics across the
globe will soon be handed leaves as they walk into church. Some might
fold them into elaborate little crosses. Kids will poke each other with
them. But it's safe to say most won't know where they came from.
Washington D.C., (CNA/EWTN News) - The feast commemorates Jesus'
triumphant entry into Jerusalem the week before his passion and
crucifixion. The Gospels attest that as Jesus entered the city, crowds
lay down palm branches and cloaks as he rode into Jerusalem on a donkey.
For
centuries, Christians have commemorated the feast day that begins Holy
Week by waving branches of either palm or another local tree, as well as
with liturgical processions and other celebrations.
In the U.S. alone, nearly 18,000 Catholic parishes will
celebrate Palm Sunday by blessing and distributing palm branches to the
faithful. That makes millions of palm leaves each year - and that
doesn't include all of the Protestant churches that observe the
tradition.
Where do all those palms come from? While many
Catholics know the final destination of their palms - they are burned to
become ashes for next year's Ash Wednesday - the origin of the leafy
branches is less well known.
The journey from tree to church
begins with the harvesters around the world who cut and prepare the
leaves for their role in worship. The work needed to provide palms for
Palm Sunday is so immense that it actually constitutes a full-time
year-round job for some harvesters.
Thomas Sowell is one such
palm harvester from Florida who has been helping to supply parishes with
fresh palm leaves for more than five decades. Sowell began harvesting
wild palm leaves from trees as a child to earn extra money in the
springtime. Over the past several decades, he has grown his business
into a palm supplier that ships the leafy branches to all 50 states and
Canada.
Despite the growth in his business, Sowell says he tries to maintain his focus on the purpose behind it all.
"We
try to do the best job that we can," he told CNA. "Every bag that we
send out to churches, every individual bag has been examined, cleaned -
we go to extreme measures to make sure that everything we do for these
churches is done in the honor of Jesus Christ."
While there are
more than 2,600 different species of palm that grow across the world,
palm plants cannot survive outside of tropical and subtropical climates.
Historically, parishes that could not source palm locally would instead
substitute branches of another local tree such as olive or willow,
although modern churches also have the option of sourcing palm fronds
from other regions of the world.
In the United States and Canada,
most parishes seek out suppliers who deliver fresh palms shortly before
Palm Sunday, said Fr. Michael J. Flynn, Secretariat of Divine Worship
for the U.S. Conference of Catholic Bishops.
Many of these
parishes contact church goods suppliers such as Peter Munley of Falls
Church, Virginia, who helps provide parishes year-round with supplies
like candles and sacramental wine, along with palms for Holy Week.
Munley
told CNA that in preparation for Palm Sunday, he works to deliver palms
from their source to different parishes that place orders around the
country. In addition to Florida, palms are sourced from Texas,
California and elsewhere in the Southern United States, he said.
While
nearly all of the palms Munley sells are individually pre-cut, church
goods suppliers also helps to source decorative palms for altar
centerpieces and larger palm fronds as well. Dealers also work to ensure
that palms get burnt and ground into ashes for Ash Wednesday, for
parishes that cannot burn the palms for ashes themselves.
Reading 1, Genesis 17:3-9 3 And Abram bowed to the ground. God spoke to him as follows, 4 'For my part, this is my covenant with you: you will become the father of many nations. 5 And you are no longer to be called Abram; your name is to be Abraham, for I am making you father of many nations. 6 I shall make you exceedingly fertile. I shall make you into nations, and your issue will be kings. 7 And I shall maintain my covenant between myself and you, and your descendants after you, generation after generation, as a covenant in perpetuity, to be your God and the God of your descendants after you. 8
And to you and to your descendants after you, I shall give the country
where you are now immigrants, the entire land of Canaan, to own in
perpetuity. And I shall be their God.' 9 God further said to Abraham, 'You for your part must keep my covenant, you and your descendants after you, generation after generation.
Responsorial Psalm, Psalms 105:4-5, 6-7, 8-9
4 Seek Yahweh and his strength, tirelessly seek his presence! 5 Remember the marvels he has done, his wonders, the judgements he has spoken. 6 Stock of Abraham, his servant, children of Jacob whom he chose! 7 He is Yahweh our God, his judgements touch the whole world. 8 He remembers his covenant for ever, the promise he laid down for a thousand generations, 9 which he concluded with Abraham, the oath he swore to Isaac.
Gospel, John 8:51-59
51 In all truth I tell you, whoever keeps my word will never see death. 52 The Jews said, 'Now we know that you are possessed. Abraham is dead, and the prophets are dead, and yet you say, "Whoever keeps my word will never know the taste of death." 53 Are you greater than our father Abraham, who is dead? The prophets are dead too. Who are you claiming to be?' 54 Jesus answered: If I were to seek my own glory my glory would be worth nothing; in fact, my glory is conferred by the Father, by the one of whom you say, 'He is our God,' 55
although you do not know him. But I know him, and if I were to say, 'I
do not know him,' I should be a liar, as you yourselves are. But I do
know him, and I keep his word. 56 Your father Abraham rejoiced to think that he would see my Day; he saw it and was glad. 57 The Jews then said, 'You are not fifty yet, and you have seen Abraham!' 58 Jesus replied: In all truth I tell you, before Abraham ever was, I am. 59 At this they picked up stones to throw at him; but Jesus hid himself and left the Temple.
RAIS Dk John Pombe Magufuli amewaapisha wakuu wa mikoa aliowateua
hivi karibuni na kuwapa maagizo mazito. Rais amewaambia wakafanye kazi
ya kutatua kero za wananchi na sio kwenda kufanya siasa.
Katika hotuba yake fupi kwao, Rais amewapa wakurugenzi wa halmashauri
siku 15 wawatoe katika Orodha ya Malipo ya Mshahara (Pay Roll)
wafanyakazi hewa wote katika halmashauri zote nchini.
Ameonya kuwa halmashauri yoyote baada ya muda huo itakayokuwa na
mfanyakazi hewa, mkurugenzi wake atakuwa amejifuta kazi mwenyewe.
Vilevile Rais amewaagiza mawaziri wokati wowote kuwaeleza watendaji wao
wawaondoe wafanyakazi hewa wote ndani ya kipindi hicho cha siku 15 na
kubainisha kuwa watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo watafukuzwa kazi
kwani sheria ni msumeno.
Rais ameeleza matumaini yake kuwa kupitia kwa wakuu hao wa mikoa,
kero nyingi zitamalizwa na wananchi watakuwa huru katika nchi yao.
Baadhi ya kero ambazo Rais amezigusia ni migogoro ya wafugaji na
wakulima, ukosefu wa usalama barabarani hadi mabasi kusindikizwa na
polisi pamoja na tatizo la njaa.
Raia Indonesia wameshuhudia jua likizibwa kikamilifu na mwezi.
wiki hii siku ya tarehe 9 Marchi 216 Indonesia ndio nchi pekee iliyoshuhudia tukio hilo kote duniani.
Hoteli zilizopo katika maeneo mazuri ya kushuhudiwa jua likinaswa zilijaa miezi kadhaa iliopita na katika baadhi ya maeneo ilibidi maafisa watafute nafasi za ziada kwa watalii waliokuwa kwenye maboti.
Katika kisiwa cha Belitung mamia ya wageni na watalii wa nchni walikusanyika katika fukwe za bahari kabla ya alfajiri. Wakati jua lilipoanza kunaswa na mwezi walishangilia na baadaye kunyamaza kimya kwa mshangao.
Wengi wamelielezea tukio hilo kama 'tukio la miujiza'. Kwa wengi Indonesia, tukio hilo linashirikishwa sana na dini na watu huomba, sherehe za kitamaduni na ngoma zimeandaliwa katika sehemu kubwa la eneo hilo.
Wanasayansi pia wamkuwepo hususan katika eneo la Maba katika visiwa vya Maluku ambako tukio hilo limeshuhudiwa kwa dakika tatu, ambao ni muda mrefu kuwahi kushuhudiwa jua likinaswa na mwezi.
Urusi ni mshirika wa karibu sana wa rais wa Syria Bashar al-Assad.
Rais wa Urusi
Vladimir Putin ametoa amri kwa wanajeshi walioko Syria kurejea nyumbani
mara moja kwa sababu tayari wametekeleza asilimia kubwa ya malengo yao.Akizungumza katika ikulu ya Kremlin Putin, alisema
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao
13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa
vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe.
Huruma ya Mungu inamwilishwa katika huduma ya mapendo: kiroho na kimwili!
Siku ile iliyotangulia kuteswa kwake,
Yesu aliwaosha mitume wake miguu, jambo ambalo halikumfurahisha
Mtakatifu Petro kiasi cha kukataa kuoshwa miguu na Yesu. Lakini Yesu
akamfafanulia maana yake, akiwataka wafuasi wake kujikita katika huduma
ya upendo, kama kielelezo makini cha ushuhuda wa imani inayomwilishwa
katika matendo! Yesu ni kielelezo cha hali ya juu kabisa cha
Rubani msaidizi, Andreas Lubitz, aliangusha makusudi ndege hiyo kwenye milima ya Alps.
Wachunguzi kutoka Ufaransa, wamependekeza sheria kali inayozuia madaktari kufichua siri za marubani wagonjwa iondolewe.Wanasema iwapo sheria hiyo isingelikuwepo , ajali iliyosababishwa na rubani mwenza aliyekuwa amezongwa na mawazo isingelitokea.
Wenyeji wa eneo hilo wanasema waliamshwa na milio ya risasi na ndege za kivita zikitua na kuondoka
Wapiganaji wa kundi
la wanamgambo la Al shaabab walimezima shambulizi la kuvizia
lililotekelezwa na makomando wa jeshi la Marekani usiku wa kuamkia leo.
Kwa
mujibu wa Afisa mmoja wa ngazi ya juu jeshini ambaye hakutaka jina lake
litajwe anasema kuwa shambulizi hilo lililotekelezwa na vikosi vya
usalama la Marekani kwa ushirikiano na majeshi ya Somalia yalifanikishwa
kwa kuruka kwa ndege za helikopta kwa kambi ya wapiganaji hao iliyoko
Awdhegle, takriban kilomita 50 Kusini mwa Somalia.